Petition ya Mabadiliko ya jina la Ziwa Victoria

ndiga

JF-Expert Member
Jan 28, 2014
313
500
Nyanja - Wasukuma, Wajita...
Nyanza - Wakerewe, nk...
Hakuna kosa hapo. Yote sawa.
Wasukuma - nyanza
Wajita- nyanja
Wakerewe- enanza
Kwa hiyo likiitwa ziwa nyanza itakuwa sawa na kuliita ziwa ziwa kutokana na maana ya neno nyanza kwa kiswahili ni ziwa.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
31,879
2,000
Tungejikita kuibadilisha Serikali ya kidhalimu ya Mafuvuli halafu ndio tuanze kuyabadili madimbwi
 
Shambaboy jogoli

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
1,155
2,000
Nina petition kunadilishwa kwa jina la Ziwa Victoria. Jina la Victoria halijabeba maana wala asili ya Ziwa linalopakana na nchi kuu tatu za Afrika Mashariki.

Kuendelea kukubali Ziwa letu liitwe Victoria ni kukumbatia ukoloni. Mimi napendekeza liitwe Ziwa Mashariki, mwenye pendekezo zuri zaidi anaweza kulijumuisha kwenye petition hii.
Hilo ni ziwa Nyanza mkuu!
 
Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,685
2,000
Uwe unauliza sio kukurupuka ,lengo la jina linalohakisi Afrika Mashariki na Nairobi ina present Kenya!! Sio kwamba Ziwa kwa Kenya ndio lipo Nairobi.Naelewa sana Mkuu....Sijaandika kwa sababu ya ziwa lipo karibu na sehemu gani bali umaarufu wa eneo ili kurepresent Kenya zaidi ,Kisumu vs nairobi ,Nai ina umaarufu sana.
Kama umaarufu ndio kigezo kwann lisiitwe

Ziwa KIMOKA (Kilimanjaro, Mombasa na Kampala)

AuZiwa DARNAKA (Dar es salaam, Nairobi na Kampala)?
 
Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,685
2,000
Nchi tatu zina share hilo ziwa, usitegemee Kenya na uganda kuukubali hilo wazo. Ila mnaweza kuliita vyovyote mpendavyo ila kwenye ramani za google na nyinginezo duniani wataendelea kuliita Victoria kama dunia wanavyoita ziwa nyasa lake Malawi sisi tukiliita ziwa Nyasa.
Wamalawi kwao wanaliita Ziwa Malaeiy, Sisi tunaliita Ziwa Nyasa... Inawezekana tu kabisa.
 
ANCIENT FROM EGYPT

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
783
1,000
Nina petition kunadilishwa kwa jina la Ziwa Victoria. Jina la Victoria halijabeba maana wala asili ya Ziwa linalopakana na nchi kuu tatu za Afrika Mashariki.

Kuendelea kukubali Ziwa letu liitwe Victoria ni kukumbatia ukoloni. Mimi napendekeza liitwe Ziwa Mashariki, mwenye pendekezo zuri zaidi anaweza kulijumuisha kwenye petition hii.

Umeandika jambo zuri sana.
Lakini suala hili litakuwa halina maana kuacha Emmanuel kuitwa Emmanuel badala la Ngonyani.

Kama tunaamua Kuita Vya Kwetu kwa Majina Yetu. Basi tuanze na Majina tunayowapa Watoto Wetu.
IMG_1882.jpg
 
thales

Member
May 27, 2013
70
125
Uwe unauliza sio kukurupuka ,lengo la jina linalohakisi Afrika Mashariki na Nairobi ina present Kenya!! Sio kwamba Ziwa kwa Kenya ndio lipo Nairobi.Naelewa sana Mkuu....Sijaandika kwa sababu ya ziwa lipo karibu na sehemu gani bali umaarufu wa eneo ili kurepresent Kenya zaidi ,Kisumu vs nairobi ,Nai ina umaarufu sana.
Sasa kama ni umaarjufu wa eneo kuwakilisha nchi kwa nini Kampala isitumike badala ya Entebe na kwa upande wa Tz Dodoma au Dar isitumike bafala ya Mwanza?
 
NYAREMA

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
365
500
Nadhani kubadili jina Ziwa ni mchakato mgumu kidogo kwa nini tusianze na majina yetu ambayo yako ndani ya uwezo wetu na tukaachana na majina ya kibeberu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom