rreporter2010
Member
- Nov 7, 2010
- 34
- 1
Wana JF naomba msaada,Mimi sielewi kwa nini Wanasiasa wengi siku hizi wanapewa PHD na vyuo mbalimbali MfanoR.Amani abedi Karume,Dr J K Kikwete
Leo nimeona kwenye TV Uongozi wa UDOM ukimkabidhi Kikwete na Mke wa Kawawa PHD.
Hivi ni lazima Kila mwana siasa kupewa PHD.Je kupewa PHD na vyuo ni kipimo cha Uongozi Bora,?