Petrol Station Gani inauza wese lisilochakachuliwa?

Okey tushajua una gari.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Daudi Gari siku hizi ni kitu cha kawaida sana kuwa nacho na sio anasa!!! Labda tu aina ndio cha kushangaa maana wengine wana vogue,escalade,hummer,lamborgin,wengine wana limosine,maybach,Aston Martin and the like.
 
Back
Top Bottom