Elections 2010 Phocas Rwegasira na Andry Rajoelina Wana Historia Zinazolandana

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
ANDRY RAJOELINA Andry.jpg NA PHOCAS RWEGASIRA Phocas.jpg

Wanahistoria inayolandana kulingana na ufahamu wangu. Cha kwanza na kikubwa zaidi wote ni wanamapinduzi wazalendo wanaoibuka kutoka kazi ya kupiga Muziki.

Namfahamu Phocas kama Brand ya Muziki Kagera.

Toka enzi, ili harusi au sherehe yako ihesabike kufikia viwango, kuvutia na kupendeza lazima uhakikishe Phocas ndiye anakupa huduma ya Muziki. Brand level ya Phocas imezama chini sana vichwani na vinywani mwa wanajamii wa Kagera hasa vijijini. Kipindi cha nyuma kidogo kabla ya kuanza kuongezeka wadau wa huduma ya Muziki, watu wengine walifikiri ukisema "Phocas" unamaanisha muziki. Mfano ilikuwa kawaida kusikia mjumbe akiuliza katika kamati za maandalizi ya sherehe kwa kusema "Nani atapiga fokasi kwenye sherehe hii"? huku akitaka kumaanisha Nani atapiga muziki kwenye sherehe hii. Phocas anaweza kunufaika na hiyo Brand Image na uzamivu wake kufahamika mpaka vijijini na kwa hakika akatengeneza historia mpya katika siasa za kitaifa kama Rajoelina.
 
Hata kwenye kampeini zake (ETI) amekuwa akitoa ahadi kuwa akichaguliwa atawapigia mziki wananchi kwa siku tatu mfululizo.

Sijui hii imekaaje mzee omutwale
 
Aghaghagahagha wacha utani Ndg. Kagasheki hajambo?
 
ANDRY RAJOELINAView attachment 14275 NA PHOCAS RWEGASIRAView attachment 14277

Wanahistoria inayolandana kulingana na ufahamu wangu. Cha kwanza na kikubwa zaidi wote ni wanamapinduzi wazalendo wanaoibuka kutoka kazi ya kupiga Muziki.

Namfahamu Phocas kama Brand ya Muziki Kagera.

Toka enzi, ili harusi au sherehe yako ihesabike kufikia viwango, kuvutia na kupendeza lazima uhakikishe Phocas ndiye anakupa huduma ya Muziki. Brand level ya Phocas imezama chini sana vichwani na vinywani mwa wanajamii wa Kagera hasa vijijini. Kipindi cha nyuma kidogo kabla ya kuanza kuongezeka wadau wa huduma ya Muziki, watu wengine walifikiri ukisema "Phocas" unamaanisha muziki. Mfano ilikuwa kawaida kusikia mjumbe akiuliza katika kamati za maandalizi ya sherehe kwa kusema "Nani atapiga fokasi kwenye sherehe hii"? huku akitaka kumaanisha Nani atapiga muziki kwenye sherehe hii. Phocas anaweza kunufaika na hiyo Brand Image na uzamivu wake kufahamika mpaka vijijini na kwa hakika akatengeneza historia mpya katika siasa za kitaifa kama Rajoelina.

Omutwale,
Umenichekesha sana sana. Huu ndio ukweli kuhusu Phocas. Ngoja aje amgalagaze yule mama
 
MF, huo ndo naona unafaha kuwa mfano halisi. Shime tumuunge mkono Phocas atengeneze historia na apeleke hoja za wananchi wa Nkenge mjengoni
 
Back
Top Bottom