Petition: Please sign & circulate; ( tafadhali saini na sambaza ombi hili maalumu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Petition: Please sign & circulate; ( tafadhali saini na sambaza ombi hili maalumu)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Donyongijape, Dec 19, 2010.

 1. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Dear fellow citizens,
  We appeal to you to hep us collect more signatures from the people who don't have access to a computer at home/internet, we kindly ask you to download the attached file/PDF to your computer (print it/make as many copies as you wish), collect the signatures in any city,town or village in Tanzania, and then email it back to us at katibatanzania@gmail.com for collation.
  P.S. Our online petition is still active (so please continue to promote it) and you can sign online: TUNAHITAJI KATIBA MPYA Petition
  With thanks,
  KatibaMpya.org

  KISWAHILI:

  Ndugu Watanzania,

  Tunaomba kila mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi yake kuweka sahihi katika Ombi hili maalum la katiba mpya ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunahitaji kufikia watu wengi hasa wale wasio na uwezo wa kupata na kutumia mtandao. Tunaomba watakaoweza kwa mapenzi ya nchi yao wa-download Ombi hili maalumu la katiba, watoe kopi na kusambaza sehemu zote Tanzania,kwenye miji mikubwa,kati,midogo na vijijini ili liweze kupata sahihi nyingi zaidi. Baada ya kupata sahihi hizo unaweza kuzituma kwa E-mail katibatanzania@gmail.com kwa ajili ya kuziunganisha zote kwa pamoja.

  Pia waweza kusaini Ombi hili online kupitia: TUNAHITAJI KATIBA MPYA Petition na kuendelea kuwajulisha wengine kusaini.

  Tunatanguliza shukurani.
  KatibaMpya.org

  NOTE:
  Unaweza kuendelea kui-forward message hii na kuattach hii document kwa watu hata ambao si wana JF kwa E-Mail zao unaoamini wanaweza kushiriki kikamilifu katika zoezi hili, mimi pia nimepata through mail na nimependa tushirikiane pamoja na naamini hapa JF wengi wetu kama si wote, ni wenye mapenzi mema na nchi yao na wangependa kuona suala hili linafanikiwa.

  Pia kwa JF Moderators,please do not merge this topic with others on constitution reform since it is really independent and it needs much support,on contrary,you may find an alternate way on how it can be viewed by majority of members and visitors.
  Thanks.
   
 2. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  I have failed to upload the PDF file to my post ila nimeomba msaada kwa mods,let's wait for their help and you can download it directly from here for printing.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 19, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nice move!
   
Loading...