Photoshop - Animated Text Shine Tutorial

Kuna tutorial hii nzuri kwa ajili ya wale wanaopenda PhotoShop. inaelekeza jinsi ya kutengeneza Photoshop - Animated Text Shine Tutorial - iCombined | Together We Make it Shine kwenye photoshop. (sipendi copy & paste).

Photoshop - Animated Text Shine Tutorial - iCombined | Together We Make it Shine

Mkuu ni kweli hupendi copy and paste ? Mbona hiyo article hujabadilisha hata nukta na huja acknowldege chanzo?

Any way ngoja nitajiunga Icombine nijaribu kunyesha namna unavyoweza ku copy na kupaste, ukachakachua na ku aknowledge surce bil tatizo na ukaonekana proffesional

Tatizo kubwa la website owners bado ni contents na how to get user

Update

Mkuu mbona kama napata kiwao kwenye kuregsiter au ndio ushamba. Window ya kuregister najaza kila kitu mpaka CAPTCHA na Image Verification. Baada ya hapo sioni nifanyeje ili nisubmit registration form yangu. help
 
Mkuu kuna 'submit registration' button mwisho kabisa. Possibly system was being updated.
 
Mkuu kuna 'submit registration' button mwisho kabisa. Possibly system was being updated.

Mhh basi uwe unacheki cheki mkuu maana nasikitika kukuambia sasa ndio nimeiona hiyo registration buton lakini nikiko'ngoli ( Clik) no any response.

U need to test system yako kila mara or weekly especially kama system yako ni mpya na haina user wengi maana utapata wapi wa kukufamisha kakwama hapa na kule.

Mimi nakushauri kama wewe ni mtu wa technlogy komaa na subofrum chache kwanza.

Unaweza kuomaa na technology na education . Education ukagaigwa kwenye Law school. Engineering School, Finacialand Buiness School. na hata Secondary schools

Then ukawapigia simu viongozi wanafunzi wa vyuo mbali mbali tanzania ( UDSM, SUA, Muslim University, SAUT)ukawauliza ni vitabu gani kila kozi inahitaji au wanatumia kwa masomo yao wakutajie.

Wakikupatia list tafuta eboook uziweke kwenye forum yako. Wafahamishe hao ma President au manister wa education wa Vyuo wanaweza kuwajulisha wanafunzi baadhi ya eboook wanazotakiwa kutumia zipo kwenye web XYZ.. Then wakitembea hiyo forum watatumia pia hata kudicsus mambo yao mbali mbali na sisi wadau tutakuwepo.

Mambo ya Politics waachie JF. Study strenghth na weakness za competitor waliopo sokoni . Kama Nikitaka kuanzisha forum Mimi nitajikita kwenye teknology, Scince na ELimu kwanza. mengine Baadaye.

Kifupi nadhani kama kama mtazamaji ndo angekuwa givenality ndio angefanya hivyo

Otherwsie goodluck mzee kazi kubwa ni marketiing nimekupa njia moja lakini kama unategema uijenge web yao kwa kuitangza jf tu user wa jf may be at most utapata user wa kusajili wasiozidi 4 kila mwezi. na sidhani kama watakuwa active users.

Good luck mzee
 
Mkuu kuna 'submit registration' button mwisho kabisa. Possibly system was being updated.

Nimekuwa tester wa system yako na hizi error inawezekana zimewakatisha tamaaa baadhi. . Nakupa feedback

Sasa nikikong'oli submiti button iunakuja ujumbe huu
Javascript is not active, please activate Javascript for registration!

Javascipt ipo enabled kwenye browser nayotumia. nimejaribu firefox na chrome ujumbe ni huo huo.
 
Nimekuwa tester wa system yako na hizi error inawezekana zimewakatisha tamaaa baadhi. . Nakupa feedback

Sasa nikikong'oli submiti button iunakuja ujumbe huu

Javascipt ipo enabled kwenye browser nayotumia. nimejaribu firefox na chrome ujumbe ni huo huo.

You have been of a REAL help Mtazamaji. Nakushukuru sana.
 
Back
Top Bottom