Testar
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,461
- 12,216
Wakikataa ni sawa tu, sisi tuliite kwa jina letu na wao kivyao....kwenye ncha ya kusini mwa Afrika bahari zimeungana na kila moja ina jina lake, Hindi na Atlantiki.Nchi tatu zina share hilo ziwa, usitegemee Kenya na uganda kuukubali hilo wazo. Ila mnaweza kuliita vyovyote mpendavyo ila kwenye ramani za google na nyinginezo duniani wataendelea kuliita Victoria kama dunia wanavyoita ziwa nyasa lake Malawi sisi tukiliita ziwa nyasa