Philosophy: Huku ndiko Lwandamina aelekeapo

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,222
15,074
Kama umepata bahati ya kucheki game ya leo dhidi ya JKT ruvu na pengine game ile ya kirafiki dhidi ya JKU utakuwa kwenye nafasi ya kumuelewa mwl Lwandamina.

Nawashauri mkiwa mnatazama game yeyote ya Dar es Salaam Young Africans SC kuweni sana na aina ya uchezaji. Mtagundua kuwa wachezaji wanapata wakati mgumu sana kutekeleza mfumo wa Lwandamina wawapo uwanjani katika dakika za awali.

Falsafa na Mfumo wa Lwandamina kulazimisha sana viungo kuwa nguzo kuu ya upatikanaji wa Mabao. Style/Mfumo ambao umekuwa ukitumika sana Simba sports club.... na ambao pia umekuwa kinyume na style ya uchezaji wa Klabu ya Dar es Salaam Young Africans SC.

Kama ulitazama vyema game ya Yanga dhidi ya JKT ruvu utagundua muda mwingi viungo walikuwa wakilazimika kupenyeza mipira katikati ya mabeki wa timu pinzani...
Pia viungo ndio walikuwa responaible kusambaza mipira kwa washambukiaji wa pembeni.

Ni tofauti sana na jinsi tulivyokuwa tukicheza tangu hapo awali.
Ambapo mara nyingi tumekuwa tukiona mipira ikitoka kwa Golikipa - Juma Abdul - Msuva then ndio unapigwa kati kutafuta bao. Inaonekana wachezaji wamepigwa marufuku kabisa kufikisha mpira mbele bila Kiungo kuugusa/kuhusika katika mpira huo.

Sasa unaweza ukawa umepata picha kwanini Zulu hakuwa kabisa kwenye kikosi cha leo.

Sasa unatambua kwanini Makapu alilazimika kuingia dakika za mwisho kabisa.

Lengo kuu ilikuwa kuangalia kama viungo wachezeshaji wanaweza kutekeleza.

HITIMISHO:

YANGA hii itakuwa na silaha mbili za Ushambulizi.

1. Wing Attack (Natural)
2. Penetrative pass Attack (Lwandamina's philosophy)

Naiona YANGA hii ikiwa bingwa wa VPL mfululizo kwa zaidi ya mara 6 mpaka 8. Kwa sababu hakuna klabu Bongo yenye silaha hizi mbili za mauaji.

Napata shida kuifahamu klabu yeyote ambayo inaweza kuzuia hizi philosophies mbili kwa wakati mmoja....!

Napata shida pia kujua Klabu gani hapa Afrika Mashariki ina uwezo huu.

Napata shida kujua kama wale ambao wamecheza na Yanga(iliyokuwa na philosophy ya aina moja) kwa zaidi ya mara 5 (na kushindwa kupata uahindi) wanawezaje kuifunga hii ya sasa.

Nawasilisha......
 
Nimeridhika kwa kiasi fulani na maelezo yako ya kiufundi japo yamechanganyikana na mahaba ya chama lako, lkn angalau sisi tunaopenda uchambuzi umetusaidia kujua mwelekeo wa ndala fc kwa kuwa sikufanikiwa kuuona mpira wa leo

Angalizo, umeanza kucheza ngoma kabla haijapigwa. Ni mapema sana kuridhika na ufanisi wa mfumo huu hasa ukizingatia timu mliyokutana nayo.
 
ulichoandika ni sahihi kabisa.ck zote yanga tulikuwa tunategemea mashambulizi kutokea kwa mawinga.kitu ambacho leo hakijatokea.na leo umepigwa mpira mwing katkati.
 
Kama umepata bahati ya kucheki game ya leo dhidi ya JKT ruvu na pengine game ile ya kirafiki dhidi ya JKU utakuwa kwenye nafasi ya kumuelewa mwl Lwandamina.

Nawashauri mkiwa mnatazama game yeyote ya Dar es Salaam Young Africans SC kuweni sana na aina ya uchezaji. Mtagundua kuwa wachezaji wanapata wakati mgumu sana kutekeleza mfumo wa Lwandamina wawapo uwanjani katika dakika za awali.

Falsafa na Mfumo wa Lwandamina kulazimisha sana viungo kuwa nguzo kuu ya upatikanaji wa Mabao. Style/Mfumo ambao umekuwa ukitumika sana Simba sports club.... na ambao pia umekuwa kinyume na style ya uchezaji wa Klabu ya Dar es Salaam Young Africans SC.

Kama ulitazama vyema game ya Yanga dhidi ya JKT ruvu utagundua muda mwingi viungo walikuwa wakilazimika kupenyeza mipira katikati ya mabeki wa timu pinzani...
Pia viungo ndio walikuwa responaible kusambaza mipira kwa washambukiaji wa pembeni.

Ni tofauti sana na jinsi tulivyokuwa tukicheza tangu hapo awali.
Ambapo mara nyingi tumekuwa tukiona mipira ikitoka kwa Golikipa - Juma Abdul - Msuva then ndio unapigwa kati kutafuta bao. Inaonekana wachezaji wamepigwa marufuku kabisa kufikisha mpira mbele bila Kiungo kuugusa/kuhusika katika mpira huo.

