Peter Tino akabidhiwa Milioni 5 na Rais Magufuli

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
296
681
Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars Peter Tino, aliyeshiriki AFCON (1980) yaliyofanyika nchini Nigeria amekabidhiwa Shilingi Milioni 5 na rais Magufuli

D2ft53UXgAAO9z0.jpg
 
Zimetoka mfuko upi
Magufuli analipwa mshahara Milion 9 kwa mwezi na marupurupu kibao, mshahara wake + marupurupu hayakatwi mshahara akitoa Milion 5 kwenye mshahara wake wa mwezi wa 2 bado hawezi kuwa maskini.... Hata ingekuwa ni wew umepewa hyo milion 5 sidhani kama ungemhoji rais umetoa kwenye fungu lipi

Hii ni njia moja wapo ya kuboost uchumi huku mtaani, huyo mzee hiyo hela ataenda kuitumia kwenye labla ujenzi/kumalizia nyumba yake hela inaingia kwenye mzunguko huku mtaani.....

Pale kwa kupongeza tupongeze kwa sauti bila kujali vyama....
 
Magufuli analipwa mshahara Milion 9 kwa mwezi na marupurupu kibao, mshahara wake + marupurupu hayakatwi mshahara akitoa Milion 5 kwenye mshahara wake wa mwezi wa 2 bado hawezi kuwa maskini.... Hata ingekuwa ni wew umepewa hyo milion 5 sidhani kama ungemhoji rais umetoa kwenye fungu lipi
Maendeleo hayana Chama..pongezi kwake Mh.
 
Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars Peter Tino, aliyeshiriki AFCON (1980) yaliyofanyika nchini Nigeria amekabidhiwa Shilingi Milioni 5 na rais Magufuli

D2ft53UXgAAO9z0.jpg
Hajakabidhiwa.
Amepewa. Kukabidhiwa ni kitendo cha kushikishwa mkononi, au kulewa Hindi mkononi.
Yeye kapewa maneno tu, maneno ni intangible, huwezi kukabidhiwa kitu ambacho hakishikiki
 
Back
Top Bottom