Peter Msigwa: Sisi hatuwashawishi Wananchi ili tupate ajira bali tunataka Demokrasia ifanye kazi

Sasa Halima mdee vipi amekula mavi ya mbwa? Lissu anakula kuku ulaya Lema amewatelekeza Arusha, Mgombea urais wa Chadema kule Zanzibar aliipigia kampeni ccm na aliahidiwa kama angepata 5% vote angepata Uwaziri Zanzibar., Alimsaliti hata mbunge wake wa Chadema aliyesimamishwa kwenye jimbo lake anaitwa Lukman akampigia kampeni Mhe. Juma Hamad Omar ambaye alikuwa CUF zamani baadae akaja akaingia CCM huyu ni Ndugu na Makamo mwenyekiti wa Chadema Kule Pemba Zanzibar.

Na kwa bahati mbaya sana huyu Said Iissa Moh'd bado yupo kama senior leader wa Chadema baada ya Mbowe hukaa yeye kwenye meza za itifaki za chama cha Chadema. Mimi namshangaa sana Msigwa na Lissu hawana muda kuongelea migogoro ndani ya chama chao ya usaliti wanaongelea ACT chama ambacho kina mikakati yake hakiwahusu kabisa.

Na Maalim Seif amesema wazi Tundu Lissu anatumika kwa kiasi kikubwa kuhujumu upinzani Tanzania huko ulaya aliko., alisema hawezi kuja Tanzania kwa sababu waliompiga risasi hawajakamatwa lakini kwa sababu shida ilikuwa ni urais alijitosa akaja lakini jengine la ajabu bada uchaguzi amerudia kwenye hoja yake ya kuuliwa karudi zake belgium. maswali mengi tunajiuliza shida yake ni urais ilikuwa au kweli ana moyo na watanzania? lakini Lema sasa yuko canada wala hana mpang wa kurud tena.

Mimi nadhan Chadema kwanza waangalie boriti kwenye macho yao kuliko kibanz kwenye jicho la Maalim Seif.
Unaonaje ukajinyonga kabisa maana naona una mihasira sana juu ya cdm
 
Kwa hiyo yeye Msigwa ndiye mkweli? Nini kilimfanya amuombe radhi Kinana?

Kama nyinyi vipaumbele vyenu ni hivyo na ACT nao wanavyo vya kwao sasa mnawashwa nini na maamuzi na chama kingine?

Wao kuunda SUK kunawaathiri nini nyinyi kwenye vipaumbele vyenu?

Komaeni na CCM hayo ya ACT waachieni wenyewe huko Zanzibar kwenyewe hamjawahi kuwa hata na "sheha"
Ushauri wako umepokelewa
 
Maamuzi ya ACT yamefikiwa kwwnye chombo halali, yaheshimiwe hata kama hayapendezi wengine, ndio demokrasia yenyewe hiyo.
Upo sahihi kabisa,na kwa mh Msigwa kutoa mawazo yake juu ya analo liwaza isiwe nongwa maana ni haki yake kikatiba
 
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mh Msigwa amewashukia na Seif.
Peter Msigwa: "Sisi hatuwashawishi Wananchi ili tupate ajira bali tunataka Demokrasia ifanye kazi, Sisi tukitaka ubunge tunapata tu hata kupitia CCM ila Sisi tunataka katiba mpya, tume huru na haki ipatikane.

"Maalim Seif na Zitto waliochofanya ni sawa na Mbwa kurudia matapjshi yake na kilichowafanya wafanye hivo ni mambo ma4 Uongo, Unafiki, Uoga na kujipendekeza, si wawe tu CCM. -:~ Peter Msigwa Mbunge wa zamani wa jimbo la iringa kupitia Chadema.View attachment 1649744
Zito kachukua dola milion 5 wamegawana na maalum seif na baadhi ya viongozi wa juu ACT ndiyo maana Zito kawa na kiburi cha kuwatukana chadema na kujiona mjanja
 
Kwa hiyo yeye Msigwa ndiye mkweli? Nini kilimfanya amuombe radhi Kinana?

Kama nyinyi vipaumbele vyenu ni hivyo na ACT nao wanavyo vya kwao sasa mnawashwa nini na maamuzi na chama kingine?

Wao kuunda SUK kunawaathiri nini nyinyi kwenye vipaumbele vyenu?

