Petition To Decrease Wabunge's Salaries (A Must Read)

Hakuna mtu anaitwa VOICE OF REASON. Njoo na jina lako sahihi kama unao ubavu. wewe ni mwoga kama kunguru. Ukija na jina lako tu tunaanza kazi ya kuchakachua URAIA wako.
[/INDENT][/QUOTE]

Thats why i have been begging for JF au mtu aweke fomu ambayo hata guest wanaweza kujaza then watu watajaza bila kujua who was behind petition na maisha yetu hayatachakachuliwa
 
Am sure am not alone who thinks that 12million a month is an astonishing amount of cash for our poor beloved country to pay some of the overpaid, underperforming prima donnas what am suggesting is a pettion to be signed by the wananchi in different majimbos and when the number is big enough for each jimbo or some of majimbo to give it to their MP to represent it in parliament. After all we are the ones who are paying them and together we can make it happen. I suggest for these mp should be paid atmost 1m a month or 2m a month without marupurupu.

SIGNED PETITION FROM WALALAHOI (WANANCHI) KUOMBA WABUNGE WAO WABANE MIKANDA
1. VOICE OF REASON
2.
3.
4. .......
5.Isah Ndunduma
 
Hawa mafisadi kweli,lakini kama kawaida ya wabongo nao ni story tuu huku action sifuri,hii kitu ni serious lakini aliyeleta idea naye utaona hayuko serious or hana idea what to do,kukusanya 1 million signature sio kazi kubwa nina hakika utazipata lakini weka utaratibu unaoeleweka sio kama unavyofanya hapa....tuko nyuma yako ndugu lakini weka plan of action inayoeleweka sio blah blah tuu,kama hujui uliza namna ya kufanya au angalia sehemu nyingine walizowahi kufanya walifanyaje,California tuliwahi kumuondoa gavana kwa signature tuu lakini sheria zao zinaruhusu hiyo njia,sijui kwa bongo lakini hata pressure na media attention ya 1 million signature itawapa pressure to do something na wapinzani tutawaona kama kweli sio njaa tuu
 
Asante sana Koba; so please help how can we do this nilikuwa ninapropose kama ikipatikana form online ili watu wajaze even guests, na labda kwenye kila jimbo kuwahamasisha watu wajaze na ikipatikana namba nzuri kumba mbunge wao ayawakilishe
Hawa mafisadi kweli,lakini kama kawaida ya wabongo nao ni story tuu huku action sifuri,hii kitu ni serious lakini aliyeleta idea naye utaona hayuko serious or hana idea what to do,kukusanya 1 million signature sio kazi kubwa nina hakika utazipata lakini weka utaratibu unaoeleweka sio kama unavyofanya hapa....tuko nyuma yako ndugu lakini weka plan of action inayoeleweka sio blah blah tuu,kama hujui uliza namna ya kufanya au angalia sehemu nyingine walizowahi kufanya walifanyaje,California tuliwahi kumuondoa gavana kwa signature tuu lakini sheria zao zinaruhusu hiyo njia,sijui kwa bongo lakini hata pressure na media attention ya 1 million signature itawapa pressure to do something na wapinzani tutawaona kama kweli sio njaa tuu
 
Ufanywe utaratibu mzuri na itengenezwe fomu na inaweza kuwa kwenye site nyingine nje ya JF ambako watu watapewa link au kuwa linked na watu wengi wa sign. It is possible na ni idea murua
 
Thanks kwa ushauri mzuri nitafatilie every ushauri is welcomed
 
Anyone here mwenye website ambaye anaweza ruhusu tuweke form yetu ya watu kujaza tunaomba (we will highly appreciate)
Ufanywe utaratibu mzuri na itengenezwe fomu na inaweza kuwa kwenye site nyingine nje ya JF ambako watu watapewa link au kuwa linked na watu wengi wa sign. It is possible na ni idea murua
 
Baada ya kuona wengi wao wa hawa watu wamechuna katika hii issue ya DOWANS naona labda pesa ya kuwalipa itoke kwenye mishahara yao hawa waheshimiwa......, katika ugumu wa maisha wa sasa hawastahili hili fungu wanalopata
 
Hivi mishahara ya wabunge wa bongo inakatwa kodi?ndio maana siku hizi hawa waheshimiwa sana wamefanya ubunge ni ajira na ni ajira ya ukoo ,utakuta Mr ni mbunge wa kuchaguliwa na mamsap ni mbunge wa viti maalumu
 
Before I make up my mind whether to sign or not, I need to know with certainty how much these guys get. I only know figures that I hear from various individuals and they vary ernomously. Can someone from among us, give us actual figures here. We need all the income related to their being Mps including, Basic Salary, entitlement for allowances (Housing, transpost, pre-diem rates within and outside the country, sitting allowances and their rates), fringe benefits (payment for being members to boards, committes for parliaments, security, domestic technicians ie household helpers, etc), Mfuko wa jimbo, etc.

This may assist us to see whether they are paid more that others in the country. All in all, I also hear of some rediculous salaries from some government agencies and parastatals that make a mockery of our poverty. BoT, TANAPA, TRA, TANROADS, etc, etc. shouldn't we also sort this out as well?
NADHANI Dr SLAA ANAWEZA KUSAIDIA KWA TAKWIMU ZA MASLAHI MATAMU YA WABUNGE. NA PIA ANAYE FUATILIA HILI ANAPASWA APITE JIMBO HADI JIMBO. ATUHAKIKISHIE TU NA TUTAWEKA PESA KWENYE ACCOUNT KWA KUFANIKISHA HILI.
HIVI VINATAKIWA KUFANYIKA HARAKA.
1. KAMATI YA KUFANYA HII KAZI UJULIKANE
2. GHALAMA ZA ZOEZI ZIANDALIWE
3. ACCOUNT IFUNGULIWE NA WANAJF WAJULISHWE
RATIBA YA ZOEZI IANDALIWE NA KUPELEKWA MAENEO HUSIKA NA WANAJF WAJULISHWE
 
Am sure am not alone who thinks that 12million a month is an astonishing amount of cash for our poor beloved country to pay some of the overpaid, underperforming prima donnas what am suggesting is a pettion to be signed by the wananchi in different majimbos and when the number is big enough for each jimbo or some of majimbo to give it to their MP to represent it in parliament. After all we are the ones who are paying them and together we can make it happen. I suggest for these mp should be paid atmost 1m a month or 2m a month without marupurupu.

SIGNED PETITION FROM WALALAHOI (WANANCHI) KUOMBA WABUNGE WAO WABANE MIKANDA
1. VOICE OF REASON
2. BAK
3.
4. .......

Count me in.
 
images

....COUNT ME IN!
 
Emmanuel Mlokozi

P.S: Mbona wale wabunge members wamekimbia hii thread?
 
I only support something can real happen!!! Achaneni na kuzungumzia kukatwa mshahara waambieni tu walipe kodi kwenye hiyo mishahara: that is enough!!! 30% of 10Millioni is almost 3Millioni kila mbunge akiturudishia hizo Alhamudu Lilah!!!

Not that i'm against this but you will get unnecessary challenge with this approach... wakati ukitumia issue ya kodi... sisi tunasema katiba imevunjwa kwa kubagua watu kwa kazi zao wengine walipe kodi wengine hawalipi period.
 
Tajaribu kuuliza hawa wabunge wetu wa chadema ambao tunao humu jamvini kuhusu hii issue penye wote hakuna lisilowezekana nataka na kumtumia pm Dr. Slaa na hii link ili atusaidie lakini nadhani kwa sasa mambo ni mengi na DOWANS hii issue itakuwa ngumu kuishughulikia sasa
 
Am sure am not alone who thinks that 12million a month is an astonishing amount of cash for our poor beloved country to pay some of the overpaid, underperforming prima donnas what am suggesting is a pettion to be signed by the wananchi in different majimbos and when the number is big enough for each jimbo or some of majimbo to give it to their MP to represent it in parliament. After all we are the ones who are paying them and together we can make it happen. I suggest for these mp should be paid atmost 1m a month or 2m a month without marupurupu.

