PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

Ndio maana nimeanzisha Hashtag

[HASHTAG]#MagufuliHakikiPhDyako[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MagufuliVerifyyourPhD[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MagufuliOngozaUhakiki[/HASHTAG]
 
Usitarajie kumuona akijitokeza.Kwenye uhakiki wa silaha alikuwa mstari wa Mbele ila hili la uhakiki wa vyeti ni gumu kuliko kupiga push-ups.
Ben Unaaibisha digrii zako za kihindi ulikosomea
Alijitokeza chap chap kuhakikiwa silaha sababu hiyo mamlaka inayohusika ambayo ndio ilitoa vibali vya silaha ilitaka wenye silaha wote waende kuhakiki akaenda chap chap.Mamlaka zinazotoa vyeti umeona zimeita digrii za watu wakahakiki?

kWA hiyo aitikie wito wa Jamii forums? Jamii forums huwa inatunuku cheti chochote au digrii yeyote?
Nina wasiwasi na hizo digrii zako za kihindi.Hivi ulisoma chuo gani vile kule india?
 
Acha ujinga hayo waulize bavicha mnaobisha nao ..huko Mimi hayaniusu...

Anayenihusu ni yule anayetawala maana kama tu yeye alifoji elimu uoni kwamba ni utata mtupu hata baadhi ya maamuzi anayoyachukua?
Wakati mwingine kutumia maneno ya busara kwenye mjadala unaleta tija ili kuendelea kupeana vitu ambavyo wengi hatuvijui na vyenye tija, pole mkuu.
 
Ben Unaaibisha digrii zako za kihindi ulikosomea
Alijitokeza chap chap kuhakikiwa silaha sababu hiyo mamlaka inayohusika ambayo ndio ilitoa vibali vya silaha ilitaka wenye silaha wote waende kuhakiki akaenda chap chap.Mamlaka zinazotoa vyeti umeona zimeita digrii za watu wakahakiki?

kWA hiyo aitikie wito wa Jamii forums? Jamii forums huwa inatunuku cheti chochote au digrii yeyote?
Nina wasiwasi na hizo digrii zako za kihindi.Hivi ulisoma chuo gani vile kule india?
Hahahha

Kama una wasiwasi nazo basi lawama ni kwa serikali iliyonitafutia Chuo bora kwa Bachelor degree hadi Masters.Nikimaliza PhD Ulaya ndio lawama zitakua kwangu

Magufuli alisomaje miaka 3 PhD wakati hakua full time student?
 
Hahahha
Kama una wasiwasi nazo basi lawama ni kwa serikali iliyonitafutia Chuo bora kwa Bachelor degree hadi Masters.

Serikali ilipoteza pesa zake kukusomesha.Haijapata VALUE FOR MONEY kwa pesa waliyokusomeshea.Umesoma vyuo bora ila hujatoka mwanafunzi bora.Kusoma chuo bora na kutoka ukiwa mwanafunzi bora ni vitu viwili tofauti.Ni sawa na Mwenyekiti wako MBowe ALISOMA SHULE YA VIPAJI MAALUMU YA WATOTO wenye akili mno ya Ihungo SECONDARY Lakini akatoka na division ZERO.Birds of the same feather flock together.Naanza kuelewa kwa nini wewe na Mbowe wote mko CHADEMA na mmegawana vyeo
 
ISHU NI PALE vijana wa BAVICHA wanapokosa hoja za msingi na kuanza kudiscus tai na viatu vya Magufuli akiwa ziara za kikazi, kuna kijana mmoja uku facebook kawaambia BAVICHA wenzake eti Magufuli kuvaa tai ya blue wakati anawasili kisha nyekundu wakati wakuondoka ni ni ishara ya inferiority na kwamba protocal hairuhusu, alitakiwa anavyowasili avae nyekundu ili aonyeshe mamlaka yake.BAVICHA walishangilia kwa mayowe uko facebook sasa sijui ndo maelekezo wanayopewa na wanamikakati wao.
Hapa ndipo nilipogundua BAVICHA ni empt set kichwani eti wanajifanya wanajua itifaki kuliko wanaoishi na kulisha familia zao kwa kazi hizo.

