Petition ya Mabadiliko ya jina la Ziwa Victoria

Ninapetition kunadilishwa kwa jina la Ziwa Victoria. Jina la Victoria halijabeba maana wala asili ya Ziwa linalopakana na nchi kuu tatu za Afrika Mashariki.

Kuendelea kukubali Ziwa letu liitwe Victoria ni kukumbatia ukoloni. Mimi napendekeza liitwe Ziwa Mashariki, mwenye pendekezo zuri zaidi anaweza kulijumuisha kwenye petition hii.
Sasa jina "Mashariki" ndio limebeba maana na asili ya Ziwa hilo?

Mashariki ni jina la asili? Kidogo ungeniambia jina Nyanza!
 
Mimi nakubaliana na wewe kwamba majina yanatakiwa kutokana na lugha za asili, Ila yawe ni maneno yenye maana sahihi isiyo na mkanganyiko. Kuhusu Kilimanjaro, hilo ni neno muunganiko(compuond word) Kilima na Njaro(kyaaro) kwahiyo kusema Kilimanjaro/Kilimakyaaro ni sawa maana inaleta maana sahihi, tofauti na kama ingetafsiriwa na kuwa Kilima-kilima.
Unaitwa mlima Kilimanjaro, so mlima /kilima linajirudia
 
Badilisheni na bahari ya hindi (Indian Ocean) , eneo lenu la bahari mlipe jina mnalodhani litaonesha Uzalendo wenu, maana Indian sio jina la asili yenu.
 
Maana ya hilo neno ni nini na ni la lugha gani?

Uchawi wajua ni nini?
Unajua unafanyaje kazi?
Tabia za kichawi wazijua?

Mtu mwenye ndoto ya kuona muungano wa Tanganyika na Zanzibar siku moja ukivunjika nikimwambia hata kizazi chake cha billion 7 hakitashuhudia hilo ni kumkatisha tamaa au ndio ukweli?
Kukatishana tamaa ni ujinga, sema tu duniani, mtu kama nyinyi hamkosekanagi.
 
Ninapetition kunadilishwa kwa jina la Ziwa Victoria. Jina la Victoria halijabeba maana wala asili ya Ziwa linalopakana na nchi kuu tatu za Afrika Mashariki.

Kuendelea kukubali Ziwa letu liitwe Victoria ni kukumbatia ukoloni. Mimi napendekeza liitwe Ziwa Mashariki , mwenye pendekezo zuri zaidi anaweza kulijumuisha kwenye petition hii.
Linaitwa ziwa Nyanza
 
Ziwe Mashariki maana yake nini? Mashariki ya mwa nini?

Nadhani iitwe kwa jina lake la asili. Lile ni Ziwa NYANZA.
 
Ninapetition kunadilishwa kwa jina la Ziwa Victoria. Jina la Victoria halijabeba maana wala asili ya Ziwa linalopakana na nchi kuu tatu za Afrika Mashariki.

Kuendelea kukubali Ziwa letu liitwe Victoria ni kukumbatia ukoloni. Mimi napendekeza liitwe Ziwa Mashariki , mwenye pendekezo zuri zaidi anaweza kulijumuisha kwenye petition hii.

Liitwe NYANZA.
 
Ziwa sijaribiwi
 
Lile ni ziwa nyanza tangu enzi za mababu za wasukuma
 
Back
Top Bottom