Peter Msigwa: Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

Nimesikitishwa na kushangazwa sana na hatua ya Mhe Rais, John Magufuli, kutofanya mazungumzo ya ana kwa ana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Gutteres, aliyepita nchini jana akitokea Ethiopia na Kenya, alikofanya mazungumzo na viongozi wakuu wa nchi hizo.

Hatua ya Rais kumtuma Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Agustino Mahige, kuzungumza na Katibu wa UN huku Rais mwenyewe akiwa yupo nchini, haikuwa sawa kiitifaki wala kimkakati.

Hatua hiyo imezidi kupunguza ushawishi wa Tanzania kwenye jumuiya ya kimataifa kwa kushindwa kuzitumia vizuri fursa za kimataifa zinazojitokeza katika kufanikisha utekelezaji wa sera ya diplomasia ya uchumi na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ifikapo mwaka 2030.

Ujio wa Katibu huyu mpya wa UN aliyeingia madarakani tarehe 1 Januari mwaka huu, ulikuwa ni fursa kubwa na ya kipekee sana kwa Rais, ambaye ndiye Mwanadiplomasia namba moja, kufanya mazungumzo na kupenyeza si tu maslahi na ushauri wa Tanzania kwa UN, bali pia kupenyeza changamoto na maslahi mapana ya jumuiya nzima ya Afrika ya Mashariki ambayo Rais ndiye Mwenyekiti wake. Ni jambo la aibu kwa Rais kuukimbia wajibu wake huu muhimu kwa nchi!

Wakati Rais Kenyata wa Kenya alivunja ratiba zake zote na kuona ulazima wa kufanya mazungumzo na Katibu wa UN; na wakazungumza juu ya kushughulikia matatizo ya njaa, ukame, ugaidi na changamoto za hali mbaya ya usalama hasa kwa nchi jirani za Somalia, Burundi na Sudani; Mwenyekiti Magufuli anayeongoza Jumuiya nzima ya Afrika ya Mashariki, alichagua kwenda 'kujificha' Dodoma! Huu ni ushahidi wa wazi wa Rais kukosa ajenda na kushindwa kuona fursa.

Ikumbukwe kuwa matatizo ya ukame na njaa ambayo Rais Kenyata aliyazungumza na Katibu wa UN, ni sehemu ya matatizo makubwa yanayoisibu Tanzania pia hivi sasa. Matatizo haya pia yams kwenye Malengo ya Maendeleo Endelevu yaliyopitishwa na wakuu wa nchi wanachama wa UN ikiwemo Tanzania. Kwa mujibu wa Malengo hayo, wajibu wa UN, pamoja na mambo mengine, ni kuhamasisha jumuiya ya kimataifa hasa nchi tajiri kuwekeza mikakati na raslimali za kutosha ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi (climate change), kusaidia mikakati ya kuboresha kilimo na kukabiliana na njaa hususani kwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania. Wakati Wilaya mbalimbali nchini zikiwa kwenye baa la njaa na ukame, inasikitisha kwa Kiongozi Mkuu wa nchi kushindwa kuona fursa na ulazima wa kuyazungumza kwa uzito masuala haya na Kiongozi huyu wa UN!

Wakati serikali ya Rais Magufuli ikidai inapambana na madawa ya kulevya na wakati madawa hayo yakiwa yanaingizwa nchini kutoka nchi mbalimbali duniani; nilitarajia kumuona Mkuu wetu wa nchi akikutana na Katibu wa UN na kujadili suala hili. Alipaswa kuishawishi UN kuchukua hatua madhubuti ya kuzibana na kudhibiti uzalishaji wa madawa ya kulevya kwani kushamiri kwa biashara hiyo kunahatarisha pia amani na maendeleo ya watu hasa vijana duniani kote. Jitihada za kupambana na madawa ya kulevya hapa nchini zitakuwa ni za "kutwanga maji kwenye kinu" kama hazitaishirikisha vizuri jumuiya ya kimataifa. Ni ajabu kuwa Rais hakuiona fursa adhimu ya kukutana na Katibu wa UN ili kutanua vita dhidi ya madawa ya kulevya kwa kuvitafutia msukumo wa kimataifa.

Kwa uzito wa majukumu yake na ushawishi wa nafasi yake kwa kimataifa, Katibu wa UN ni Kiongozi mwenye hadhi na umuhimu mkubwa sana Duniani. Kwa kawaida huyu ndiye msemaji na muwasilishaji mkuu wa maslahi ya nchi wanachama katika mikutano mikuu ya UN na kwenye vikao vya mabaraza yake likiwemo Baraza la Ulinzi na Usalama na Baraza linalohusika na Maendeleo ya Uchumi na Jamii (Economic and Social Council). Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN Charter) pamoja na majukumu mengine, umempa Katibu UN, fursa ya kuwasilisha jambo lolote kwenye vikao hivyo, ambalo kwa mtazamo wake, linaweza kusaidia katika kudumisha amani na usalama` na` ustawi wa nchi wanachama. Kwa namna yoyote ile, Kiongozi mwenye hadhi na umuhimu mkubwa hivi duniani, alipofunga safari kuitembelea Tanzania, hata kama ni kwa mazungumzo ya dakika chache, haikupaswa apokelewe na kuzungumza na Waziri pekee. Hadhi inayolingana na Kiongozi mwenye dhima ya kidunia, ni Rais wa nchi.

Haikuwa sawa hata kidogo kwa Rais kumkwepa Katibu wa UN na kukimbilia Dodoma kwa kisingizio cha majukumu ya chama, ilihali alishajua mapema juu ya ujio wa Kiongozi huyo;. Na kulikuwa uwezekano wa Rais kutoka Dodoma na kufanya mazungumzo mafupi na Kiongozi huyo na kurudi kwenye majukumu yake ya kawaida, lakini ha kufanya hivyo. Kwanini vikao vya CCM viwe muhimu zaidi kwake kuliko maslahi ya Watanzania wote?

