Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,443
Sisi wapanda DalaDala hatuna tatizo - Tshs 500 Tegata mpaka Mbagala! Nyie endeleeni kuhangaika na mitumba ya Vitz and xTrail mpaka mkose School Fees ya Watoto come january 2012!
Sikutegemea mchange yakipumbavu kutoka kwa pumbavu kama hii. Hivi serikali kupambana na wauza mafuta ili sisi raia tupate nafuu inakuwa kero kwenu? badala muungane na serikali na mtoe ushauri wenye maana nyinyi mnapinga? Je mwataka kulipa mafuta bei ya juu? Ama kweli nyinyi ni wapumbavu.
Mkuu tafuta ile speech ya mwl jk,kuhusu serikali corrupt,haikusanyi kodi na wafanya biashara wameitia mfukoni,utapata somo pale.Sioni wakiirudia rudia hii speech,sijui kwa nini.Nipo kariakoo big bon baada ya kuangaika kwenye folleni muda mrefu, baada ya kufika nimeambiwa nayo yameisha. Aliyekuwa mkombozi BIG Bon naye aungana na wafanyabiashara, naambiwa yapo lakini mkuu katukataza kweli serikali imefika kubaya.Magari mengi yamezima njiani, tunaomba trafiki wasaidie angalau tuyaweke pembeni.
Kizazi hiki kimelaaniwa..Hakuna la maana linaloweza kufanyika chini ya usimamizi wa madubwana ya kizazi hiki iwe wa kutoka chama tawala wala huko kwingine..kwani si siri ubinafsi ndani ya vyama vyote na kasumba ya uchumia tumbo katika vyama vyote ni hatarishi kwa mustakabali wa nchi...ngoja wote tufe kije kizazi swaafiii kisicho kuwa na makengeza katika mambo ya msingi. Kama wabisha fuatilia yaliyomkuta Kafulila....wangwe...kolimba...james mapalala...hamad rashid just to mention a few!...juu ya wananchi legelege wenye maamuzi legelege na kuchukua hatua legelege...
IGWEEE!! Well said!!!Sikutegemea mchange yakipumbavu kutoka kwa pumbavu kama hii. Hivi serikali kupambana na wauza mafuta ili sisi raia tupate nafuu inakuwa kero kwenu? badala muungane na serikali na mtoe ushauri wenye maana nyinyi mnapinga? Je mwataka kulipa mafuta bei ya juu? Ama kweli nyinyi ni wapumbavu.
Hamna mgomo wewe patachimbika wote watafungiwa wathubutu waoneeee
acha ungese wewe.shule mbili za secondary kila kata,Tanzania tanzania
nakupenda kwa moyo wooote nji yangu
tz jinalako ni
tamu saaana!!!
Im no longer proud of being a tanzanian
mafisadi
umeme
maji
elimu
mafuta
hakuna!
Tutawezaje kusonga
mbele?
Sisi wapanda DalaDala hatuna tatizo - Tshs 500 Tegata mpaka Mbagala! Nyie endeleeni kuhangaika na mitumba ya Vitz and xTrail mpaka mkose School Fees ya Watoto come january 2012!