Elections 2010 Philip Marmo yupo hoi hospitali huko Haydom

Gurtu

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,247
342
Baada ya kubwagwa na mgombea wa CHADEMA, ndugu Philip Marmo(mgombe ubunge: CCM- Mbulu) yupo Haydom akipata matibabu. Hata hivyo inasemakna kuwa hajalazwa Hospitalini bali yupo katika nyumba ya wageni akihudumiwa na Madaktari.
 
Wishing him quick recovery and a safe return to Ayamaami.
 
Baada ya kubwagwa na mgombea wa CHADEMA, ndugu Philip Marmo(mgombe ubunge: CCM- Mbulu) yupo Haydom akipata matibabu. Hata hivyo inasemakna kuwa hajalazwa Hospitalini bali yupo katika nyumba ya wageni akihudumiwa na Madaktari.
Aliamini atakuwa mbunge milele.....?
 
auae kwa upanga nae hufa kwa upanga Mungu anaanza kumuonjesha jehanamu kama alivyokuwa akijifanya Mungu mtu na ccm yake ya mafisadi
 
Nakukumbuka ulivyokuwa mkali na mkosoaji makini wa serikali wakati ukiwa mbunge; lakini ulipoingia tu serikalini ukafanana nao..

Ugua pole.
 
hii ni balaa yaani huyu amelewa madaraka hadi anafikia kuugua mbona wale wa vyama pinzani hatujasikia kulazwa au kuwa hoi ila hawa kwa sababu ni mafisadi ndo maana maana wametumia fedha nyingi sana ili wapate na wamebwagwa chini pwaaaaaaaaaa ! thi thi thi hi hi hi hi bado kikwete siku yake nae puuuuuuuu !
 
Alipokuwa waziri wa habari na utangazaji 1995 october, siku chache kabla ya kupiga kura alikuja shuleni kwetu baada ya kusikia wanafunzi hawampendi, nilipata taarifa kuwa naitwa na mkuu wa shule nyumbani kwake, nilipofika tu pale sebuleni akaanza kijana je unafahamu kwamba ni kosa kwa mwanafunzi kupiga kampeni nikajib sijui,akanza oh rwanda na burundi wanapigana kwa sababu ya vyama vingi nikamjibu tu wa heshima kuwa ni kwa sababu ya Ukabila akaniona mjeuri. wanafunzi 640 waliopiga kura marmo alipata 29 tulihuzunika sana lakini tukaja kujua kura 29 ni za walimu na watumishi. Sisi tulikuwatunafanya kampeni ya Mbunge aliyesimamishwa na NCCR enzi hizo. Jambo moja sintasahau katika uongozi wake matokeo yalipotoka tu kuwa amepita, aliyekuwa mwl mkuu shule ya jirani alihamishwa Mtwara kabla hata hajaapishwa kwa sababu alikuwa anampinga, alikuwa jeuri huyu mtu juzi niliposikia mbulu marmo ameaanguka nilifurahi saaaaaaaaaaaaaaaaaaana.
 
good boy
 
alipokuwa waziri wa habari na utangazaji 1995 october, siku chache kabla ya kupiga kura alikuja shuleni kwetu baada ya kusikia wanafunzi hawampendi, nilipata taarifa kuwa naitwa na mkuu wa shule nyumbani kwake, nilipofika tu pale sebuleni akaanza kijana je unafahamu kwamba ni kosa kwa mwanafunzi kupiga kampeni nikajib sijui,akanza oh rwanda na burundi wanapigana kwa sababu ya vyama vingi nikamjibu tu wa heshima kuwa ni kwa sababu ya ukabila akaniona mjeuri. Wanafunzi 640 waliopiga kura marmo alipata 29 tulihuzunika sana lakini tukaja kujua kura 29 ni za walimu na watumishi. Sisi tulikuwatunafanya kampeni ya mbunge aliyesimamishwa na nccr enzi hizo. Jambo moja sintasahau katika uongozi wake matokeo yalipotoka tu kuwa amepita, aliyekuwa mwl mkuu shule ya jirani alihamishwa mtwara kabla hata hajaapishwa kwa sababu alikuwa anampinga, alikuwa jeuri huyu mtu juzi niliposikia mbulu marmo ameaanguka nilifurahi saaaaaaaaaaaaaaaaaaana.

hana tofauti na yule mama wa iringa. Katili ndani ya ukatili. Huo ni mwanzo tu ngoma inalilia 2015.
 
Haifai kumchoma sindano ya sumu marmo, anapaswa kuondoa dhana potofu aliyokuwa nayo kwamba hakuna wenine wenye akili zaidi yake hapo mbulu.
Marmo pole
 
Back
Top Bottom