PhD Holders wetu waleta Bomba la Mafuta Tanzania

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Sasa imeshathibitishwa na inatarajiwa kutangazwa rasmi hapo kesho kwamba Bomba la mafuta kutoka nchini Uganda litapitia kwetu mpaka Bandari yetu ya Tanga na kuzalisha ajira kwa zaidi ya watu 10 000 kama Rais Magufuli alivyokwishasema!

Ieleweke kwamba mexperts wa ktk Tanzania na Kenya walikuwa Uganda na kila kundi walikuwa wanajaribu kutetea hoja zao kitaalam sababu kwanini Bomba lipite kwenye nchi yao, na hapa ndipo tulipowapiga Wakenya bao wakati wao waliongozwa na viongozi vilaza sisi timu yetu ilisheheni wataalam kama vile Waziri wetu Muhongo ambaye ni Mwanajiolojia (PhD) vile vile Makatibu Wakuu wetu wa Madini
Justus W. Ntalikwa (Katibu Mkuu) PhD
James Epifani Mdoe (Naibu Katibu Mkuu) PhD
Paulina Pallangyo (Naibu Katibu Mkuu) PhD


Sasa kweli hii ni awamu ya mabadiliko na sasa tunaanza kuona maana ya usomi, Wasomi wetu wanaanza kutunufaisha Hongera sana Waziri Muhongo na timu yako!

Tanzania ya V usipime!!!!

HAPA KAZI TU!
 
Ngoja waje wafuatao usikie watasema nini

1:The Boss
2:Mmawia
3:Nyani Ngabu
4:swisme

To mention a few,hawa jamaa ni shida.
 
Achana na maphd yako , kubadiri gia angani kwa Uganda ni sababu ya jembe letu Magufuli kwa Magu kila goti litapigwa !
 
Surely Prof. Muhongo is the person I admire.
I ask for your indulgence if I will be compelled to pull the carpet under some people's feet.
 
Back
Top Bottom