Petition: Wito wa vyuo vikuu nchini kumpa Dr Slaa Udaktari wa Heshima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Petition: Wito wa vyuo vikuu nchini kumpa Dr Slaa Udaktari wa Heshima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gamba la Nyoka, Oct 24, 2010.

 1. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,584
  Likes Received: 6,750
  Trophy Points: 280
  Kutokana na kazi nzuri sana aliyoifanya bungeni kuhusiana na utetezi wa Watanzania juu ya rasilimali zao, kuikalia serikali kooni na kuiwajibisha vyema mbele ya wananchi. kuleta hamasa kubwa na ya kihistoria kwa wananchi ili kufanya mabadiriko nchini katika uchaguzi wa mwaka huu, basi ni dhahiri kwamba juhudi zake hizo zimesaidia sana kuujenga upinzani nchini na hivyo kupanua demokrasia , kwa maana hiyo basi ni dhahiri siasa za nchi hii hazitakuwa kama zilivyokuwa tena.

  kutokana na mchango wake huo ninatoa wito vyuo vikuu nchini kutoa udaktari wa heshima kwa mh: Wilbroad Peter Slaa.
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Slaa hahitaji vitu hivi; vikija atavichukua lakini siyo vya kuombewa. Mtu akisha kuwa na terminal degree hawezi kubabaikia vidigrii vya heshima hata siku moja.
   
 3. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,584
  Likes Received: 6,750
  Trophy Points: 280
  Kichuguu, wanaopewa heshima hizi siyo kwamba wanazihitaji, na wala simaanishi kwamba Slaa anaihitaji, ila mimi binafsi nimeona kwamba anastahili kupewa nishani hiyo ktokana na mchango wake kwa jamii. kwa hiyo nimetoa maoni yangu kama mtanzania.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kuna haja gani ya kumpa wakati anayo? Phd ni elimu anayopata mtu kutokana na kutimiza vigezo fulani vya elimu. Wanaotoa Phd za heshima kwa wanasiasa wanakuwa na malengo fulani ya kuinua hadhi za vyuo vyao na haina maana kuwa wana uwezo wa kielimu. Je hapa Tanzania kuna chuo chochote chenye nia ya kutumia jina la Slaa kwa manufaa yake?

  Mkuu ukiangalia kwa makini hasa kwa wanazuoni unaweza kuona kama ni tusi. Ni sawa na kumwita kiongozi wa mgambo Jenerali wakati hata mbinu moja ya kivita au hata robo ya silaha za kivita na mikakati ya vuta hajui.

  Ni dhihaka...hata wanaopenda kumwita ras wetu Dr wanamdhihaki tu, JK mwenyewe anajua elimu ni nini na anjua Ma-Dr ni kina nani. Ingekuwa ni jambo la maana kusema kuwa hatutaki katika siku za baadaye marais wetu wavikwe vilemba vya ukoka.Mbona Sumaye amesoma ukubwani, why not others? Mbona Kinana amesoma ukubwani why not others?
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PhD darasani na siyo mezani
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I dont agree.... vidigrii vya heshima vinatolewa kwa wasomi uchwara wanaotaka kujikweza.... I wouldnt like a quality man like slaa to join the list of mediocre wanaopata hizo nonours
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yep... kama magufuli
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  Nisingeshauri Dr. Slaa kushushiwa hadhi na shahada za mezani. Hivi fikiria Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam kilimtunukuu Bw. Hosea mara tu alipoteuliwa kuwa kibosile pale Takukuru kwa kazi ipi aliyotufanyia watanzania?

  Shahada hizo zina harufu kali ya ufisadi na isingefaa kwa Dr. Slaa kuchafuliwa na ufisadi huo. Hata mimi leo wakitaka kunipa hizo shahada za heshima nitazikataa kabisa kwani zimepoteza maana kabisa...zinatolewa kwa kujuana tu..........
   
 9. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  By the way PhD ya mezani unaweza kunyanganywa. Muulize Robert Mugabe alinyanganywa

  "Mugabe holds several honorary degrees and doctorates from international universities, awarded to him in the 1980s; at least three of these have since been revoked. In June 2007, he became the first international figure ever to be stripped of an honorary degree by a British university, when the University of Edinburgh withdrew the degree awarded to him in 1984. On 12 June 2008, the University of Massachusetts Board of Trustees voted to revoke the law degree awarded to Mugabe in 1986; this is the first time one of its honorary degrees has been revoked. Similarly, on 12 September 2008, Michigan State University revoked an honorary law degree that it awarded Mugabe in 1990"

  Source: Robert Mugabe - Wikipedia, the free encyclopedia

  Zinatolewa kulinda maslahi na ukitofautiana kidogo nawahisani wa degree hizo cha moto unakiona so msishangae mnaamuka siku moja na kukutana na Mr.JK
   
 10. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr slaa hatumpi kura na nataka ujue siyo watanzania wote wanaoikubali chagaism nchi hii,mpe wewe na wale mliodanganyika hakuna haja ya kutushawishi tumesoma tunajua nani anafaa na kwa sababu zipi.
   
 11. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,263
  Trophy Points: 280
  Kwanini Bwana Kikwete na washauri wake akina Kinana/Makamba hawajiulizi hata kidogo why Nyerere (RIP)alikataa katakata kuitwa Dr. Nyerere wakati alishapewa uDR wa heshima??

  uDr wa Bwana Kikwete umepamba moto mwaka huu kwa malengo ya uchaguzi tu - kuwapumbaza wakulima na masikini huko vijijini kwamba yeye na Dr. Slaa ni level moja!
   
 12. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  phD, bwana mtu aingie darasani! Mbona Magufuli ajitafutia phD yake mwenyewe kwa kufanya utafiti uliokubalika? Mambo ya doctorate za mezani yanadumaza elimu yetu. Hata rais wa Zanzibar naye ni Dr holder! Sijui hata kama form six alimaliza! tuangalie vyuo vinavyotoa shahada hizo za heshima zina ajenda gani? Tena wanaopewa za heshima wanazipigia debe kuliko zile za halali. It is high time zibadilishwe jina ili tuweze kutofautisha phD ya darasani na ile ya mezani. Kuna wakati TCU ilitoa tangazo kututahadharisha mitambo ya kufyatua shahada (degree mills)
   
 13. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sioni kama kuna ulazima huo, nishani haimanishi degree ya heshima, nishani ni kitu ambacho mtu hupewa baada ya kufanya jambo fulani lakini halimanishi kuwa nishaini basi ni degree ya heshima, Dr.Slaa tayari ni Dr, sasa sijui hyo utakuwa unampa ili iweje, nilifikiri labda ungeongelea kuhusu nishani za oscar etc, ungesuggest hivo, ingekuwa bien
   
 14. B

  Bull JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udakitairi wake wa bibilia sasa mmeshauona hauwezi kuongozea nch manmuombea Digrii/DR ya kweli, aendeshule kama wenzake kwanza ndio ataweza kufikiriwa kutunukiwa udakitari
   
 15. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Yaani ungejua ubora wa elimu aliyosoma Slaa usingesema hayo. PHD ya sheria alizoma Slaa ni zaidi ya sheria hizi unazojua wewe. System ya elimu ya kanisa inajumuisha na hivi vielimu uchwara vyote unavyovijua wewe. Slaa akienda tena shule basi walimu watapata shida maana na uhakika anajua mengi kushinda hao watakaomfundisha.
   
 16. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  crap! trash! naona unajitahidi sana kuongeza idadi ya posts zako, hili jukwaa pia wanaruhusu kuwa msomaji tu kwahiyo sio lazima uandike kitu kama mawazo yako pumba.
   
 17. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Mwacheni ababi na Degree yake haitaji ya kupewa...

  wampe mama kikwete kwa kufanya kampeni uchwara.... hahahahah
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Dr? Ivi ukitaja erufi Dr haraka haraka unapata picha gani? ...kasoma sana!? Sasa vya kupewa zawadi ndo nini? Mh.dr. Rev. President Slaa,ulianzisha degree za pyschology pale mlimani. Nakuomba ukishaingia ikulu ununue ata Toyota starlet kila wikendi unatinga mlimani kutoa lecture kwa wanetu,au ukiwa bize basi ata pale magogoni au IFM ni karibu na ikulu. Alafu utangaze rasmi kufuta degree za ZAWADI/honourly za kati ya mwaka 2005-2011, duh! wabongo kibao watarudi kwenye viji Certificates vyao na vidigree vya PASS yani third class au GPA za 2.0-2.9 au C flat na vi-B plane. Kazi ipo digree ya sanaa unapata pass? Ukikaa bcom,Law,siasa au uhasibu IFM,TIA,SAUT IAA NA KWINGINEKO Si kutakuwapo kuanguka anguka full time/ kuanguka FULL Time 4WD ??
   
 19. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,047
  Likes Received: 3,954
  Trophy Points: 280
  ili aitwe Dr. Dr. Slaa sio moja ya ukweli na moja ya Heshima! Nina uhakika Kikwete atatafuta nyingine ya heshima awe na Dr. Dr. Kikwete wa uongo!
   
 20. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  PhD ya heshima si popular sana huku kwetu na haitaweza ku reflect mambo aliyoyafanya.
  labda tu watanzania ili kumkubali kwa kura na kumkabidhi majukumu kama anayoahidi - them mbele ya safari atapata heshima kutokana na namna anavyo deliver
   
Loading...