Peter Mwakatundu, nakutafuta rafiki

Sifa ya huyu jamaa ni mjuzi wa Lugha ya kibeberu alafu kaishia form 4 tu kwa historia kidogo alionipa aliwahi kaa Malawi kwa mda na yupo smart kichwani na upande maandiko yupo fiti huwezi mdanganya
 
Hapo kwenye kumpa suruali ya bluu anaweza kujikata akapita vile.....
Hapana mkuu sio kwamba nilimpaga kwa sababu Hana nguo hapana niliacha tu kwa sababu shuleni nisingeweza kuivaa ningeonekana mtovu wa nidhamu, maana hata mwenyewe tu akikumbuka hiyo suruali yenyewe lazima acheke
 
Wakuu habari za mida hii,
Naomba kwenda kwenye maada tajwa hapo juu:

Namtafuta mtu huyu kwa Jina lake halisi ni Peter Mwakatundu nimepotezana nae miaka kadhaa nyuma, kwa kumbukumbu ya machache ninayokumbuka.

Tuliwahi abudu pamoja nae kwenye kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG), pale kilimani Barabara ya kwenda Pugu station na mnada wa Ng'ombe, mchungaji wa kanisa kipindi hicho sijui kwa Sasa aliitwa Kibona mfupi mweusi na huyu , Peter alikuja pale Kama mwalimu wa chekechea na baadae akateuliwa kuwa mhasibu wa kanisa.

Pia aliwahi kufungua kituo Cha Tuition center gongo la mboto kipindi hicho ilikuwa nyuma ya kituo Cha police, haya ni machache nakumbuka alikuwa mtu wa karibu sana kwangu na rafiki mkubwa sana tulikuja kupotezana wakati nimeenda kuanza kidato Cha tano Arusha sikuonana nae Tena maana hatukuwa hata na simu kipindi hicho.

Nakuomba popote ulipo au Kuna mtu wa karibu anamfahamu naomba mjulishe rafiki yako kijana wa kinyaturu tokea Singida, alikuwa rafiki yako na hata siku ya kuondoka alikuachia suruali moja ya blue bahari chini mbwaga
kidogo na Bible mwambieni namtafuta popote si kwa ubaya Ila nimekumbuka mengi mno, akumbuke pia tukio moja la kuokota pesa za machange ya shilingi ishirini tu kwenye mfuko wa rambo jumla zikiwa elfu 6 tukaenda nazo kanisani kuziombea na tukaenda kulia chips pale mwisho wa lami gongo la mboto.

Peter Mwakatundu ana ndugu yake ni mjeda wa cheo kizuri kule kigamboni pia akumbuke alienda kunitambulisha kwa ndugu yake huyo kwa Sasa sipakumbuki hata Nyumba tulienda, Peter nakutafuta nakutafuta Sana Kama upo hai nakutafuta mno nimekutafuta social media zingine nimekikosa Hadi nimeamua kuja hapa pia tafadhali Kama unamjua mkumbushie tu kwa kumbukumbu hizi na mwambie namtafuta Sana.
Umeshindwa nini kwenda kwa ndugu yake huyo mjeda wa kigamboni, hapo utapata taarifa zake
 
Peter mwakatundu kwa Sasa ni mwanajeshi (komando) yupo afrika ya kati kwa Sasa ,amejenga chalinze mkabala na bar ya travela ,ukifika mitaa hiyo ukamuulizia utapata

USSR
 
😳😳😳😳
 
Fanya Hivi.
1.Nenda Facebook
Tafuta hilo jina,angalia jina moja moja, picha kama ipo na details..

Ukimkosa hapo..
2.Tafuta jina Moja la mwakatundu.
Angalia majina ya mtu ambae jina lake linaishia mwakatundu,
Hapo unaeza bashiri kama ni mtoto,binti au kijana wake,au ndugu wa karibu.

Kama kazaliwa miaka ya 70/80
Unaeza kuta ana watoto..
Na watoto wa miaka ya 2000 wapo kiditali huezi kosa jina la mwana familia.
Au ndugu
 
Thanks kwa ushauri murua mkuu
 
Back
Top Bottom