Photocopy Machines Zinauzwa

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,132
Kwa yeyote anayetaka kununua "Used Like New" photocopy mashine zinapatikana Dar es Salaam, Magomeni.
Aina ya photocopiers zilizopo ni
Canon IR2016
Canon IR1600
Canon IR1610
Canon IR4570
Canon IR3045N
Canon IR3025
Canon IR2022
Canon IR3035

Xerox WC275
Xerox WC255
Xerox WC245


Kwa wale wanaofanya kazi za printing kuna mashine zifuatazo:

Bizhub C353
Bizhub C350
Bizhub C550
Bizhub C450

Bei zetu ni za nzuri. Bei zinaanzia Tsh800,000 na kuendelea kulingana na aina ya mashine unayotaka. Kuna na mashine za bei ya chini zaidi. Kwa mawasiliano piga simu na 0715497074 au ni PM. Zipo bei za jumla na rejareja.
 
Mkuu ipi inafaa kwa kufanyia copies za tenders mara kwa mara na ni bei gani?
 
Mkuu ipi inafaa kwa kufanyia copies za tenders mara kwa mara na ni bei gani?

Kama ni kwa matumizi ya ofisi tu ambayo inafanya kazi za ofisi tu au stationary ambayo haiko busy sana machine inayo kufaa ni Canon IR 1600 ambayo bei yake ni Tsh. 850,000. Ila unaweza kupata mashine ya rangi ya Xerox ambayo sasa hivi tunapunguzo tunauza Tsh. 500,000 (Christmas Special). Hii ni Xerox 7242.
 
Weka picha mkuu maana si wote wana ujuzi wa ku-google...
 
mkuu mi naomba kwanza unipe TIN au VRN yako nikahakiki kama unalipa kodi halali ndo nije tuongee business.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom