Petition ya kumuunga mkono CAG inasainiwa wapi ??

MAHORO

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
7,585
2,568
Wadau naomba kujuzwa nitawezaje kupata hiyo petition ili na Mimi nisaini ??

Hi ni kwasababu bunge linahisi lenyewe Ni Bora kuliko maslahi mapana ya watanzania , mahesabu ya Kodi yetu Ni muhimu Sana kuliko hao
 
Naomba kuelemishwa, Tukiisha saini hizi Saini mnapeleka wapi? Zitafanyiwa kazi na nani?
 
Back
Top Bottom