Petroli bei juu. Mafuta ya kupikia bei juu. Mazagazaga bei juu. Maji ya kutumia hakuna. Umeme kukatika hata mara 5 au 6 kwa siku!

Mama tuletee na Nape kwenye uwaziri...
Ss tunavuna matunda ya JM ...

Sijui kwa nn Jiwe alimtoa JM kwenye uwazir tunataka vijana wenye athari kwenye uongozi km hawa..
 
Kutokana na hayo matatizo yaliyotajwa hapo juu. Je Mama Samia anatupeleka wapi na wasaidizi wake?! Tutaishia wapi?! Kumbekeni Omicron nayo yatunyemelea kama bado haijafika! Kweli bongo bahati mbaya….
Mama mambo ya mafuta unataka afanye nini? hana control ya bei na wala hawezi hapa ungemlaumu yeye na serikali yake na CCM kuhusu maji, umeme haya yako katika uwezo wao ni jukumu lao. kuhusu bei kupanda lazima ujuwe shipping dunia nzima bei ziko juu karibia 50% plus nenda kaulize shipping utashangaa bei lakini hii sio suala la kudumu wa China wakiachia empty containers tu bei zitashuka maana asilimia kubwa ya empty containers yako China yalipelekwa wakati wa Corona waliyachukuwa empty ili biashara zikianza shipping kutoka China iwe rahisi wafanye export kuliko wengine. Hawa wa China ndio nuksi wanatumia utajiri wao kuwamaliza wengine.
 
Na week ya3 huku kwetu maji hayatoki na hayana habari na bill wanaleta kama kawaida. Hii nchi ni ya hovyo sana
 
Back
Top Bottom