Phone number +44 7035 948619 beware?

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
Kuna mtu amenitumia email yenye link ya namba hii ambayo amesema ni ya UK inatumia watu SMS na kuwaambia wameshinda kiasi kikubwa cha pesa kutokana na promotions mbalimbali na kuwaomba Bank details kwa ajili ya kuanya malipo hayo.

Ukiangalia watu wanaoulizia kuhusu namba hii wengi ni Watanzania inaonekana namba hii imetarget watanzania zaidi katika kufanikisha malengo ninayodhani ya kitapeli. Kama una ndugu yako mtahadharishe na SMS hii, Hii inanikumbusha wakati wa uchaguzi.

source: http://whocallsme.com/Phone-Number.aspx/447035948619#p183788524693332674
 
Thanks kwa taarifa...na huyo atakuwa ni mbongo ndo anawajua vilaza wake
 
POWER HORSE ENERGY
DRINKS
292,Upper Richmond Rd
West,East
Sheen,London, SW14
7JG
United
Kingdom.
Winning
e-mail: coscated@yahoo.com
Congratulations...
We acknowledged receipt of
your mail and the contents
noted. Firstly,
I would like to introduce myself
to you. I am Mr.
Matthew
Dominique, remittance Officer in
charge of P-H-E-D Winners,
whose email
address falls among the lucky
ones on our online draws, this is
part of our Bonus to all internet
users World Wide. Note, No
purchase of
ticket was require for this draw
and all Participants(email
address) for the
draws were randomly selected
from a worldwide range of your
visiting various
websites such as dating site and
shopping site, More so, my duty
is to
process and facilitate the release
of your winning prize money
after you
have met with our requirements.
HISTORY OF POWER-HORSE
ENERGY DRINK.
Mission Statement of the Bureau
of State Lottery Promo
To maintain the integrity of
promo games and activities.
To help and limit hardship round
the globe through financial
assistance.
To generate revenue for the
state of International consistent
with the
Statutory mandate.
To promote the consumption of
P-H-E-D world wide.
On Behalf of the Screening
Committee, We hereby inform
you that
you are therefore cleared as
approved Official beneficiary of
$540,000.00 (Five
Hundred And Forty Thousand
United State Dollars) only. Your
payment
processing commenced
immediately and your cash prize
will be ready
for disbursement as soon as the
process is completed. In this
regard you
are you are required to go
through the below P-H-E-D
payment options
and let us know how you want
your payment to be made to
you.
POWER-HORSE ENERGY DRINK
PAYMENT OPTIONS.
The P-H-E-D Verification Form is
to be filled by the sole
beneficiary
of the prize funds (you) and
returned by email for final
processing before optional
delivery or transfer process can
be
initiated. A copy of your passport
or drivers license as means of
identification should be sent
along with the Verification/
payment
Form to speedup the process.
Double click on space box to be
able to
write in it .
P-H-E-D VERIFICATION /
PAYMENT FORM
Section A.
**PERSONAL
INFORMATION**
Prefix (Mr., Mrs.,
Ms., Dr.):
First name :
Middle name :
Last name :
Date of Birth (yyy-mm-dd) :
Occupation :
Address :
City/State/province
Country :
Telephone
number(s):
Mobile number(s):
Section B.
** WINNING
INFORMATION / PAYMENT
OPTIONS **
Amount won
Payment Options
Tick on any of the payment
option that you
find most convenient
Courier Delivery
Service
I expect you to fill and return
the P-H-E-D Verification/
payment
form above within 24hrs upon
receipt of this message so that
appropriate
arrangement can be put in
place. As soon as we receive
your Filled
Form, we shall provide you with
further details to enable you
claim your
funds without any form of delay.
Once again I say congratulations
and hope to hear
from you soon.
Regards,
Mr.
Matthew
Dominique,
Remittance Officer:,
Power-Horse
Energy Drinks Dept.
This
message may contain
confidential
information that is legally
privileged and is intended only
for
the use of the parties to whom it
is addressed. If you are not an
intended
recipient you are hereby notified
that any disclosure, copying,
distribution or
use of any information in this e-
mail is strictly prohibited. If you
receive
this message in error please
notify the sender by return e-
mail. All
information and attachments
remain the property of the
POWER-HORSE ENERGY
DRINK UK and should be held
as
confidential.
Copyright © 2010 Power-Horse
Energy Drinks. All Rights
Reserved.
 
Mi kwenye spam box ninazo kila siku napokea 2 mpaka tatu. Mi nahisi hawa watu wanachukua details kwenye facebook page za watu na kuanza kuwatrace ili wawaibie. Mwanzoni nilihisi nimeshinda zawadi na ghafla ikaingia email nyingne yenye same details ila majina ya sender tofauti. Ya mwanzo ilitoka Tobacco Rottery Uk,ya pili Backlays Bank. Nkajua ni upuuzi. Baada ya hapo napata za Dakar,senegal,kenya au Uk. Kwanza ukiangalia pale juu kunakuwa na sender lakini recepient wakati mwingine ni blank,au to many au group!Yani full usanii. Spammers na hackers wanataka kula kirahisi.
 
