Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,346
Hahahahah umekillMagufuli kajifungia kama hausigeli mshamba ambaye anaogopa kutoka nje mjini.
Shida ya ushamba mfano wake ni hiimiaka frani tulikuwa na raisi mpenda mipicha kama huyo ila tuliye nae adimuu najua hata huko majuu wanamtamani
naona unalike mbili mpaka asubuhi zitakuwa mia ila ukweli ndio huoShida ya ushamba mfano wake ni hii
Tupo 21st century lazma president akue digital...'aende na wakati' to be precisenaona unalike mbili mpaka asubuhi zitakuwa mia ila ukweli ndio huo
According to him and his supporters he is not anti social but ANTI IDIOTsizonje is nowhere to be found. antisocial
Magufuli is a first class idiot.According to him and his supporters he is not anti social but ANTI IDIOT
Walalamikaji na wakosoaji walio wengi ni waathirika wa maamuzi yake sahihi ya kulinda maslahi ya taifaRais wetu anafanya mambo makubwa ,japo wengi hawapendi style yake ya uongozi lakini yupo makini sna! !akisafiri mambo bado hayajakaa hatutafika, muacheni afanye kazi mambo mazuri yaja