PETITION – President Jakaya Kikwete: Stop the Serengeti Sell-Off

Keep the record correct and you can quote me anywhere. Serengeti does not belong to the Maasai. Serengeti covers an area of about 10000 square kilometres of which 7000 form the Serengeti National Park (SENAPA). Less than 1000 square kilometers form the Grumet reserve, Ikorongo and Open controlled areas. The rest land is inhabitated with estimated 400,000 number of peasants of the Serengeti district in Mara region. The etymological ethnic groups in the area include the Ikoma, the Ngoreme, the Nata and the Issenye and later about 1940s Kurya from the North entered the district. Other tribes from neighbouring districts/regions like the Luo, the Jita, the Sukuma, the Ikizu (just to mention some) also entered in the district during recent decades to earn a living through different economical activities ranging from peasantry to tourism industry. It is therefore, completely improper to associate SENAPA to the Maasai. To me, this thread sounds like a conspiracy of some domestic and foreign pupets at the expense of their interests! Let the World over know this: Serengeti is not the Maasai's land!
 
Ngoja tuone,viongozi wenu ninavyowajua!hahaha.mtachoka kuona masai wanapewa ardhi songea. Ni hatari kumtoa mtu kwenye ardh yake ya asili,hakuna ardhi isiyo na watu. Vita karibia zote dunian huwa tatizo ni ardhi.
 
This is a good move, only if mngewajua who are the people behind hiyo sell off!.
Kwa wenye kumbukumbu, zilipigwa kelele sana kuhusu kutoroshwa kwa wale Twiga kule KIA na ile midege mikubwa ajabu!. Japo kele zilipigwa mpaka bungeni, no one is concerned on who was behind!.

Kwa taarifa tuu, wale Twiga walishalipiwa in full, fedha zikaingizwa mikononi mwa watu!, walipofuata twiga wao, wakapewa paper work kuwa twiga wale ni wa zawadi kutoka mahali, kupelekwa mahali!. Guess who was behind?.

Tanzania tulikuwa na "wenyenchi", "walanchi" na "wananchi", lakini sasa tunao mpaka "wauzanchi" na mkiwajua hamtaamini, macho na masikio yenu!.

"Kikulacho..."

Pasco!.

......Siku nyingi sijakusikia, ulikuwa wapi ndugu yangu?
 
Waokoe Wamasai naochomewa nyumba zao kwa jili ya muwekezaji wa kiarabu. Tumechoshwa na CCM....Sign Petition HERE

[video=youtube_share;i-FP2gRvziw]http://youtu.be/i-FP2gRvziw[/video]

Wachina Nao Wameanza utawala wao Africa
 
Last edited by a moderator:
Mliyataka wenyewe! Ndiyo matokeo ya kuhongwa vikofia vya kijani na chumvi wakati wa uchaguzi! Lazima mrudishe gharama!! Mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama vichaa!! Tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015.
 
Bado mtaambiwa sio watanzania..subiri ngorongoro anauziwa tycoon wa kimarekani...mmezoea kuupokea msafara wa kampeni za kijani mkitoka km 20 toka eneo la tukio na njaa zenu mnafaidi picha ya mgombea na tshirt..ARUSHA MJINI HILI LA KUKALISHWA JUANI NA NYIMBO ZA KOMBA IPO KTK MITAALA YA HISTORIA.
 
Kweli Watanzania tuna kelele tu, hatuheshimiwa. Ndugu zetu Wamasai 48 elfu watafukuzwa Serengeti kuwapisha Matajiri wa Mashariki ya Kati. KIKWETE ahusika. Soma hapa; http://english.pravda.ru/hotspots/16-08-2012/121896-tanzania_kikwete-0/ . Anayeweza kuitoa hii habari bila link aiweke wanaJF wasome moja kwa moja.
 
Mliyataka wenyewe! Ndiyo matokeo ya kuhongwa vikofia vya kijani na chumvi wakati wa uchaguzi! Lazima mrudishe gharama!! Mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama vichaa!! Tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata akili 2015.

hayo si muhimu kwa sasa.
 
