Peter Msechu, nimekubali wewe unao uwezo wa kuziba pengo la John Komba

Msechu ametufaraji sana na ameitendea haki sana Cover!
 
Komba ni Komba tu. Hakuna wa kuvaa viatu vyake. Sikiliza tungo zake za majonzi. Kifo cha Samora na kifo cha Nyerere.
 
Huyu Jamaa Salute Kwake,Nimejipa Mda Kuzisikiliza Tungo Za Wasanii Karibia Wote Tz na Nje ya Tz Waliotunga Mijisongi ya Kutufariji,Ila Ngoma Ya Msechu Iko na Ladha Ya Kipekee.
Kongole Sana Kwake,Anaweza,Ila Kwa Habari ya Kpt Komba,Kpt Komba Sio Level Ya Msechu Kabisaaaaa,Huyu Kijana Ni Level Ingine Kabisa Tanzania And Nje Ya Mipaka Ya Tanzania.
 
Msechu yawezekana akawa na albamu ya viongozi wote ipo ndani, anasubiria tu mtu aanguke aachie kichupa .. maana kwa mda mfupi kuachia ngoma tamu kiasi kile sio mchezo, ila pia kuna ngoma ya ibraah - bado, na yenyewe ni ..
 
Jamaa mpaka kesho atakuwa na kazi nyingine inayomhusu mzee wetu wa Mkuranga
 
Back
Top Bottom