Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,084
- 1,259
Both of you people will kill me,....Poor kibera dwellers just got hit with the mic you dropped, and they saying to themselves, the gods must be crazy.
Both of you people will kill me,....Poor kibera dwellers just got hit with the mic you dropped, and they saying to themselves, the gods must be crazy.
Wewe ni Mtanzania?
Kwa upande wangu mradi sio mbaya ila wanawapa warrant ya miaka mingapi sio baada ya mika 30 barabara hoiSijapata uchambuzi wa mahesabu yake vizuri, lakini ninachojua ni kwamba kufumua katikati ya mji sio mchezo, haswa kwa Nairobi.
Kibaha iko wapi 😂😂😂Kwahiyo unahisi kwa upande wa TZ hakuna mradi kama huo ambao Magufuli alisha uwongelea....Kunakitu kinaitwa Kibaha Express loading very soon..
True!There is also the 180km Nairobi-Nakuru-Mau summit expressway which is a private investment. It includes an elevated highway passing through Nakuru town. Nakuru will be the second urban centre in east and central africa to have an elevated highway after Nairobi.Mtachoka tu.
Huu ni mwanzo tu.
More private money will go into roads now, and then they pay themselves back with tolls.
Hehee, ni wapi hapa mkuu, napafananisha na ifakara, morogoro. Same soil and settlementsWaiyaki Way Kangemi alot is going on...View attachment 1530435
Si nmeandika hapo jamaa ama hujui kusomaHehee, ni wapi hapa mkuu, napafananisha na ifakara, morogoro. Same soil and settlements