Photos: wadau wa British Legeon, Saigon,Tazara Club, wakutana leaderz leo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Photos: wadau wa British Legeon, Saigon,Tazara Club, wakutana leaderz leo!

Discussion in 'Entertainment' started by KIM KARDASH, Jan 15, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
 2. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Da! kwa kweli leo nimekumbuka mbaaaaali sana,nimelia sana...poa lakini ndio kazi ya mungu,sote kwake tutarejea.
   
 3. T

  THE WHITE ELEPHANT Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kwa hakika ilikua ni siku kubwa sana jana,kukutana na watu wengi ambao tulipotezana kwa muda mrefu ilikua ni faraja ya aina ya kipekee.Hongera kwa bwana CISCO MTIRO na wenzake kubuni kitu hiki kizuri kwa marafiki tuliobaki kuwakumbuka ndugu zetu waliotangulia.
   
 4. T

  THE WHITE ELEPHANT Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni club wewe acha ushamba....Wapo watoto zao na wajukuu zao
   
 5. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  british legion ni club ya nini,naomba nijulishe
   
 6. T

  THE WHITE ELEPHANT Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaitwa British Legion CLub..
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Nimewaona watu wa Dar Orijino kwa wingi sana, ahsante kwa kutuletea hizi picha, wengine niliwasahau kabisa na Gozi linanielewesha hapa ni "who is who".

  Jamani Picha za hawa watu tuliozoeana sana zinanikumbusha mbali sana na imebidi nilie na kuwaombea Dua waliotutangulia.
   
 8. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  hujajibu swali
   
 9. T

  THE WHITE ELEPHANT Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jibu liko kwenye zile comments zako ulizozifuta hapo juu,ulisema british legion ni nini vile?
   
 10. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  nilikosea ndiyo maana nikafuta,wewe as a great thinker naomba unieleweshe
   
 11. T

  THE WHITE ELEPHANT Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaomba nikueleweshe au unaomba nijibu "swali"?
   
 12. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Shukrani za kipekee kwa watu mliojitokeza na kufanikisha shughuli ile juzi.Mungu akipenda mwakani tena tukutane pale pale.
   
Loading...