Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Hii dhana ya Rais kuwandikia barua za pole wakuu wa mikoa, yanapotokea maafa,, ni kiini macho tu , kwani ni sawa na kujiandikia mwenyewe, ingeleta maana kama angeandikiwa meya / Mwenyekiti wa halmashauri au mbunge husika wa eneo , Mkuu wa mkoa Hana direct touch Na wananchi wa eneo husika kwani ameteuliwa tu!na nimwakilishi wa Rais!