SIGNED PETITION FROM WALALAHOI (WANANCHI) KUOMBA WABUNGE WAO WABANE MIKANDA
1. VOICE OF REASON
2.
3.
4. .......

Kuwapunguzia wabunge mishahara sio petition sahihi. Petition sahihi ni kuwaongezea mishahara wale wasipata mishahara na stahiki kama za wabunge lakini wana majukumu zaidi ya wabunge

Mfano katika ngazi ya wilaya na mkoa

  • RPC
  • Afisa Kilimo wa Mkoa/Wilaya
  • Afisa Mifugo wa MKoa/Wilaya
  • Mganga Mkuu wa Mkoa /wilaya
  • Mhandisi Mkuu wa Mkoa/wilaya
  • ICT officer Mkuu wa Mkoa/Wilaya (kama wapo Najua hakuna bado tupo kwenye stone age)
  • Afisa madini Mkuu wa mkoa au Wilaya
  • Afisa Elimu wa Mkoa/ Wilaya
  • Afisa Maliasili au Utalii
Hawa niliotaja juu wanatakiwa kupata si tu kama wabunge bali inabidi wawazidi wabunge.

12 Miilion sio astonishing amount. Ni kswasabu wengi tunalipwa kidogo. Hizo wanatakiwa wapate wengi tu kulingana na majukumu yao. Sasa badala ya kushapilia wabunge wapunguziwe tushapalie ni wangapi wanatakiwa kupata zaidi ya wabunge na hawapti hivyo.

  • Kwa nini watu wako tayar kuacha kazi ya Afiisa elimu wa mkoa/wilaya kuwa mbunge????

  • KWa nini Mbunge awe ni most best paid peson jimboni wilayani na mkoani ?

Hata ukisema mbunge apate miloni 5 bado tunakuwa hatujawatendea haki watu wanaofanya kazi za taaluma zao ambzo ndio hasa wanatoakiwa kueleta mabadiliko chanya katika maendeleo yetu

So nasema petition iwe kuwaongzea mishahara watumishi amabo ndio wanaotakiwa kuwa kiini cha mabadiliko ya kweli.
 
Kuwapunguzia wabunge mishahara sio petition sahihi. Petition sahihi ni kuwaongezea mishahara wale wasipata mishahara na stahiki kama za wabunge lakini wana majukumu zaidi ya wabunge

Mfano katika ngazi ya wilaya na mkoa

Mkuu where is the money ?, unajua kwa nchi yetu ilivyotajiri maliasili zilizo Mwanza pekee zingeweza kulisha nchi nzima, kusomesha watoto bure na kuwasaidia wasioweza kufanya kazi (wazee na wagonjwa) makazi ili wakae bure.

Lakini ukweli ni kwamba uongozi na system ni mbovu na kushughulikia hili it takes time...

Kwanini for the time being wakati tunangoja kufanikisha hayo tuendelee kutumia kodi zetu kuwalipa wachache wakati kodi hiyo hiyo ingefanya mambo mengine ya maana..., The truth ni kwamba serikali haina miradi zaidi ya kukusanya kodi zetu..., kama wabunge wangekuwa part time wanaproduce products ambazo zinaingizia taifa kipato hata wangelipwa 40m nisingesema kitu....,

Ukweli ni Kwamba kwanini sisi wanaotutetea ambao ndio tunawalipa (pesa ambazo hatuna) tunawalipa pesa nyingi kuliko uwezo wetu wa kuwalipa? Je wakilipwa 1/4 ya huo mshahara nguvu zao za kujenga hoja zitapungua...., mimi siasa naona ni kama wito kutetea wanyonge kama vile walivyo mapadri / mashehe etc.., kama kuna anayeona hawezi kufanya hii kazi bila kulipwa hizo 12m aache am sure wengine watajitokeza...., sidhani kama tutaona kwamba hakuna mtu anayetaka tena kuwa mbunge sababu pesa zimepunguzwa.
 
Back
Top Bottom