Peter Msigwa: Bunge limepoteza Maana! Niko tayari kufukuzwa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kama mbunge niliyewakilisha wenzangu na Mwenyekiti Mbowe kumpeleka Lissu Nairobi, hali aliyokuwa nayo , mwili unasisimuka kuona watu wanadhihaki na kukosa ubinadamu !tuogope kusema ukweli eti tutafukuzwa! Niko tayari kufukuzwa! Bunge limepoteza maana!

Kwani kujiondoa hawezi mpaka atoe mapovu ya kitoto.

Bunge ukiona limejaa wajinga ajiondoe sio lazima upate kiki kutoka kwa wajinga.
 
Viongozi wengi wa serikali hii wamepandikizwa kiburi cha kupenda kuabudiwa! Huu ndiyo urithi tutakaochiwa na utawala huu!!
 
Tanzania tuna serikali tu, hatuna bunge. Bunge lilipaswa kuwakilisha matatizo ya wananchi wa kila jimbo. Badala yake, bunge linaelekea kuwa na hadhi kama ya wizara au ka-taasisi ka serikali kanapoweza kupokea maagizo na kuyafanyia kazi kutoka kwa wakubwa serikalini.

Hili Bunge la awamu ya tano limekuwa bunge la hovyo kabisa kuwahi kutokea hapa nchini Tanzania. Bunge hovyo kabisa. Bunge la hovyo.
 
Back
Top Bottom