Hivi kwa mtaji wa vijana wa hovyo kama hawa CCM itaondoka kweli,mimi narudi pale pale CHADEMA kaeni chini mje na vitu vya maana iko siku mtaongelea hadi viatu vya Magufuli havijafata protocal.

Haya twendeni tuangalie Wamarekani nao vipi hawajui protocal?
upload_2016-11-2_13-24-43.png
upload_2016-11-2_13-24-56.png

Hapa ni Magufuli aliwaposili Kenya Hapa ni bwana Mkubwa alipowasili Kenya

Wote walivaa tai ya Blue,inamaana hadi Obama ni inferior kwa Uhuru Or Kenya?
BAVICHA ya MWENDOKASI endeleeni kuisoma namba.

What does blue tie means?
Blue is a calming, soothing color which radiates peace and tranquility.
But just because blue is peaceful, does not mean it is a weak color, it is persistent and everlasting, like waves upon the shore.Wazungu bana nimegoogle tu jamani.

Mwenyekiti CCM JF.
 
ISHU NI PALE vijana wa BAVICHA wanapokosa hoja za msingi na kuanza kudiscus tai na viatu vya Magufuli akiwa ziara za kikazi, kuna kijana mmoja uku facebook kawaambia BAVICHA wenzake eti Magufuli kuvaa tai ya blue wakati anawasili kisha nyekundu wakati wakuondoka ni ni ishara ya inferiority na kwamba protocal hairuhusu, alitakiwa anavyowasili avae nyekundu ili aonyeshe mamlaka yake.BAVICHA walishangilia kwa mayowe uko facebook sasa sijui ndo maelekezo wanayopewa na wanamikakati wao
Ishu ya uchumi kukua kutoka 7.9% hadi 7.2% imekaaje vile?
 
Mod mmefuta uzi wangu wa 'Lema utakufa kabla ya Magufuli', ila za wengine kuombewa kufa bado zinapeta(SIO ISHU).
ISHU NI PALE vijana wa BAVICHA wanapokosa hoja za msingi na kuanza kudiscus tai na viatu vya Magufuli akiwa ziara za kikazi, kuna kijana mmoja uku facebook kawaambia BAVICHA wenzake eti Magufuli kuvaa tai ya blue wakati anawasili kisha nyekundu wakati wakuondoka ni ni ishara ya inferiority na kwamba protocal hairuhusu, alitakiwa anavyowasili avae nyekundu ili aonyeshe mamlaka yake.BAVICHA walishangilia kwa mayowe uko facebook sasa sijui ndo maelekezo wanayopewa na wanamikakati wao.
Hapa ndipo nilipogundua BAVICHA ni empt set kichwani eti wanajifanya wanajua itifaki kuliko wanaoishi na kulisha familia zao kwa kazi hizo.
Hivi kwa mtaji wa vijana wa hovyo kama hawa CCM itaondoka kweli,mimi narudi pale pale CHADEMA kaeni chini mje na vitu vya maana iko siku mtaongelea hadi viatu vya Magufuli havijafata protocal.

Haya twendeni tuangalie Wamarekani nao vipi hawajui protocal?
View attachment 428196 View attachment 428195
Hapa ni Magufuli aliwaposili Kenya Hapa ni bwana Mkubwa alipowasili Kenya

Wote walivaa tai ya Blue,inamaana hadi Obama ni inferior kwa Uhuru Or Kenya?
BAVICHA ya MWENDOKASI endeleeni kuisoma namba.

What does blue tie means?
Blue is a calming, soothing color which radiates peace and tranquility.
But just because blue is peaceful, does not mean it is a weak color, it is persistent and everlasting, like waves upon the shore.Wazungu bana nimegoogle tu jamani.

Mwenyekiti CCM JF.

Masuala yanayotatiza kuhusu Magufuli ni mengi.

Baadhi ni kuendesha nchi kwa mkono wa chuma, kutofuata sheria, kujichanganya katika kauli zake (inconsistency and unpredictability), kuongea zaidi kuliko kusikiliza, nk.

Orodha ni ndefu.
 
Back
Top Bottom