Photos:Uzinduzi wa simba sports club tv!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
<!-- google_ad_section_start(name=default) -->[h=2]PHOTOS BY MAMAPIPIRO BLOG[/h][h=3]HAFLA YA UZINDUZI SIMBA TV YANOGA MBAYA[/h]

Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage akimlisha keki mgeni rasmi Naibu Waziri (TAMISEMI) Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa Vipindi vya Simba Tv ambavyo vitakuwa vikirushwa katika kituo cha Clouds Tv, hafla ilifanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Cleopatra uliopo jengo la Quality <NOBR>Centre</NOBR>.
Keki ya ukweliiiiiiiiiiiiiiiii
Baadhi ya wadau tuliopata bahati ya kuhudhuria Dina,Jesca Nangawe (Mwananchi), Somoe Ng'itu (Nipashe) na Asha K (Jambo Leo)
Wadau wa Friends of Simba, Tulliy, Hassanoo, Mosley, Magori, Bawazir
Baadhi ya wachezaji wa Simba waliohudhuria
Cheeeeers
Mdau mwingine John Bukuku hapa akiwa na jezi ya Ramadhan Singano ambayo aliinunua kwa shilingi mil.2, hii ndiyo jezi pekee iliyouzwa kwa bei ya juu.
Makamu Mwenyeki wa Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' akizungumza machache.
Damu nyekundu hiyo ambayo huwa haipitwi na matukio kama hayo a.k.a Simba Damu
Beki wa zamani wa Simba Boniface Pawasa akitoa nasaha zake katika hafla hiyo, kulia ni msemaji wa Simba Ezekiel Kamwaga 'Mr.Mkataba'.
"Golden Man' Zamoyoni Mogela akimwaga maujuzi yake kidogo
Wawakilishi wa makundi tofauti ya Simba wakifungua Shampeni, kutoka kushotok ni mjumbe wa kamati ya utendaji wa Simba Sued Nkwabi, katika kati ni Said Tulliy aliyewakilisha Friends of Simba na kulia ni Charles Hamka aliyewakilisha Fans of Simba.
Naibu waziri akivaa jezi ya mshambuliaji wa kimataifa wa Simba Emmanuel Okwi ambayo aliinunua katika mnada huo.

Hawa pia walikuwepo



Alhaj Rage akitoa neno la Shukran

Watoto wa THT pia walikuwepo​
 
simba tv ndani ya clouds tv????????? yani ni kama chanel ten ndani ya tbc!!!! acheni usanii na kuwahadaa watu!
 
Back
Top Bottom