Philadelphia, Marekani: Watoto wenye ualbino waliokatwa mikono wapatiwa mikono ya bandia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,471
2,000
Mmoja kati ya Watoto wanne wa kitanzania wenye ualbino akiwa anaujaribu mkono wa bandia aliopewa baada ya kukatwa mikono na watu wasiojulikana kwa imani za kishirikina.

Hospitali ya Shriners iliyoko Philadelphia Marekani, imewapatia mikono hiyo ya bandia watoto hao ili iweze kuwasadia kufanya shughuli zao za kila siku.

Kijana Emmanuel Rutema(15) anayeonekana kwenye Video amesema kuwa watu hao waliokata mkono wake walijaribu pia kuutoa ulimi na meno yake bila ya mafanikio.
 

Attachments

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,767
2,000
hao ndio watanzania bwana, wamelifikisha taifa hapo;
ngada suppliers...
uuaji wa albino...
uuaji wa vikongwe...
ufisadi na ubadhirifu...
kweli tanzania tunapaa kimataifa kwa kujitangaza kwa namna ya kipekee
HEKO!
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,586
2,000
hao ndio watanzania bwana, wamelifikisha taifa hapo;
ngada suppliers...
uuaji wa albino...
uuaji wa vikongwe...
ufisadi na ubadhirifu...
kweli tanzania tunapaa kimataifa kwa kujitangaza kwa namna ya kipekee
HEKO!
Nchi inatakiwa ipinduliwe kwa kila hali kijamii, kisiasa, kiuchumi, kielimu, kifikra na hata kiupendo
 

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,837
2,000
Hawa si ndio walituma lidege kuwachukua wale wanafunzi waliopata ajari kule karatu? Na leo tena ma albino, na tukikaa kwenye vibanda vya kahawa tunawaita makafil, watu wabaya, ni kweli hawa watu wana roho mbaya kuliko sisi wagombea rambirambi? Alafu mbona asia, india, china, saudia, Qatar wana hospitali kubwa sanaa kama Apollo na sijawahi kusikia wakijitolea kama hawa makafir wazungu, unajua mimi maswali hayaniishi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom