PhD/Doctorate ya huyu Mwanasiasa na Mteule wa Rais hadi leo inanipa Mashaka mno kuiamini na kuielewa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,793
" Ukiwa huna elimu na wewe ni mwigizaji unataka kukosoa utakosoa hovyo hovyo, sijawashawishi wasanii waimbe nyimbo za CCM mimi nilisisitiza kuhusu elimu "-Dk.Mwakyembe.

Nipashe

Na kinachoniuma zaidi ni Mwana Simba Sports Club Mwenzangu mzuri lakini pia alishawahi kuwa Mwana Fani Mwenzangu miaka ya nyuma huko.
 
Dongo kwa msanii aliekimbilia USA ,Roman Catolic

Una maoni gani kuhusu Kichwa chenye ' PhD / Doctorate ' ambacho kimetoa hilo unaloliita ' Dongo ' Mkuu? Nasubiria sana Mrejesho wako Mkuu.
 
Back
Top Bottom