Jumanne saa moja na nusu asubui! kilichokujaa akilini ni Sura za wanaume!!!?
Work together for what purpose? Mtu akiretire ni kazi gani anastahili afanye? Mwanaume mzima unaamkia sura za wanaume wenzako... Nikisema watanzania mna umbeya kama wanawake sitakua nimekoseaTell me, does those people work together?
Jumanne saa moja na nusu asubui! kilichokujaa akilini ni Sura za wanaume!!!?
Ambao achievements zao probably hakuna mtu kwenye ukoo wako atawaifikia!!
Fanya kazi jomba, achana na vijiwe!!!
Work together for what purpose? Mtu akiretire ni kazi gani anastahili afanye? Mwanaume mzima unaamkia sura za wanaume wenzako... Nikisema watanzania mna umbeya kama wanawake sitakua nimekosea
They get consulted too. Nataka kuniambia hujawai mwona Uhuru akiwa kwake MoiBody language speaks a lot, those guys walipigwa picha pamoja kwa bahati mbaya but they are not together..
A reason you see mzee Mkapa and Kikwete besides being retired, are still consulted in different roles internationally;
why not Kibaki ama Nyayo?
Hehehe, Hakuna mtu huona Moi,
Kibaki na Jakaya ndio waliinua uchumi ya East Africa hapo.
Huyo Jamaa huwa anatabasamu, Ushawahi ona Tabasamu la Moi wewe?
Unataka mwanaume mwenzako akupe tabasamu ili iweje? Hawa wanaume wa Dar lakini... Duh!Huyo Jamaa huwa anatabasamu, Ushawahi ona Tabasamu la Moi wewe?
Umedamkia body language za wanaume?!umekurupuka mzee, what is being communicated there is the body language,
Halafu mafanikio ni suala la mtu binafsi na malengo yake, Mimi kama kijana wa Kitanzania nafanya kazi kwenye well respected office, Nipo competent, attractive remuneration, nina biashara na nalipa kodi,
Next...?
Ukweli unajulikanaKwa Kikwete I disagree, he was good in some areas, he had good diplomacy, freedom of speech but the rest tuyaache.
Ukweli unajulikana
TZ GDP iligrow sana. Between 2005-2015,
Iyo ata most Kenyans wanajua,,,
Trade between tz na Kenya ilikuwa super,
Pia TZ was exporting alot within east Africa than now.
Hehe,It is doing better now that Ever
That guy Killed our Education system which is Everything of our prosperity, Killed Healthcare system, corruption rose during his terms,
Incompetency in public offices, not to mention the pathetic infrastructure, and our currency died there.. Ivory and Wild animal poaching was even done by some top ccm officials wtf
But that is one side of the coin otherwise jamaa kuna some Areas alikuwa Vizuri sana pia,
To me if outweighed them, Magufuli is far better than Kikwete.