Uchaguzi 2020 Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,902
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

Mataga mmebaki kama kuku aliyekatwa kichwa!Mmebaki kila mnalookoteza mnakimbia kuandika JF!
Home of GT kweli unatuletea porojo kama hizi?Shame!
Mkikosa cha kuandika kheri mkae kimya!Hamjamuona mke wa JPM akimuombea kura mumewe?Cha ajabu nini hapo?
 
Peter Msigwa akosa watu wa kumfanyia kampeni na kumnadi amuomba binti yake wa Kwanza amnadi kwenye mkutano wa Kampeni Iringa aliouandaa

Hapa akimwita binti yake kuwa njoo uninadi kwa wapiga kura

Yehodaya,
Umepotea, umeacha kumkampenia mgombea wa chama chako, umeacha kupinga hoja za CHADEMA, umeacha kumkosoa TAL, SASA unafanyia CHADEMA campaign! Angalia maboss zako wasione huu uzi, utaondolewa kwenye payroll!!
 
Back
Top Bottom