Kwa mara nyingine tena, namtaka Mhe Rais kuyapa umuhimu na ulazima wa kutosha masuala ya kimataifa. Tanzania si kisiwa...hata akusanye kodi nyingi kiasi gani, hata atumbue majipu mengin kiasi gani, bado Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya haraka kama Rais atapuuza ushirikiano wa kimataifa.

Ninaamini hatua ya Rais Magufuli kutokupata msukumo ndani ya nafsi yake wa kukutana na Katibu wa UN, kunatokana na kutokuwa na ajenda yoyote iliyobayana ya kimataifa anayoisimamia. Ni dhahiri kuwa Ikulu ni kitu gani Tanzania inakitafuta au inakisimamia kwenye Jumuiya ya kimataifa. Wangekuwa na ajenda, Rais asingeiacha fursa hiyo ipite hivi hivi.

Kwa mara nyingine tena, namshauri Mhe Rais awatumie vizuri wataalam na wasomi wa nchi hii ili wamwongoze vizuri zaidi jinsi ya kuongoza nchi. Wamsaidie kuipata ajenda ya Tanzania kimataifa na wamshauri jinsi ya kuzitumia vizuri fursa adhimu za kidiplomasia zinazojitokeza kushawishi na` kusukuma maslahi ya nchi kimataifa. Asione tabu kuutekeleza ushauri wangu. Tanzania ni yetu sote!

Imetolewa leo tarehe 11 March, 2017

Peter Simon Msigwa
Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kikanda.
Acha kutapatapa Mr msigwa, katibu UN Unauhakika alipita Tanzania au alipita air port ya Tanzania eneo la international area? Je ulitaka rais avunje ratiba yake akamsubili mtu anayepita eneo la kimataifa wakati yupo waziri mhusika na maswala ya nje ya nchi?? Acha kudanganya umma,, endapo katibu mkuu angekuwa anakuja Tanzania kikaz mh Rais angempokea na kufanyaa naye mazungumzo sehemu husika sio airport Mr msigwa
 
Msigwa wewe ni andunje ulie acha mafundisho ya dini,umekubali kutumikia siasa..
Kweli ngawira zilimuuza yesu
 
Tunajua huyo Katibu Mkuu ni zana ya US, inatumiwa sana kimkakati mara nyingi kulazimisha maslahi ya nchi hiyo hata kama hayana maslahi kwa nchi mwenyeji! We have a smart foreign minisiter, a smarter foreign intelligence and a smartest president!!
Kwa hiyo unataka kusema US ni adui wa Tanzania!?
Pia unaanisha UN ni US!?
Na kama US ambayo ni UN (according to you) ni adui yako kwanini umekubali kua mwanachama/kushirikiana na huyo adui yako!?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

Nimesikitishwa na kushangazwa sana na hatua ya Mhe Rais, John Magufuli, kutofanya mazungumzo ya ana kwa ana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Gutteres, aliyepita nchini jana akitokea Ethiopia na Kenya, alikofanya mazungumzo na viongozi wakuu wa nchi hizo.

Hatua ya Rais kumtuma Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Agustino Mahige, kuzungumza na Katibu wa UN huku Rais mwenyewe akiwa yupo nchini, haikuwa sawa kiitifaki wala kimkakati.

Hatua hiyo imezidi kupunguza ushawishi wa Tanzania kwenye jumuiya ya kimataifa kwa kushindwa kuzitumia vizuri fursa za kimataifa zinazojitokeza katika kufanikisha utekelezaji wa sera ya diplomasia ya uchumi na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ifikapo mwaka 2030.

Ujio wa Katibu huyu mpya wa UN aliyeingia madarakani tarehe 1 Januari mwaka huu, ulikuwa ni fursa kubwa na ya kipekee sana kwa Rais, ambaye ndiye Mwanadiplomasia namba moja, kufanya mazungumzo na kupenyeza si tu maslahi na ushauri wa Tanzania kwa UN, bali pia kupenyeza changamoto na maslahi mapana ya jumuiya nzima ya Afrika ya Mashariki ambayo Rais ndiye Mwenyekiti wake. Ni jambo la aibu kwa Rais kuukimbia wajibu wake huu muhimu kwa nchi!

Wakati Rais Kenyata wa Kenya alivunja ratiba zake zote na kuona ulazima wa kufanya mazungumzo na Katibu wa UN; na wakazungumza juu ya kushughulikia matatizo ya njaa, ukame, ugaidi na changamoto za hali mbaya ya usalama hasa kwa nchi jirani za Somalia, Burundi na Sudani; Mwenyekiti Magufuli anayeongoza Jumuiya nzima ya Afrika ya Mashariki, alichagua kwenda 'kujificha' Dodoma! Huu ni ushahidi wa wazi wa Rais kukosa ajenda na kushindwa kuona fursa.

Ikumbukwe kuwa matatizo ya ukame na njaa ambayo Rais Kenyata aliyazungumza na Katibu wa UN, ni sehemu ya matatizo makubwa yanayoisibu Tanzania pia hivi sasa. Matatizo haya pia yams kwenye Malengo ya Maendeleo Endelevu yaliyopitishwa na wakuu wa nchi wanachama wa UN ikiwemo Tanzania. Kwa mujibu wa Malengo hayo, wajibu wa UN, pamoja na mambo mengine, ni kuhamasisha jumuiya ya kimataifa hasa nchi tajiri kuwekeza mikakati na raslimali za kutosha ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi (climate change), kusaidia mikakati ya kuboresha kilimo na kukabiliana na njaa hususani kwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania. Wakati Wilaya mbalimbali nchini zikiwa kwenye baa la njaa na ukame, inasikitisha kwa Kiongozi Mkuu wa nchi kushindwa kuona fursa na ulazima wa kuyazungumza kwa uzito masuala haya na Kiongozi huyu wa UN!

