PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

Wewe mpuuzi vyeti vya wazazi wake kakague wewe. Kwani umekatazwa!? Haya kakague sasa.

Dini aanza kuhuburi nyumbani kisha ndio uende kwa majirani. Mi nakushauri anza kukuagua vyeti vya wazee wako, ukipata majibu yalete hapa halafu tutahamia kuchunguza kwingine
 
Uwezo wa Magufuri unaonekana wazi kuwa ni mdogo sasa, haiitaji kuangalia CV yake; pia ni muongo, uelewa wake siyo hata wa Master degree labda form four; hakuna PhD holder anaweza kufikiria kubomoa jengo la Tanesco Ubungo wakati lilijengwa yeye mwenyewe Magufuri akiwa waziri, kwasababu ya kutafuta sifa za kisiasa na kuitia Serikali na Umma hasara ya Mabilioni yaliyotumika kujenga hilo jengo.

Mimi mtu anayemshabikia magufuri uwa namuona kama ****, hasiyejua Dunia inakwenda wapi na inatoka wapi. Hakuna jambo la maana hata moja ambalo nimewahi kumsikia akionge hata siku moja tokea nimeanza kumfahamu

Ebu tupe data huyo Prof wake na mambo yote hachana nao wake wa Magufuri
Mkuu Arafat wewe umeanza kumfahamu mh rais toka wakati gani? Just curious maana umesema "toka nimeanza kumfahamu"
 
Cha msingi uhakiki, uanze upya , tena kwa watumishi wote bila kujali nyadhifa zao. Kuanzia Rais wa nchi hadi wale walimu wapya waliopata ajira juzi juzi.

huyu atakuwa rais wa kwanza kunyang'anywa elimu yake ya PhƊ....
wakati serikali inafukuza wenye vyeti feki.... inasikitisha kuona baadhi ya wanasiasa bado wanavitumia...

Lakini haishii hapo tuu angalia CV zake form 4 na six na degree ya kwanza alaipata class gani...!!!


Tuanzie hapo tu, kuhusu Form 4 na 6, nafikiri hakufanya vuzuri na ndo maana alienda kusomea ualimu, so acha kudanganya umma.


kwani rais alipata division gani F6 na F4!?.... tujue IQ yake
 
Kuhusu Magufuli nitakujibu kwa ufahamu wangu.

Si kweli kusema jamaa hakuingia maabara ya Chemistry pale chuo... Kwa taarifa yako Magufuli ni maarufu sana pale chuoni kwa kuwa alikuwa akila RB na wanafunzi wengine muda wa mchana akitokea Lab.

Pia Magufuli amesoma PhD yake kama wanafunzi wengine akifanya ishu za kiunafunzi kama Discussions na walimu wake, kuingia maabara, kula Cafeteria zaidi cafe 1 pale, kuongea stori za kiunafunzi na wenzie wa Phd na wengine wa Masters...

Wengi walikuwa wakishangaa saana 2008/10 kumuona Mhe. John mkali wa kumbukumbu.. Sio utani kumuona bungeni yuko vile njoo uulizie pale UDSM uwezo wa Magufuli utaambiwa... Jamaa habahatishi kabisa akili kumkichwa...

Lakini haishii hapo tuu angalia CV zake form 4 na six na degree ya kwanza alaipata class gani...!!!

ANGALIZO:
Kabla hujaandika upuuzi au malighafi(unreseached data) tafadhali fanya uchunguzi kwanza.

BIG UP TO MAGUFULI
HE WILL MOVE TO CHADEMA IF CCM DENIES HIM TO BECOME THE NEW PRESIDENT OF THIS COUNTRY!!

PEOPLE'S POWER
Phd off compass miaka mitatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!
Hapo kwenye red font ndo umenimaliza. Hiyo ni ishara ya ushabiki wa ndoa. Yaonekana una ndoa na Magufuli maana hoja ilikuwa pana ikiwahusisha wanasiasa woote pamoja na vyuo vyao.

Kwako wewe tatizo ni Magufuli hata kama wengine wakiondolewa Ph.D, haikupi taabu.

Sasa unatetea kwa pointi za kizembe! PhD inapatikana kwa kula cafeteria na kupiga stori za kianafunzi? takataka!

Nakupa task ili ushabiki ukutoke. Unamfahamu aliyesimamia hiyo Ph.D? Unafahamu sasa hivi yuko wapi?

Ukilazimisha nitakupa mambo ya aibu ya shule hiyo lakini hapa ni kwa wanajamii. Tunataka utu na akili itumike.

Usimuinue mtu bila sababu maana hiyo CV ya magufuli iko wazi kuliko unavyoificha.
Unafahamu Master aliisoma miaka mingapi?
ulete na cv ya mwenyekiti mbowe humu yaani dj freeman
tapatalk_1503250562147.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanayotokea Libya yanawatia taabu baadhi ya wakuu wa vyuo huko Ulaya. Kwa mfano huu;

The director of the London School of Economics (LSE), Sir Howard Davies has resigned over its links to Libyan leader Col Muammar Gaddafi. ...

He said the decision to accept £300,000 for research from a foundation run by Col Gaddafi's son Saif had "backfired".

The LSE has already announced it is investigating claims that Saif Gaddafi plagiarised his PhD thesis, which was awarded in 2008.

Huko Ujerumani nako kuna haya;
Germany's defence minister Karl-Theodor zu Guttenberg was forced to resign today after admitting plagiarising large chunks of his doctoral thesis

Zu Guttenberg, 39, agreed to drop his doctor title nearly a fortnight ago over allegations he copied chunks of his PhD thesis from newspapers and the Internet.

Hapa kwetu je?
Huyu anayeitwa Dr Magufuli inaeleweka kabisa hakuingia maabara kufanya kazi iliyompa Ph.D.

Hatua gani ichukuliwe kwa profesa aliyesaidia udanaganyifu huu kama ilivyomtokea Sir Howard Davies?

UD kama chuo, kimechukuwa hatua gani?

Yeye mwenyewe Magufuli kama ilivyo kwa Zu Guttenberg amechukuwa hatua gani.

Mwisho hao wengine waliotajwa na Mr Msemakweli ktk kitabu chake wako wapi na Ph.D zao?
PhD feki itawatetea maprofesa feki kama ilivyotetea vyeti feki vya bashite
 
Waungwana, kwa heshima na taadhima ningependa kuomba mwenye copy ya phD ya magufuli aweze ku-share nasi hapa kwenye jamvi. Nia na sababu ya kuomba nakala ni kutokana na uvumi na tetesi zisizoisha kutoka mitaani zikidatisha kuwa alifanyiwa utafiti huo na kubebwa kwa mbeleko ya chuma na supervisors wake. Hata hivyo hakuna mwanazuoni yeyote akiwemo muhusika mwenyewe (magufuli)amewahi kukanusha or kukubali...

Sababu nyingine ni kuwa: wana-taaluma na wasomi wengi huwa wana utaratibu wa ku-share documents(publications) na mara nyingi huwekwa online kwa ajili ya references. cha kushangaza ni kuwa phD ya bwana mkubwa imefanywa siri na sijaona hata published paper yoyote ya magufuli ikiwa online. Elimu ni bahari...Let us share!

Prof
 
kama hujaiona tulia an inabdi uende chuo alichomaliza UDSM utaipata mkuu kutoka kwenye maktaba yao
 
Back
Top Bottom