Sasa unaweza ukawa umepata picha kwanini Zulu hakuwa kabisa kwenye kikosi cha leo.

Sasa unatambua kwanini Makapu alilazimika kuingia dakika za mwisho kabisa.

Lengo kuu ilikuwa kuangalia kama viungo wachezeshaji wanaweza kutekeleza.

HITIMISHO:

YANGA hii itakuwa na silaha mbili za Ushambulizi.

1. Wing Attack (Natural)
2. Penetrative pass Attack (Lwandamina's philosophy)

Naiona YANGA hii ikiwa bingwa wa VPL mfululizo kwa zaidi ya mara 6 mpaka 8. Kwa sababu hakuna klabu Bongo yenye silaha hizi mbili za mauaji.

Napata shida kuifahamu klabu yeyote ambayo inaweza kuzuia hizi philosophies mbili kwa wakati mmoja....!

Napata shida pia kujua Klabu gani hapa Afrika Mashariki ina uwezo huu.

Napata shida kujua kama wale ambao wamecheza na Yanga(iliyokuwa na philosophy ya aina moja) kwa zaidi ya mara 5 (na kushindwa kupata uahindi) wanawezaje kuifunga hii ya sasa.

Nawasilisha......
Umenena vyema
 
Naziangalia team 2 kubwa zenye mashabiki wengi hapa nchini zikiwa na malengo tofauti kabisa,Simba wakifanya juu chini kuhakikisha walau baada ya kutoka kapa miaka kadhaa wanatwaa ubingwa wa Ligi kuu 16/17 na Yanga ambayo kutwaa ubingwa wa Ligi kwao imekuwa siyo issue tena ikijaribu kuweka mkazo wa kufika mbali zaidi kimataifa
 
Ni kweli aisee.
 
Kama umepata bahati ya kucheki game ya leo dhidi ya JKT ruvu na pengine game ile ya kirafiki dhidi ya JKU utakuwa kwenye nafasi ya kumuelewa mwl Lwandamina.

Nawashauri mkiwa mnatazama game yeyote ya Dar es Salaam Young Africans SC kuweni sana na aina ya uchezaji. Mtagundua kuwa wachezaji wanapata wakati mgumu sana kutekeleza mfumo wa Lwandamina wawapo uwanjani katika dakika za awali.

Falsafa na Mfumo wa Lwandamina kulazimisha sana viungo kuwa nguzo kuu ya upatikanaji wa Mabao. Style/Mfumo ambao umekuwa ukitumika sana Simba sports club.... na ambao pia umekuwa kinyume na style ya uchezaji wa Klabu ya Dar es Salaam Young Africans SC.

Kama ulitazama vyema game ya Yanga dhidi ya JKT ruvu utagundua muda mwingi viungo walikuwa wakilazimika kupenyeza mipira katikati ya mabeki wa timu pinzani...
Pia viungo ndio walikuwa responaible kusambaza mipira kwa washambukiaji wa pembeni.

Ni tofauti sana na jinsi tulivyokuwa tukicheza tangu hapo awali.
Ambapo mara nyingi tumekuwa tukiona mipira ikitoka kwa Golikipa - Juma Abdul - Msuva then ndio unapigwa kati kutafuta bao. Inaonekana wachezaji wamepigwa marufuku kabisa kufikisha mpira mbele bila Kiungo kuugusa/kuhusika katika mpira huo.

Sasa unaweza ukawa umepata picha kwanini Zulu hakuwa kabisa kwenye kikosi cha leo.

Sasa unatambua kwanini Makapu alilazimika kuingia dakika za mwisho kabisa.

Lengo kuu ilikuwa kuangalia kama viungo wachezeshaji wanaweza kutekeleza.

HITIMISHO:

YANGA hii itakuwa na silaha mbili za Ushambulizi.

1. Wing Attack (Natural)
2. Penetrative pass Attack (Lwandamina's philosophy)

Naiona YANGA hii ikiwa bingwa wa VPL mfululizo kwa zaidi ya mara 6 mpaka 8. Kwa sababu hakuna klabu Bongo yenye silaha hizi mbili za mauaji.

Napata shida kuifahamu klabu yeyote ambayo inaweza kuzuia hizi philosophies mbili kwa wakati mmoja....!

Napata shida pia kujua Klabu gani hapa Afrika Mashariki ina uwezo huu.

Napata shida kujua kama wale ambao wamecheza na Yanga(iliyokuwa na philosophy ya aina moja) kwa zaidi ya mara 5 (na kushindwa kupata uahindi) wanawezaje kuifunga hii ya sasa.

Nawasilisha......
Uneshasema huo mfumo unatumiwa na Simba. Sasa iweje tena Young ndio awe bingwa peke yake? Nazani ungesema hizo timu mbili zitatawala kileleni kwa muda mrefu. Mahaba yamezidi mchambuzi wewe.
 
Ukisoma kwa makini utagundua nikimaanisha style 2 ambazo Yanga huzitumia kwa wakati 1.
 
Changeni wachezaji wamegoma kufanya mazoezi leo asubuhi hawajalipwa mshahara wa Novemba.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom