Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,226
- 4,730
Sasa jina "Mashariki" ndio limebeba maana na asili ya Ziwa hilo?Ninapetition kunadilishwa kwa jina la Ziwa Victoria. Jina la Victoria halijabeba maana wala asili ya Ziwa linalopakana na nchi kuu tatu za Afrika Mashariki.
Kuendelea kukubali Ziwa letu liitwe Victoria ni kukumbatia ukoloni. Mimi napendekeza liitwe Ziwa Mashariki, mwenye pendekezo zuri zaidi anaweza kulijumuisha kwenye petition hii.
Mashariki ni jina la asili? Kidogo ungeniambia jina Nyanza!