PHARMACEUTICAL INDUSTRY, THE MOST CORRUPT MARKET IN TANZANIA.

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
10,388
23,298
Good evening my dear countrymen,
My concern is this pharmaceutical market or whatever you call it.

With disappoint,
We'd expect compliance from this medical sector for a reason of its sensitiveness.

Actually I am very surprised with the mode of working of this PCCB, hawa jamaa kazi yao ni nini eti?? Someone help me,.
Wanakula mishahara na allowances na benefits ambazo ni kodi zetu kimsingi, but what they are doing they can't even justify.
They are sitting in wheelchairs in offices waiting for JOHN MAGUFULI to give orders,
.. they cant take initiatives..??

Back to the topic,
Hili soko LA madawatiba ni uozo, (uozo wa kutisha)
Niaje aibu, baadhi ya madaktari (ni wengi sana) kuanzia taasisi kubwa kama muhimbili hospital wanapewa laki laki kwa ajili ya kutoa prescriptions for some specific company products.
Hawa ni kama watumwa na wameweka taaluma yao pembeni wanatumika kufanikisha biashara za makampuni ya madawa.,

Pia katika hili Wafamasia na maafisa manunuzi are the most corrupt useless officials,
I pity them for being slaves.
Kuanzia Muhimbili na Taasisi nyingine za Afya za umma hawa watu wasomi wetu ni aibu tupu..

I am just informing the authorities and the so called PCCB to watch this untold pharmaceutical market,

Labda nihitimishe kwa kusema
Salamu ziwafikie nyie watumishi wenye taaluma za ufamasia, maafisa manunuzi na madaktari mlioweka taaluma na maadili yenu na utu wenu pembeni mkaamua kutumika na makampuni ya wahindi na wazungu kuwatengenezea pesa huku nyie mkiambulia hizo laki moja moja.
God forgive you, nothing lasts forever.,
 
Ila mkuu according to my opinion pharmaceutical componies wanafany product promotion to support their product so they have to give incentives to prescribers so as to motivate them and it can be in terms of cash or gifts. Lakin endapo kuna out of stock drug kweny facility na msd ikawa confirmed haipo then wanapata kibali cha kwenda kununua specific drug ambayo ni O/S.
Na katika kuandika prescription prescriber ana eeigh the benefit and risk ambazo mteja wake atazipata sio kwamba wanaandika tu
 
Mchezo wa Ulaya kote, bado makampuni ya bima ya kibepari nayo hayajaanza kuhonga wagonjwa watibiwe matibabu tofauti na wanayoandikiwa.
 
Mkuu nadhani kwenye motivation Kuna namna tofauti,
What I think these pharmaceutical companie know the procedures and rules of promoting their products,
Transfer of Cash or any cash related items is unlawful,
Na sasa imefikia pabaya kiasi cha kuwa hao msd kama wana uhitaji wa items ili kusurply mahospitalini, they can delay it kwa makusudi ili kujiwekea mazingira ya Kupewa rushwa,
Obviously, perticipants wakubwa kwa hapa tz ni wahindi, (I hate Indians for their bribing habit)
Kuna namna nzuri wanazoweza kufanya motivation kama vile donations ama hata sponsorships kwa medical professionals,
 
Mchezo wa Ulaya kote, bado makampuni ya bima ya kibepari nayo hayajaanza kuhonga wagonjwa watibiwe matibabu tofauti na wanayoandikiwa.
Mkuu, kweli money is evil. Kwa sasa ukienda hospitali kama regency na bima yako utapimwa kila aina ya kipimo mradi tu kuhakikisha bima yako wanaikamua vilivyo.
Out of topic anyway,
But this health delivery service need to be watched very close. Tunakoelekea ni kubaya sana
 
Back
Top Bottom