Wakati serikali ya Rais Magufuli ikidai inapambana na madawa ya kulevya na wakati madawa hayo yakiwa yanaingizwa nchini kutoka nchi mbalimbali duniani; nilitarajia kumuona Mkuu wetu wa nchi akikutana na Katibu wa UN na kujadili suala hili. Alipaswa kuishawishi UN kuchukua hatua madhubuti ya kuzibana na kudhibiti uzalishaji wa madawa ya kulevya kwani kushamiri kwa biashara hiyo kunahatarisha pia amani na maendeleo ya watu hasa vijana duniani kote. Jitihada za kupambana na madawa ya kulevya hapa nchini zitakuwa ni za "kutwanga maji kwenye kinu" kama hazitaishirikisha vizuri jumuiya ya kimataifa. Ni ajabu kuwa Rais hakuiona fursa adhimu ya kukutana na Katibu wa UN ili kutanua vita dhidi ya madawa ya kulevya kwa kuvitafutia msukumo wa kimataifa.

Kwa uzito wa majukumu yake na ushawishi wa nafasi yake kwa kimataifa, Katibu wa UN ni Kiongozi mwenye hadhi na umuhimu mkubwa sana Duniani. Kwa kawaida huyu ndiye msemaji na muwasilishaji mkuu wa maslahi ya nchi wanachama katika mikutano mikuu ya UN na kwenye vikao vya mabaraza yake likiwemo Baraza la Ulinzi na Usalama na Baraza linalohusika na Maendeleo ya Uchumi na Jamii (Economic and Social Council). Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN Charter) pamoja na majukumu mengine, umempa Katibu UN, fursa ya kuwasilisha jambo lolote kwenye vikao hivyo, ambalo kwa mtazamo wake, linaweza kusaidia katika kudumisha amani na usalama` na` ustawi wa nchi wanachama. Kwa namna yoyote ile, Kiongozi mwenye hadhi na umuhimu mkubwa hivi duniani, alipofunga safari kuitembelea Tanzania, hata kama ni kwa mazungumzo ya dakika chache, haikupaswa apokelewe na kuzungumza na Waziri pekee. Hadhi inayolingana na Kiongozi mwenye dhima ya kidunia, ni Rais wa nchi.

Haikuwa sawa hata kidogo kwa Rais kumkwepa Katibu wa UN na kukimbilia Dodoma kwa kisingizio cha majukumu ya chama, ilihali alishajua mapema juu ya ujio wa Kiongozi huyo;. Na kulikuwa uwezekano wa Rais kutoka Dodoma na kufanya mazungumzo mafupi na Kiongozi huyo na kurudi kwenye majukumu yake ya kawaida, lakini ha kufanya hivyo. Kwanini vikao vya CCM viwe muhimu zaidi kwake kuliko maslahi ya Watanzania wote?

Kwa mara nyingine tena, namtaka Mhe Rais kuyapa umuhimu na ulazima wa kutosha masuala ya kimataifa. Tanzania si kisiwa...hata akusanye kodi nyingi kiasi gani, hata atumbue majipu mengin kiasi gani, bado Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya haraka kama Rais atapuuza ushirikiano wa kimataifa.

Ninaamini hatua ya Rais Magufuli kutokupata msukumo ndani ya nafsi yake wa kukutana na Katibu wa UN, kunatokana na kutokuwa na ajenda yoyote iliyobayana ya kimataifa anayoisimamia. Ni dhahiri kuwa Ikulu ni kitu gani Tanzania inakitafuta au inakisimamia kwenye Jumuiya ya kimataifa. Wangekuwa na ajenda, Rais asingeiacha fursa hiyo ipite hivi hivi.

Kwa mara nyingine tena, namshauri Mhe Rais awatumie vizuri wataalam na wasomi wa nchi hii ili wamwongoze vizuri zaidi jinsi ya kuongoza nchi. Wamsaidie kuipata ajenda ya Tanzania kimataifa na wamshauri jinsi ya kuzitumia vizuri fursa adhimu za kidiplomasia zinazojitokeza kushawishi na` kusukuma maslahi ya nchi kimataifa. Asione tabu kuutekeleza ushauri wangu. Tanzania ni yetu sote!

Imetolewa leo tarehe 11 March, 2017

Peter Simon Msigwa
Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kikanda.

Nimesoma taarifa ya Umma ya Mhe Msigwa,Waziri kivuli wa mambo ya nje....ametoa maelezo mareeefu ya kutaka kuonyesha kwamba Mhe Rais amekosea kutomuona Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa....binafsi ninatofautiana na mtazamo huo. Mhe Rais hajafanya kosa lolote kwa kutokuonana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Mtazamo wangu unajengwa na sababu kubwa mbili....

1) Katibu Mkuu hakufanya ziara rasmi au ya kikazi hapa Tanzania bali alipitia kwa muda (transitting) akielekea New York. Ndio maana mazungumzo yake na Waziri wa Mambo ya Nje yalifanyikia kwenye uwanja wa ndege. Hivyo kumtaka Mhe Rais aache majukumu yake yaliyokwishapangwa muda mrefu nje ya Dar es salaam na kurudi Dar sio sahihi. Ndio maana Mhe Rais ana wasaidizi wake wa kutekeleza majukumu yake menginine. Waziri wa Mambo ya Nje ni msaidizi No 1 wa Rais katika masuala ya diplomasia na mahusiano na mashirikiano ya kimataifa. Sidhani kama Mhe Msigwa anahoji uwezo wa Balozi Mahiga kumwakilisha Mhe Rais na kufanya mazungumzo yenye kuzingatia maslahi ya Taifa. Nijuavyo mimi Rais anatambua ana msaidizi makini mwenye ufahamu wa hali ya juu katika masuala ya kimataifa....masuala yote ambayo Mchungaji Msigwa alitegemea Mhe Rais ayaongee na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,nina uhakika Balozi Mahiga anao uwezo mkubwa wa kuyawasilisha kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa... tena naweza kusema hapa nchini, Mahiga ni mtu mwenye ufahamu wa juu zaidi katika masuala ya Umoja wa Mataifa...amekuwa Mwakilishi wa KM wa Umoja wa Mataifa, amekuwa Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, amekuwa mwakilishi wa UNHCR sehemu mbalimbali ulimwenguni Europe, India etc

2) Jambo la pili,ningependa kumuelewesha Msigwa kuhusu mfumo na itifaki katika Umoja wa Mataifa. Katika ngazi ya Umoja wa Mataifa Waziri wa Mambo ya Nje anatambulika katika ngazi ya juu na anayo hadhi ya kukutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hata bila ya kutumwa na Rais. As a matter of fact, Waziri wa Mambo ya Nje ndio mwenye dhamana ya kusaini hati za utambulisho CREDENTIALS za ujumbe wa nchi husika kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Maana yake hata Rais, au Waziri Mkuu au Waziri au Mjumbe mwingine yoyote anayekwenda kuhudhuria kikao chochote cha Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje ndiye mwenye dhamana ya kumtambulisha katika Umoja huo....hiyo inakuonyesha hadhi ya Waziri wa Mambo ya Nje hata kuweza kuongea na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
3) Jambo la tatu ambalo ni muhimu Mhe Msigwa akalielewa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sio ngazi ya Mkuu wa Nchi. Ikumbukwe kwamba umoja wa Mataifa ni taasisi inayoundwa na Mataifa yote huru ulimwenguni...na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ndilo chombo cha Juu chenye uwakilishi wa mataifa yote na Baraza la Usalama ndicho chombo cha juu chenye dhamana ya kushughulikia masuala ya usalama na amani...pia vipo vyombo vingine kama ECCOSOC, Human Rights Council etc.......chini ya vyombo vyote hivyo ndio kuna Sekretariati ya Umoja wa Mataifa....hawa ndio watumishi wanaopika mambo kwa ajili ya maamuzi ya vyombo vilivyotajwa hapo juu. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni Mkuu wa Sekretariati hiyo. Ikumbukwe Sekretatiat haipo juu ya General Assembly wala Security Council na Sekretariati haina uwezo wa kufanya maamuzi rather inatekeleza maamuzi. Vyombo hivyo vya maamuzi yaani UN General Assembly na Security Council vina wakuu wake wanaojulikana kama Marais...na hao ni mabosi wa Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa wanapokuwa wameshika nafasi hizo....na toka kuanzishwa kwa UN nafasi hizo za Urais wa GA au UNSC zimeshikwa na Mabalozi au Mawaziri....(na sio Marais) hiyo itakupa picha ya mfumo wa Umoja wa Mataifa

Mwisho, hoja zote za msigwa zimejengwa katika msingi wa Itifaki...na sio content (substance).
 
Hivi mlisikia wapi kuwa katibu Mkuu ya UN ana ratiba ya kuzuru Tanzania? Hata katika website ya UN hakuna taarifa inayoonyesha kuwa alikuwa na ratiba ya hapa bali Kenya na Kwa kuwa wamezungumza sana na Uhuru kuhusu Somalia basi katibu Mkuu akaona ni vema apitie TZ kuonana na Mh Mahiga ambaye ndio alikuwa UN special advisor for Somalia.
Serikali ya TZ kama serikali has nothing to do with Somali agenda Kwa sasa.

Tupunguze kulalamika
Achana na msigwa,,,
 
Msigwa anatafut kiki za kipuuzi.

Katibu Mkuu alikuwa on transit kurudi NY; amekaa airport ya Dar kwa muda mchache. So Rais aache ratiba zake aende airport kwa ajiki ya "mpita njia"

Embu "Mch" kama anavyojiita Msigwa aache hoja za kipuuzi. Katibu akitaka kuonana na Rais aje kwenye ziara rasmi.

Nampongeza Anko Magu kwa kutoyumbishwa au kuwa na nidhamu ya uoga kwa haya mataifa ya magharibi na instruments zao.
Msigwa kachuja sana kama ndiye kaandika ujumbe huu,,
 
Mheshimiwa Rais Magufuli alikuwa na shughuli nyingi. Baada ya ziara ya Lindi na Mtwara alirudi Dar na siku ya pili kuunganisha Morogoro kulee jeshini. Alipomaliza shuguli ya Morogoro akaelekea Dodoma ambapo siku ya pili yake alifanya kikao na mawaziri wake. Baada ya shughuli za kiserikali akaingia kwa shughuli za chama chake hadi leo. 1. Swali langu ni kwamba kwanini KM UN hakubadili ndege na kumfuata mkuu wetu huko Dodoma? 2. Ugeni gani mkubwa wa kuingia nchini mwa watu saa za usiku ilhali alikuwa anatokea Nairobi tu. 3. Kama vile alivyopanga safari zake huko Somalia na Kenya basi angefanya hivyo na Tanzania. Hata hivyo alipewa ujumbe kuwa apange siku atakuja rasmi, hivyo basi inaonyesha kuwa baada ya ziara za Somaia na Kenya ndio swala la umuhimu wa Tanzania ukajitoeza. Jee baada marekani kuwazuia Wasomali kwao na Kenya kutaka kuwarudisha wakimbizi wa Somalia makwao ndio huyu Boss wa UN anataka kuomba tuwapokee na kuwahifadhi wakimbizi wa Somalia?
 
Habari lizaboni,

Binafsi naona kwamba, hili si suala la chama fulani ila ni suala lenye maslahi na nchi nzima.

Mimi ningeomba labda unieleweshe, kwanini raisi hakuwepo kuweza kuonana na huyo mtu wa u.n??

Kwa roho safi kabisa.

Ahsante.
On transit Rais amfuate kwelii??? Nin kaz ya waziri wa mambo ya nje na ushirikianoo wa kimataifa???
 
Peter Msigwa anaona Waziri Mahiga kwenda kuonana na Katibu Mkuu UN si sawa...

Ila Rais kwenda usiku wa manane airport akakaa benchi na kumuwinda Katibu wa UN ni sawa...yaani Rais wa Sovereign state ya Tanzania usiku wa manane umuwinde Katibu wa UN tena anapita tu wasalimiane kidogo asepe...mbona hakufanya hivyo Kenya au Ethiopia????

Sovereignty ya nchi iko wapi hapo?????

Jamani tuwe wazalendo na tuache fikra hasi...mimi nampongeza Rais Magufuli kumtuma Waziri...
Safiii,,
 
View attachment 479345
Mwambieni hakupoteza Fursa walishakutana kwenye mkutano wa AU mjini Addis Ababa na wakaongea Mengi.

Kuna tafauti kubwa kati ya kukutana kwenye mikutano au vikao, na kumkaribisha mtu kwako na kumuonyesha ukarimu wako pamoja na raia wako.

Kwa ufupi busara imekosekana hapo,diplomasia imekosekana hapo,Hii inaonyesha vipi Tanzania inavyoogozwa na watu waliokosa busara na hekima...

Tunazisikia hotuba za mkuu wetu "mimi ningekuwa ....mimi sichezewi......",umimi mwingi hizo ni ishara kuwa hekima na busara ni ziro.

Hata Mungu mwenyewe kwenye vitabu vyake anatumia neno "SISI" ......"Tuliwateremsha malaika,,,,","tulikuleteeni mitume......"..
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

Nimesikitishwa na kushangazwa sana na hatua ya Mhe Rais, John Magufuli, kutofanya mazungumzo ya ana kwa ana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Gutteres, aliyepita nchini jana akitokea Ethiopia na Kenya, alikofanya mazungumzo na viongozi wakuu wa nchi hizo.

Hatua ya Rais kumtuma Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Agustino Mahige, kuzungumza na Katibu wa UN huku Rais mwenyewe akiwa yupo nchini, haikuwa sawa kiitifaki wala kimkakati.

Hatua hiyo imezidi kupunguza ushawishi wa Tanzania kwenye jumuiya ya kimataifa kwa kushindwa kuzitumia vizuri fursa za kimataifa zinazojitokeza katika kufanikisha utekelezaji wa sera ya diplomasia ya uchumi na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ifikapo mwaka 2030.

Ujio wa Katibu huyu mpya wa UN aliyeingia madarakani tarehe 1 Januari mwaka huu, ulikuwa ni fursa kubwa na ya kipekee sana kwa Rais, ambaye ndiye Mwanadiplomasia namba moja, kufanya mazungumzo na kupenyeza si tu maslahi na ushauri wa Tanzania kwa UN, bali pia kupenyeza changamoto na maslahi mapana ya jumuiya nzima ya Afrika ya Mashariki ambayo Rais ndiye Mwenyekiti wake. Ni jambo la aibu kwa Rais kuukimbia wajibu wake huu muhimu kwa nchi!

Wakati Rais Kenyata wa Kenya alivunja ratiba zake zote na kuona ulazima wa kufanya mazungumzo na Katibu wa UN; na wakazungumza juu ya kushughulikia matatizo ya njaa, ukame, ugaidi na changamoto za hali mbaya ya usalama hasa kwa nchi jirani za Somalia, Burundi na Sudani; Mwenyekiti Magufuli anayeongoza Jumuiya nzima ya Afrika ya Mashariki, alichagua kwenda 'kujificha' Dodoma! Huu ni ushahidi wa wazi wa Rais kukosa ajenda na kushindwa kuona fursa.

Ikumbukwe kuwa matatizo ya ukame na njaa ambayo Rais Kenyata aliyazungumza na Katibu wa UN, ni sehemu ya matatizo makubwa yanayoisibu Tanzania pia hivi sasa. Matatizo haya pia yams kwenye Malengo ya Maendeleo Endelevu yaliyopitishwa na wakuu wa nchi wanachama wa UN ikiwemo Tanzania. Kwa mujibu wa Malengo hayo, wajibu wa UN, pamoja na mambo mengine, ni kuhamasisha jumuiya ya kimataifa hasa nchi tajiri kuwekeza mikakati na raslimali za kutosha ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi (climate change), kusaidia mikakati ya kuboresha kilimo na kukabiliana na njaa hususani kwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania. Wakati Wilaya mbalimbali nchini zikiwa kwenye baa la njaa na ukame, inasikitisha kwa Kiongozi Mkuu wa nchi kushindwa kuona fursa na ulazima wa kuyazungumza kwa uzito masuala haya na Kiongozi huyu wa UN!

Wakati serikali ya Rais Magufuli ikidai inapambana na madawa ya kulevya na wakati madawa hayo yakiwa yanaingizwa nchini kutoka nchi mbalimbali duniani; nilitarajia kumuona Mkuu wetu wa nchi akikutana na Katibu wa UN na kujadili suala hili. Alipaswa kuishawishi UN kuchukua hatua madhubuti ya kuzibana na kudhibiti uzalishaji wa madawa ya kulevya kwani kushamiri kwa biashara hiyo kunahatarisha pia amani na maendeleo ya watu hasa vijana duniani kote. Jitihada za kupambana na madawa ya kulevya hapa nchini zitakuwa ni za "kutwanga maji kwenye kinu" kama hazitaishirikisha vizuri jumuiya ya kimataifa. Ni ajabu kuwa Rais hakuiona fursa adhimu ya kukutana na Katibu wa UN ili kutanua vita dhidi ya madawa ya kulevya kwa kuvitafutia msukumo wa kimataifa.

Kwa uzito wa majukumu yake na ushawishi wa nafasi yake kwa kimataifa, Katibu wa UN ni Kiongozi mwenye hadhi na umuhimu mkubwa sana Duniani. Kwa kawaida huyu ndiye msemaji na muwasilishaji mkuu wa maslahi ya nchi wanachama katika mikutano mikuu ya UN na kwenye vikao vya mabaraza yake likiwemo Baraza la Ulinzi na Usalama na Baraza linalohusika na Maendeleo ya Uchumi na Jamii (Economic and Social Council). Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN Charter) pamoja na majukumu mengine, umempa Katibu UN, fursa ya kuwasilisha jambo lolote kwenye vikao hivyo, ambalo kwa mtazamo wake, linaweza kusaidia katika kudumisha amani na usalama` na` ustawi wa nchi wanachama. Kwa namna yoyote ile, Kiongozi mwenye hadhi na umuhimu mkubwa hivi duniani, alipofunga safari kuitembelea Tanzania, hata kama ni kwa mazungumzo ya dakika chache, haikupaswa apokelewe na kuzungumza na Waziri pekee. Hadhi inayolingana na Kiongozi mwenye dhima ya kidunia, ni Rais wa nchi.

Haikuwa sawa hata kidogo kwa Rais kumkwepa Katibu wa UN na kukimbilia Dodoma kwa kisingizio cha majukumu ya chama, ilihali alishajua mapema juu ya ujio wa Kiongozi huyo;. Na kulikuwa uwezekano wa Rais kutoka Dodoma na kufanya mazungumzo mafupi na Kiongozi huyo na kurudi kwenye majukumu yake ya kawaida, lakini ha kufanya hivyo. Kwanini vikao vya CCM viwe muhimu zaidi kwake kuliko maslahi ya Watanzania wote?

Kwa mara nyingine tena, namtaka Mhe Rais kuyapa umuhimu na ulazima wa kutosha masuala ya kimataifa. Tanzania si kisiwa...hata akusanye kodi nyingi kiasi gani, hata atumbue majipu mengin kiasi gani, bado Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya haraka kama Rais atapuuza ushirikiano wa kimataifa.

Ninaamini hatua ya Rais Magufuli kutokupata msukumo ndani ya nafsi yake wa kukutana na Katibu wa UN, kunatokana na kutokuwa na ajenda yoyote iliyobayana ya kimataifa anayoisimamia. Ni dhahiri kuwa Ikulu ni kitu gani Tanzania inakitafuta au inakisimamia kwenye Jumuiya ya kimataifa. Wangekuwa na ajenda, Rais asingeiacha fursa hiyo ipite hivi hivi.

Kwa mara nyingine tena, namshauri Mhe Rais awatumie vizuri wataalam na wasomi wa nchi hii ili wamwongoze vizuri zaidi jinsi ya kuongoza nchi. Wamsaidie kuipata ajenda ya Tanzania kimataifa na wamshauri jinsi ya kuzitumia vizuri fursa adhimu za kidiplomasia zinazojitokeza kushawishi na` kusukuma maslahi ya nchi kimataifa. Asione tabu kuutekeleza ushauri wangu. Tanzania ni yetu sote!

Imetolewa leo tarehe 11 March, 2017

Peter Simon Msigwa
Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kikanda.
Mtatoka Povu sana. Na bado.
 
Ushauri wa bure kwa Msigwa, 'No research, no right to speak'. Kabla ya kuandika hiyo essay, Msigwa kama Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje, angejaribu walau kupata ABC kuhusu nini kilichomleta Katibu wa UN Kenya na baadae Tanzania. Boss ya UN amekuja kwa sababu ya issue ya Somalia sio na nchi wahusika ni Kenya. Lakini pia amekuja kuonana na Mahiga kwa sababu kabla ya kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Mahiga ndio alikuwa mwakilishi wa UN huko Somalia.

Pili, rais Magufuli ameonana na huyo Boss week chache zilizopita huko Addis Ababa na wakafanya mazungumzo.

Tatu, MDGs na sasa SDGs si mipango ya ndani ya Tanzania, ni makubaliano ya Umoja wa Mataifa. Tanzania haiwezi kuendelea na fikra za panzi kama za Msigwa anayeamini kulamba miguu ya wanaume wengine ili ale.

Mwisho, Msigwa anawaaminisha Watanzania kuwa ni kinyume na itifaki kwa kiongozi wa nje akifika Tanzania bila kuonana na rais. Labda Msigwa akumbushwe, ni mara ngapi Kikwete alitembelea Marekani bila kuonana na Obama wakati wakiwa madarakani?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

Nimesikitishwa na kushangazwa sana na hatua ya Mhe Rais, John Magufuli, kutofanya mazungumzo ya ana kwa ana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Gutteres, aliyepita nchini jana akitokea Ethiopia na Kenya, alikofanya mazungumzo na viongozi wakuu wa nchi hizo.

Hatua ya Rais kumtuma Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Agustino Mahige, kuzungumza na Katibu wa UN huku Rais mwenyewe akiwa yupo nchini, haikuwa sawa kiitifaki wala kimkakati.

Hatua hiyo imezidi kupunguza ushawishi wa Tanzania kwenye jumuiya ya kimataifa kwa kushindwa kuzitumia vizuri fursa za kimataifa zinazojitokeza katika kufanikisha utekelezaji wa sera ya diplomasia ya uchumi na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ifikapo mwaka 2030.

Ujio wa Katibu huyu mpya wa UN aliyeingia madarakani tarehe 1 Januari mwaka huu, ulikuwa ni fursa kubwa na ya kipekee sana kwa Rais, ambaye ndiye Mwanadiplomasia namba moja, kufanya mazungumzo na kupenyeza si tu maslahi na ushauri wa Tanzania kwa UN, bali pia kupenyeza changamoto na maslahi mapana ya jumuiya nzima ya Afrika ya Mashariki ambayo Rais ndiye Mwenyekiti wake. Ni jambo la aibu kwa Rais kuukimbia wajibu wake huu muhimu kwa nchi!

Wakati Rais Kenyata wa Kenya alivunja ratiba zake zote na kuona ulazima wa kufanya mazungumzo na Katibu wa UN; na wakazungumza juu ya kushughulikia matatizo ya njaa, ukame, ugaidi na changamoto za hali mbaya ya usalama hasa kwa nchi jirani za Somalia, Burundi na Sudani; Mwenyekiti Magufuli anayeongoza Jumuiya nzima ya Afrika ya Mashariki, alichagua kwenda 'kujificha' Dodoma! Huu ni ushahidi wa wazi wa Rais kukosa ajenda na kushindwa kuona fursa.

Ikumbukwe kuwa matatizo ya ukame na njaa ambayo Rais Kenyata aliyazungumza na Katibu wa UN, ni sehemu ya matatizo makubwa yanayoisibu Tanzania pia hivi sasa. Matatizo haya pia yams kwenye Malengo ya Maendeleo Endelevu yaliyopitishwa na wakuu wa nchi wanachama wa UN ikiwemo Tanzania. Kwa mujibu wa Malengo hayo, wajibu wa UN, pamoja na mambo mengine, ni kuhamasisha jumuiya ya kimataifa hasa nchi tajiri kuwekeza mikakati na raslimali za kutosha ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi (climate change), kusaidia mikakati ya kuboresha kilimo na kukabiliana na njaa hususani kwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania. Wakati Wilaya mbalimbali nchini zikiwa kwenye baa la njaa na ukame, inasikitisha kwa Kiongozi Mkuu wa nchi kushindwa kuona fursa na ulazima wa kuyazungumza kwa uzito masuala haya na Kiongozi huyu wa UN!

Wakati serikali ya Rais Magufuli ikidai inapambana na madawa ya kulevya na wakati madawa hayo yakiwa yanaingizwa nchini kutoka nchi mbalimbali duniani; nilitarajia kumuona Mkuu wetu wa nchi akikutana na Katibu wa UN na kujadili suala hili. Alipaswa kuishawishi UN kuchukua hatua madhubuti ya kuzibana na kudhibiti uzalishaji wa madawa ya kulevya kwani kushamiri kwa biashara hiyo kunahatarisha pia amani na maendeleo ya watu hasa vijana duniani kote. Jitihada za kupambana na madawa ya kulevya hapa nchini zitakuwa ni za "kutwanga maji kwenye kinu" kama hazitaishirikisha vizuri jumuiya ya kimataifa. Ni ajabu kuwa Rais hakuiona fursa adhimu ya kukutana na Katibu wa UN ili kutanua vita dhidi ya madawa ya kulevya kwa kuvitafutia msukumo wa kimataifa.

Kwa uzito wa majukumu yake na ushawishi wa nafasi yake kwa kimataifa, Katibu wa UN ni Kiongozi mwenye hadhi na umuhimu mkubwa sana Duniani. Kwa kawaida huyu ndiye msemaji na muwasilishaji mkuu wa maslahi ya nchi wanachama katika mikutano mikuu ya UN na kwenye vikao vya mabaraza yake likiwemo Baraza la Ulinzi na Usalama na Baraza linalohusika na Maendeleo ya Uchumi na Jamii (Economic and Social Council). Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN Charter) pamoja na majukumu mengine, umempa Katibu UN, fursa ya kuwasilisha jambo lolote kwenye vikao hivyo, ambalo kwa mtazamo wake, linaweza kusaidia katika kudumisha amani na usalama` na` ustawi wa nchi wanachama. Kwa namna yoyote ile, Kiongozi mwenye hadhi na umuhimu mkubwa hivi duniani, alipofunga safari kuitembelea Tanzania, hata kama ni kwa mazungumzo ya dakika chache, haikupaswa apokelewe na kuzungumza na Waziri pekee. Hadhi inayolingana na Kiongozi mwenye dhima ya kidunia, ni Rais wa nchi.

Haikuwa sawa hata kidogo kwa Rais kumkwepa Katibu wa UN na kukimbilia Dodoma kwa kisingizio cha majukumu ya chama, ilihali alishajua mapema juu ya ujio wa Kiongozi huyo;. Na kulikuwa uwezekano wa Rais kutoka Dodoma na kufanya mazungumzo mafupi na Kiongozi huyo na kurudi kwenye majukumu yake ya kawaida, lakini ha kufanya hivyo. Kwanini vikao vya CCM viwe muhimu zaidi kwake kuliko maslahi ya Watanzania wote?

Kwa mara nyingine tena, namtaka Mhe Rais kuyapa umuhimu na ulazima wa kutosha masuala ya kimataifa. Tanzania si kisiwa...hata akusanye kodi nyingi kiasi gani, hata atumbue majipu mengin kiasi gani, bado Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya haraka kama Rais atapuuza ushirikiano wa kimataifa.

Ninaamini hatua ya Rais Magufuli kutokupata msukumo ndani ya nafsi yake wa kukutana na Katibu wa UN, kunatokana na kutokuwa na ajenda yoyote iliyobayana ya kimataifa anayoisimamia. Ni dhahiri kuwa Ikulu ni kitu gani Tanzania inakitafuta au inakisimamia kwenye Jumuiya ya kimataifa. Wangekuwa na ajenda, Rais asingeiacha fursa hiyo ipite hivi hivi.

Kwa mara nyingine tena, namshauri Mhe Rais awatumie vizuri wataalam na wasomi wa nchi hii ili wamwongoze vizuri zaidi jinsi ya kuongoza nchi. Wamsaidie kuipata ajenda ya Tanzania kimataifa na wamshauri jinsi ya kuzitumia vizuri fursa adhimu za kidiplomasia zinazojitokeza kushawishi na` kusukuma maslahi ya nchi kimataifa. Asione tabu kuutekeleza ushauri wangu. Tanzania ni yetu sote!

Imetolewa leo tarehe 11 March, 2017

Peter Simon Msigwa
Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kikanda.

From Baraka Jf
Naona watu wameibeba hii ya Katibu Mkuu wa UN kama "ajenda" tena,huku namuona Mtatiro akirusha makombora,na huku Mbunge Msigwa akirusha kwa upande wa pili.Vijana nao wamebeba mitandaoni kama ajenda ya kumalizia week kimjadala.

Watu wanatakiwa kuelewa tu,mambo mengine sio lazima tuingize siasa saaaanaa.António Guterres hakuwa na ratiba ya ziara ya Tanzania.Ziara yake ilipangwa kufanyika Somalia ili kuonana na Rais mpya kuhusu baa la njaa na ukame unaolikumba eneo hilo.

Sehemu ya pili ikawa Kenya kukutana na Kenyatta,na hii ni kwa sababu,nchini Kenya kuna kambi kubwa sana ya wakimbizi ya Dadaab, inayokaliwa na Wasomali,ambao sera ya Trump ya katazo la Wasomali kuingia US imewaathiri...Umoja wa Mataifa lazima iwahikikishie Kenya ushirikiano ktk kipindi hiki cha mabadiliko ya sera za uhamiaji nchini Marekani.

Maana hivi karibuni,wakimbizi wengi wenye asili ya Somalia ambao walikuwa wafanyiwe "resettlement" na Shirika la Wahamiaji la Kimataifa (IMO),kutoka kambi ya Dadaab kwenda Marekani wamezuiliwa kutokana na sera mpya ya Marekani,hivyo kuwafanya waendelee kusalia Kenya.

Hapa Tanzania alikuwa tu "On Transit",sababu ndege aliyotumia kusafiri ni SwissAir.Schedule ya SwissAir ni Zurich-Nairobi-Dar-Zurich.Na inapotoka Nairobi kuja Dsm kabla ya kwenda Zurich,ndege huwa inakaa Dsm zaidi ya saa moja na nusu.Sasa mtu mkubwa kama Antonio hawezi kukaa muda wote huo ktk ndege wakati anaweza kushuka na kufanya mazungumzo ya kidiplomasia na viongozi wa Tz kama wadau wa Umoja wa Mataifa.

Aina hii ya ugeni ni ya kawaida sana katika viwanja vya ndege ambayo hutumika kama "connection centre".Ukienda Jomo Kenyata International Airport VIP Lounge utakutana na Marais wengi na viongozi wengi maarufu wakipiga soga na Mawaziri wa Mashauriano ya Kigeni wakati wakiwa "on transit".Bole International Airport pale Addis Ababa VIP-Lounge humkuti Waziri Mkuu wa Ethiopia,lakini toka mawio mpaka machweo ya jua,viongozi wa kimataifa huwa "On Transit" kuelekea katika safari zao tarajiwa.

Hata kwa kumtazama tu,wale waliowahi kupanda SwissAir First Class,watakubaliana kuwa alichokuwa amekivaa Guterres ni zile pyjamas (pajama) za abiria wa daraja la kwanza ambao hupatiwa ndani ya ndege kwa ajili ya kupumzikia kwa safari ndefu.Dressing code tu ya pyjamas za SwissAir zinaashiria Katibu Mkuu alikuwa "On Transit".Ratiba na Tanzania haikuwepo.

Sio wa kwanza Guterres kupita tu bila kuonana na Rais,wapo viongozi wengi hupita kama "On transit" hapa Dsm,na husalimiana na viongozi wa chini wa serikali.Mfano King Mswati,yeye "refueling point" yake huwa ni Dsm,katika safari zake za kutoka Mbabane kwenda ama Abu Dhabi shopping au sehemu nyingine,kituo chake cha Cattering na refueling ni Dsm.Toka enzi za JK mpaka sasa,huwezi kumkuta JK anakimbizana kumpokea Mswati,bali utamkuta Membe kwa minajili ya kidiplomasia akimsubiri King Mswati.

Uwanja wetu wa Dsm hutumika kwa ajili ya "On Transit Passengers" na "On Transfer Passengers"."On Transit Passengers" ni wale abiria ambao hupita uwanjani wakiwa ndani ya ndege bila kushuka na kuchukua abiria wengine au kushusha na kuunganisha na ndege hiyohiyo kuelekea "destination" iliyokusudiwa.Mfano wa ndege zenye safari ya aina hii Julius Nyerere Int'nal Airport ni SwissAir (Zurich-Nairobi-Dsm-Zurich),Ethiopia Airways (Addis Ababa-Dsm-Znz au Addis-Dsm-Hahaya Comoro),Oman Air (Muscat-Znz-Dsm-Muscat),Mauritius Air nk.

Siku kadhaa kiongozi wa Mauritius alipita Dsm na Mauritius Air na kuunganisha kuelekea Addis Ababa kwenye mkutano wa viongozi wa Afrika.Toka Sir Seewoosagur Ramgoolam Port Louis kupitia Julius Nyerere International Airport mpaka Addis Ababa.

Walikutana tu na Rais wetu ndani ya ndege,wakapeana mkono na kila mtu akarudi kwenye presidential Suit room yake ya "First class".

Hii ni dalili ya uwanja wetu kukua na kuanza kuwa moja ya "Connection" kubwa ya sehemu mbalimbali za Afrika na dunia.Sasa tunapokea abiria wote wa kutoka Msumbiji kwenda Dubai kupitia Dsm,abiria wa Mayote na Comoro kwenda Dubai.Abiria wa kutoka Mauritius kuja Afrika ya Mashariki na Mashariki ya kati ya Asia.

Tuanze kuzoea,kuwa sio kila abiria ni "mgeni rasmi" wa nchi,wengine wanakuwa wapita njia.Waziri Mkuu wa Ethiopia angekuwa anashinda Airport kama kila kiongozi anayepita Bole Int'nal Airport atamsubiri kumpokea.

Mkuu wa Mkoa wa Dsm angekuwa anajipanga kila siku kupokea viongozi na mawaziri mkoani kwake,maana ofisi zote kubwa zipo kwake.Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Simiyu ni "mgeni",ila kwenye viunga vya Dsm ni mpita njia tu.

Hence;haikuwa sehemu ya ratiba,ndio maana ni Balozi Mahiga badala ya Rais JPM
 
Mhe. Rais ni aibu kubwa kusamini chama cha ccm badala ya kusamini watanza na matatizo yao iyo fursa ungesaidia kujadili matatizo ya watanzania
 
Back
Top Bottom