Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,781
Ameondoka kishujaa, ametoka kanisan kuimba akaenda IDM kwenye kikao cha viongoz wa kwaya, baada ya kikao wakaenda Kilimahewa kupiga picha za mwaka mpya,,, moja ya picha alipenda apige akiwa anapiga push up,, akapiga ya kwanza, ya pili hadi ya nne akaanguka hapo hapo na kuaga dunia
Push up alizopiga Peter hadi wakati wa mwisho wa maisha Yake... hapo wakati anaamka ndio alirudi chini. anaondokaView attachment VID-20190103-WA0053.mp4
Jr
Push up alizopiga Peter hadi wakati wa mwisho wa maisha Yake... hapo wakati anaamka ndio alirudi chini. anaondokaView attachment VID-20190103-WA0053.mp4
Jr