Phone lost

muima

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
276
66
Wanajopo naombeni kusaidiwa kuitrace simu yangu iliyopotea/kuibiwa... Mwenye ujuzi huo tuwasiliane 0652823089
 
Kwa njia rahisi tu.

Hakikisha unajua imei ya hiyo simu yako

Uwe na uthibitisho wa umiliki halali wa hiyo simu(risiti)

Lost report ya polisi.

Pia ufungue na jalada la kuibiwa hapo polisi baada ya hapo rudi nikuunganishe na mtu wa kukusaidia ila atataka hela tu. Minimum of 30k
 
Asante mkuu, nimeku pm
 
Pole sana mkuu
Nilipoibiwa ibiwa simu yangu niliyoipenda samsung...
iliniuma sana.
Baada ya ikanipa fundisho.
Sasa sina wasiwasi.
Hata ikiibiwa naipata bila wasi.

pole mkuu utasaidiwa tu.
 
Pole sana mkuu
Nilipoibiwa ibiwa simu yangu niliyoipenda samsung...
iliniuma sana.
Baada ya ikanipa fundisho.
Sasa sina wasiwasi.
Hata ikiibiwa naipata bila wasi.

pole mkuu utasaidiwa tu.
Nielekeze basi unaipataje?
 
Kwa njia rahisi tu.

Hakikisha unajua imei ya hiyo simu yako

Uwe na uthibitisho wa umiliki halali wa hiyo simu(risiti)

Lost report ya polisi.

Pia ufungue na jalada la kuibiwa hapo polisi baada ya hapo rudi nikuunganishe na mtu wa kukusaidia ila atataka hela tu. Minimum of 30k
Bosssss naendelea kukusubiri
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom