Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,902
- 95,188
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mh Msigwa amewashukia na Seif. Peter Msigwa: "Sisi hatuwashawishi Wananchi ili tupate ajira bali tunataka Demokrasia ifanye kazi, sisi tukitaka ubunge tunapata tu hata kupitia CCM ila Sisi tunataka katiba mpya, tume huru na haki ipatikane.
"Maalim Seif na Zitto waliochofanya ni sawa na Mbwa kurudia matapishi yake na kilichowafanya wafanye hivyo ni mambo ma4 Uongo, Unafiki, Uoga na kujipendekeza, si wawe tu CCM. -:~ Peter Msigwa Mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa kupitia Chadema.View attachment 1649744