Keep the record correct and you can quote me anywhere. Serengeti does not belong to the Maasai. Serengeti covers an area of about 10000 square kilometres of which 7000 form the Serengeti National Park (SENAPA). Less than 1000 square kilometers form the Grumet reserve, Ikorongo and Open controlled areas. The rest land is inhabitated with estimated 400,000 number of peasants of the Serengeti district in Mara region. The etymological ethnic groups in the area include the Ikoma, the Ngoreme, the Nata and the Issenye and later about 1940s Kurya from the North entered the district. Other tribes from neighbouring districts/regions like the Luo, the Jita, the Sukuma, the Ikizu (just to mention some) also entered in the district during recent decades to earn a living through different economical activities ranging from peasantry to tourism industry. It is therefore, completely improper to associate SENAPA to the Maasai. To me, this thread sounds like a conspiracy of some domestic and foreign pupets at the expense of their interests! Let the World over know this: Serengeti is not the Maasai's land!
Wametumia jina la wamaasai sababu ndio kabila linalo julikana kimataifa
Hii petition inasainiwa na watu wengi sana. watu wa ndani na nje ya nchi.
Wangesema "save the Nata, au save the Kurya, huko nje nani angewajua?
Serengeti ni ya watanzania kwa jumla, ila jina la wamaasai ndio linajulikana
 
Wametumia jina la wamaasai sababu ndio kabila linalo julikana kimataifa
Hii petition inasainiwa na watu wengi sana. watu wa ndani na nje ya nchi.
Wangesema "save the Nata, au save the Kurya, huko nje nani angewajua?
Serengeti ni ya watanzania kwa jumla, ila jina la wamaasai ndio linajulikana
Mwali nimekupata na kuyaheshimu mawazo yako. Lakini mimi sikubaliani na hoja ya kuhalalisha kuitetea Serengeti kwa kuibinafsisha kwa 'Maasai' kwa kisingizio chapwa eti wao ndio wanaofahamika huko nje. Ilitokea wakati fulani Mlima Kilimanjaro ulitangazwa sana nje ya mipaka ya nchi yetu kwamba uko Kenya na kwamba ili kuuona Mlima huo kwa urahisi ilibidi watalii wapitie J. K. International Airport (namaanisha Jomo Kenyata). Huo ukawa ni 'ukweli' wa muda ambao ungeegemewa, kama unavyojaribu kunishawishi, hadi leo hii dunia nzima ingeendelea kujua kwamba Ml. Kilimanjaro uko Kenya! Hoja yangu ni hii kwamba Serengeti si ya Wamasai. Halafu ukifuatilia vizuri humu humu JF utakutana na picha kupitia Youtube zinazowaonesha Wamasai wenyewe walio wahusika wakuu wakilalamikia kunyang'anywa ardhi yao iliyoko Loliondo, siyo Serengeti. Ni lazima pia ufahamu jambo lingine katika sakata hili la kuanzisha petition halijaanza leo. Ukifuatilia hata kwenye wavuti wa savetheserengeti.org utawakuta hawa wanaojiita wanaharakati wa mazingira wakipinga mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kupitia Serengeti kwenda Arusha. Ni hawa hawa leo wanaanzisha petition dhidi ya rais wetu (hata kama anasemwa kama yu dhaifu) ili sisi tujiorodheshe kumpinga. Waziri Kagasheki keshalitolea tamko jambo hili. Kwa hiyo sisi tuwe makini tu kuangalia kama kama pana pusi yeyote atajitokeza kwamba ni mwekezaji au mwindaji ili tumkabe kooni huyu Waziri wetu. Hoja hapa ni Serengeti does not belong to the Maasai, kwisha!
 
hivi kweli kuna watu wanasubiri mpaka yatokee ndo muanze kupinga? Mangapi yametokea huko nyuma,waliambiwa wakakanunusha, yalipotokea wakagoma kujiuzuru? Hata kama wamekosea move kwa akili ya jk na genge lake la wahuni,hii kitu lazima ina ukweli wake. Kwani suala la mapanki si walipinga kwa nguvu zote? Kwani watz walikuwa hawali mabaki ya samaki? Silaha hazikuuzwa kongo? Ngoja niisaini sasa hivi! Jk ni dhaifu na genge lake wana kauli za uongo kweli. Kila wanachoongea ni uongo, bajeti ya uongo,ahadi ya uongo,comitment za uongo, unadhani sie wajinga kiasi cha kukubaliana na kauli za reja reja za kagasheki?
 