Komaeni na CCM hayo ya ACT waachieni wenyewe huko Zanzibar kwenyewe hamjawahi kuwa hata na "sheha"
Vipaumbele vya Zito ni kupiga pesa za CCM kwa njia haramu za kishetani
 
Upo sahihi kabisa,na kwa mh Msigwa kutoa mawazo yake juu ya analo liwaza isiwe nongwa maana ni haki yake kikatiba
Zito kaokota dola milion 5 toka CCM kaamua kujitoa fahamu zote kawaona wapinzani wengine hawana maana na pia hajali roho za wazanzibar waliokufa na kujeruhiwa wakati wakipigania chama chake
 
Sasa Zito anafanya biashara ya Ulanguzi wa kisiasa kaamua kutafuna pesa za CCM kwa njia haramu za kishetani kisha kujitoa fahamu zote kuongea ujinga ujinga mtupu
 
Nchi ya Tanzagiza.
Siasa sasa ni biashara haramu kuliko dawa za kulevya, chukulia mfano Zito kapewa dola milion 5 hazijalipiwa kodi wala nini, ni kipato haramu kwa njia haramu za kishetani
 
Kwa hiyo yeye Msigwa ndiye mkweli? Nini kilimfanya amuombe radhi Kinana?

Kama nyinyi vipaumbele vyenu ni hivyo na ACT nao wanavyo vya kwao sasa mnawashwa nini na maamuzi na chama kingine?

Wao kuunda SUK kunawaathiri nini nyinyi kwenye vipaumbele vyenu?

Komaeni na CCM hayo ya ACT waachieni wenyewe huko Zanzibar kwenyewe hamjawahi kuwa hata na "sheha"
Kinachonishangaza watanganyika ndio wanakataa zaidi ACT kujiunga na serikali ya Zanzibar kuliko hata wazanzibar wenyewe.Huku bara hata kuandamana tu ili watoke damu kidogo walishindwa wanapigia kelele zaidi ya kisiwani.Watz kwa unafiki hatujambo.
 
Wamejipanga kushambulia kwenye mitandao ya jamii, lakini umesema kweli kabisa, tunahita haki usawa kuheshimu sheria na katiba na kuto kuiba kura, hata kama vyote hamtaki basi angalau msiibe kura, maana mtaondoka mapema na mabadiliko yatafanyika!
 
Wasipoelewa hii comment basi tena.
Hapo hakuna cha kuelewa kwani Lowasa alipohamia chadema alianika ukweli kuwa Richmond ni mali halali ya kikwete ndipo chadema wakampokea ni tofauti na hili Dili la dola milion 5 la Zito kabwe na maalum seif ambapo wazanzibar wamekufa wamejeruhiwa na wengine kusota jela, lakini wazee wamesunda mapesa kwa njia haramu wamewasahau na kuanza kujimwambafy kijinga jinga pasipo kutafakari kabla
 
Watu wengi sana wangekuwa kwenye position ya Maalim Seif au Zitto bila shaka wangefanya hicho hicho walichokifanya hao.

Sijui Msigwa na wenzie watatoka vipi siku CHADEMA nao wakiamua kukubali ‘maridhiano’ na kubariki wabunge 19 waingie bungeni. Huu sio muda wa kushambuliana bali kutafakari na kudraw some key lessons kutoka kwenye maamuzi ya watu wengine
 
Kinachonishangaza watanganyika ndio wanakataa zaidi ACT kujiunga na serikali ya Zanzibar kuliko hata wazanzibar wenyewe.Huku bara hata kuandamana tu ili watoke damu kidogo walishindwa wanapigia kelele zaidi ya kisiwani.Watz kwa unafiki hatujambo.
Maandamano tarehe 2 lakini tarehe 1 siku moja kabla Polisiccm wakawakamata viongozi wa chadema na kuzuia maandamano kwa vitisho vingi, iweje Hawa kusubiria tarehe 2 ? nani muoga wa maandamano zaidi ya CCM na Polisiccm?
 
Watu wengi sana wangekuwa kwenye position ya Maalim Seif au Zitto bila shaka wangefanya hicho hicho walichokifanya hao.

Sijui Msigwa na wenzie watatoka vipi siku CHADEMA nao wakiamua kukubali ‘maridhiano’ na kubariki wabunge 19 waingie bungeni. Huu sio muda wa kushambuliana bali kutafakari na kudraw some key lessons kutoka kwenye maamuzi ya watu wengine
Tatizo Zito yeye kafanya biashara haramu za kishetani kwa kupokea mshiko toka CCM kuwatelekeza wazanzibar waliokamatwa kujeruhiwa na wengine kufa wakipigania ACT
 
Zito na maalum seif wamewafanya vibarua wapenzi wa ACT kazi yao ni kulima kupalilia kuvuna sasa wao wanakula matunda kiulaini kivulini
 
Tatizo Zito yeye kafanya biashara haramu za kishetani kwa kupokea mshiko toka CCM kuwatelekeza wazanzibar waliokamatwa kujeruhiwa na wengine kufa wakipigania ACT
Mshiko apokee Zitto ili akawarubuni Wapemba? Wewe wapemba huwajui vizuri. Hii kitu imeoriginate hukohuko Zanzibar na Zitto yeye kakamatia fursa tu along the way
 
Back
Top Bottom