Wow! this is beautiful!!! aliyepiga yupo vizuriHapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc.
Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha.
Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.
Hapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc.
Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha.
Hii picha ilipigwa maeneo ya Kigamboni kutoka kwenye boti la kuelekea Zanzibar.
UsicheleweWow...beautiful shots!
I love taking pictures...ngoja na mie ntapost za kwangu!!
Ndinda weka majina ili iwe rahisi kujua big up mkuupicha nilizopiga mwenyewe, mimi sio mtaalamu na kamera yangu ni simu yangu, il napenda kupiga na kupost picha katika forums mablimbali, hizi nilipiga wiki iliyopita kwa wale ambao wnaelewa photography wanaweza kunikosoa, katika maeneo mbalimbali katika picha hizi
asanteni
hizi hapa za mwaka jana
angalia mti katikati ya jiji ulivyotunzwa vizuri
Nice shotsNdinda weka majina ili iwe rahisi kujua big up mkuu
Hii hata Tanzania ipo sana, IPO mbeya vijijini mpakani na makete kuna misitu kama hii sema huwa hatupendi vyetu
Hii imepigwa kutoka kwenye chopper kwenye misitu ya congo...DRC...U can see natural resources ambayo wanayo hawa jamaa.
Umenikumbusha mbali mkuu, Wakati huo mkuu sikua najua chochote kuhusu camera, nashukuru sasa hivi naweza kupig picha kidogo. ukitembelea uzi wa jiji la dar, picha nyingi za hivi karibuni nimepiga mweyewe. hizo hapo za juu ni zamani sana wakati ado mdogo nilikua school kati ya 2008 na 9Ndinda weka majina ili iwe rahisi kujua big up mkuu
Hata wewe pia unaweza kuwa...just ukiwa eneo ambalo ni zuri take a snapHabari wakuu. naipenda sana taaluma hii. natamani kukutana na photographer yeyote ili nimuulize maswali mawili matatu, hata mm nahtaji baada ya masomo yangu nifanye mishe hii
ulipiga nacm gan mkuuView attachment 32686
Hii ni ya Moshi mjini nilipiga nilipopita hapo mwaka jana,nilipiga kwa simu!! Nikiwa navuka tokea upande ilipo NBC bank