I doubt if the stiff-necked JK is ready to hear any grievance from any citizen right now. If he has been able to peg off his ears with regard to genuine claims by Dr's, Teachers and Workers generally, expect zero responce only if he has bowed down to Middle-Easterns buyers!

kiingereza mujarabu kwelikweli hiki..Shkamoo pakaJimmy
 
The Mwarubaini for what is this called abuse of power including bribing Maasai with cattle mabilion ya JK and others is to curtail president's power in new so called KATIBA. Don't expect more loyal JKs, Mr Clean, Ruksa and MWALIMU. so contribute seriously and immensely in this KATIBA PLATFORMS. SISI WATZ tumezidi maneno mengi na lawama KIBAO.
 
Kikwete anaonewa, Mwinyi mwaka 87 awahamisha wamasai wa Mkomazi (muasuni wanavyoita kwa kimasai) mbona hajasumbuliwa kama wanavyomtukana JK leo? Tena yeye Mwinyi aliamuru Jeshi lipige na kuchoma maboma(baadae jeshi lilibaka vibaya na kupora) ndio mbuga ya Mkomazi ikapatikana.
 
One million against eviction of Maasai for royal hunters

Posted Saturday, August 18 2012 at 20:34

By PAUL REDFERN Special Correspondent, London
THE EAST AFRICA

In Summary
•An international campaign by the pressure group Avaaz saw over 400,000 people sign up to their petition in only one day, criticising plans to allow traditional lands to be used for hunting. Since then thousands more have signed up each day.

•Although the Tanzanian government has denied the allegations saying that those who have signed the petition are being misled by an “unfounded and non-existent eviction claim,” Avaaz insisted in a statement that its information was correct.

•Avaaz maintains that a big-game hunting corporation is set to sign a deal that will force up to 48,000 Maasai from their land “to make way for wealthy Middle Eastern kings and princes from the United Arab Emirates to hunt

More than one million people are this week expected to have signed an international petition demanding that Tanzania’s government stop plans to force Maasai pastoralists off their traditional land, to allow game hunting by members of the UAE royal family.

An international campaign by the pressure group Avaaz saw over 400,000 people sign up to their petition in only one day, criticising plans to allow traditional lands to be used for hunting. Since then thousands more have signed up each day.


Although the Tanzanian government has denied the allegations saying that those who have signed the petition are being misled by an “unfounded and non-existent eviction claim,” Avaaz insisted in a statement that its information was correct.


“The Tanzanian government … plays cynical word games rather than addressing whether the government will commit to not evicting the Maasai from their land,” an Avaaz press statement said.


“Rather than address the substance of the Avaaz campaign and the concerns of the Maasai, the government has tried to distract attention from those concerns by parsing distinctions between the Maasai lands at risk (in the Loliondo district) and the borders of the Serengeti plain and the National Park.


"They ignore the fact that Tanzanian government officials themselves, along with international experts, refer to the Maasai lands as within the Serengeti ecosystem. However the issue is whether the government will respond to calls from hundreds of thousands of people around the world to protect the land and livelihoods of its people over the hunting interests of foreign corporations.”


Emma Ruby-Sachs, campaign director at Avaaz, said: “If the government does not believe there is any threat to the Maasai lands, it should be easy for it to commit to a policy of not forcibly evicting any of its people to make way for foreign interests.”


Avaaz maintains that a big-game hunting corporation is set to sign a deal that will force up to 48,000 Maasai from their land “to make way for wealthy Middle Eastern kings and princes from the United Arab Emirates to hunt lions and leopards.


"The last time this same corporation pushed the Maasai off their land to make way for rich hunters, people were beaten by the police, their homes were burnt to a cinder and their livestock died of starvation,” Avaaz said.


“But when a press controversy followed, Tanzanian President Jakaya Kikwete reversed course and returned the Maasai to their land.”


The Avaaz petition to the Tanzanian president reads: “As citizens from around the world, we call on you to oppose any attempt to evict Maasai from their traditional land or require them to relocate to make way for foreign hunters.


"We are counting on you to be a champion for your people and stop any attempt to change their land rights against their will.”
 
Back
Top Bottom