Mi walinitumia email wakitaka nijaze details zangu halafu ichezeshwe bahati nasibu.Wiki moja baadae walinitumia email kua nimeshinda nafasi ya pili,ilikua ni euro ya kufa mtu.Walitaka nitume pesa kwa njia ya moneywire au westernunion,nikawajibu hiyo zawadi ni yangu hivyo kateni gharama zenu inayobaki nitumieni kwa westernunion.Waligoma kwamba zawadi ikifungwa haifunguliwi.Walinisumbua muda wa wiki kwa email na simu,mi tayar nilikua nshawajua pale tu walipong'ang'ania niwatumie pesa.Walidai wao ni kampuni ya LG electronics uk ltd.Ah nikawapotezea,wakipiga simu nakata na kwa kua kuna mida ambayo walikua wanapiga basi nikawa nazima simu.Ikawa mwisho.
 
Kuna mtu amenitumia email yenye link ya namba hii ambayo amesema ni ya UK inatumia watu SMS na kuwaambia wameshinda kiasi kikubwa cha pesa kutokana na promotions mbalimbali na kuwaomba Bank details kwa ajili ya kuanya malipo hayo.

Ukiangalia watu wanaoulizia kuhusu namba hii wengi ni Watanzania inaonekana namba hii imetarget watanzania zaidi katika kufanikisha malengo ninayodhani ya kitapeli. Kama una ndugu yako mtahadharishe na SMS hii, Hii inanikumbusha wakati wa uchaguzi.

source: http://whocallsme.com/Phone-Number.aspx/447035948619#p183788524693332674

Mkuu angalia sana hao ni POPO =West Africans na usanii wao. Chamsingi usijibu la sivo utajuta. POPO matapeli na hapo wanataka kukufanyia usanii
 
Wabongo tunavyopenda zawadi za promotions na mteremko wa maisha lazima watu watalizwa tu! Watu wanataka short cut ya maisha badala ya ku sweat!
 
Kuna mtu amenitumia email yenye link ya namba hii ambayo amesema ni ya UK inatumia watu SMS na kuwaambia wameshinda kiasi kikubwa cha pesa kutokana na promotions mbalimbali na kuwaomba Bank details kwa ajili ya kuanya malipo hayo.

Ukiangalia watu wanaoulizia kuhusu namba hii wengi ni Watanzania inaonekana namba hii imetarget watanzania zaidi katika kufanikisha malengo ninayodhani ya kitapeli. Kama una ndugu yako mtahadharishe na SMS hii, Hii inanikumbusha wakati wa uchaguzi.

source: http://whocallsme.com/Phone-Number.aspx/447035948619#p183788524693332674

Inaonekana labda baada ya hawa jamaa kuwa targeted by the police in the UK, jamaa wamehamia Bongo.

BBC News - Met police seize scam mail aimed at UK victims
 
Mimi nilijifanya sijui nikajibu email vizuri na nikawapa cellphone number yangu! Within a min nikapigiwa simu na mtu akinisisitiza niharakishe malipo. Hapo ndio MOTO uliwaka, hawakunipigia tena. Na hawakunijibu kwa mail. ila kila siku napokea mbili au tatu za aina hiyo.
 
Kama ni Roza Maria atakuwa alitapeliwa kivingine
WEKA SHULE HII HADHARANI, MAANA WATU WANAPIGWA BALAAA.... HAWA JAMAA VERY INTELLIGENT, KUNA ISHU NYINGINE HUWA ZINAIBUKA KWENYE E-MAIL UTAKUTA MTU ANAKUTUMIA MAIL KUA ANA HELA AMBAZO ANATAKA AZITOE KUPITIA KWENYE ACCOUNT YAKO KWAMBA YEYE NI MKIMBIZI NCHI FLANI FLANI HASA SUDAN, NA KUSEMA WAZAZI WAKE WALIULIWA NA KUMWACHIA HELA NYINGI SANA HIVYO UMSAIDIE KUZITOA HIZO HELA KUPITIA ACCOUNT YAKO KISHA ATAKUPIGA 50%, ILA LAZIMA KWANZA UMTUMIE HELA ILI HIZO HELA AZIFANYIE PROCESS. Be aware!!!!
 
Kuna mtu amenitumia email yenye link ya namba hii ambayo amesema ni ya UK inatumia watu SMS na kuwaambia wameshinda kiasi kikubwa cha pesa kutokana na promotions mbalimbali na kuwaomba Bank details kwa ajili ya kuanya malipo hayo.

Ukiangalia watu wanaoulizia kuhusu namba hii wengi ni Watanzania inaonekana namba hii imetarget watanzania zaidi katika kufanikisha malengo ninayodhani ya kitapeli. Kama una ndugu yako mtahadharishe na SMS hii, Hii inanikumbusha wakati wa uchaguzi.

source: http://whocallsme.com/Phone-Number.aspx/447035948619#p183788524693332674

Iweje mtu ushinde draw au lottery bila kuingia kwenye draw au kucheza? Mimi ikija kwangu tawaambia wachukue tu hizo pesa au wawape DOWANS!
 
Iweje mtu ushinde draw au lottery bila kuingia kwenye draw au kucheza? Mimi ikija kwangu tawaambia wachukue tu hizo pesa au wawape DOWANS!

Mkuu hawa jamaa ni intelligent sana kwa kucheza na akili zilizolala. Mfano wewe si unatumia Mobile handset mfano tuseme una NOKIA. Wanakutumia SMS kwenye simu yako na kubahatisha kuwa ni kweli Nokia na kukwambia serial namba na IMEI ya simu yako imeshinda draw ya Nokia promotion, utafikiria mara mbili?. Ndivyo namba hii inavyofanya.
 
Back
Top Bottom