kijani kibichi
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 315
- 313
Upo sahihi kabisa. Zama zimebadilika sana kwa upande wa RussiaKi msingi Ukrainians na Russians wanatokana na jamii ya watu wanaitwa (Slavic), kundi hili pia wamo Czechs, all
states of the former Yugoslavia, Bulgarians and the Slovaks.
Japo ni jamii yenye asili moja lkn wote hawapendi kuwa karibu na Russia kwani uwapo wao karibu na warusi kwa miaka 70 wanaona kama imewapa hasara mno kuliko faida na ndio maana woote wanapenda kuwa karibu zaidi na nchi za magharibi.
Hali hiyo haimpendezei Moscow kuona anaachwa "Desolate" na washirika wake wa zamani na ndio maana Russians wanaanzisha fyokofyoko hizi japo ubabe wa baada ya WWI waliyotumia kuzitwaa haya mataifa kamwe leo hauwezi kufaulu.