Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
Hatimaye leo Julai 9, 2018 nimefanikiwa kutuma petition niliyoifanya kwa siku kadhaa mtandaoni kwa ajili ya kumtaka Kamishna wa Haki za Binadamu huko Umoja wa Mataifa aitishe uchunguzi kuhusu mamia ya watu "waliopotea" huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji (MKIRU) sambamba na "kupotea" kwa mwandishi Azory Gwanda. Naambatanisha picha hizi za nyaraka zote nilizotumwa Geneva, Uswisi. Kwa vile nimeomba kujulishwa zitakapopokelewa, basi nitawafahamisha pia pindi zitakapopokelewa, ambapo natarajia itakuwa baadaye wiki hii.
Nawashukuru nyote mlioshiriki kwenye petition ya MKIRU.
CHANZO: PICHA: Hatimaye Leo Nimetuma Petition ya [HASHTAG]#MKIRU[/HASHTAG] na [HASHTAG]#AzoryGwanda[/HASHTAG] Kwa Kamishna wa Haki za Binadamu, Umoja wa Mataifa