Peter Msechu I doubt the originality of your song (hasira hasara)!

hata havina uhusiano jamani..tatizo wabongo are working very hard kuwamaliza wasanii wao..
 
Siku zote binadamu tunatafuta wapi wenzetu wamekosea, Plse let alone this guy to shine!
 
Ninacho jua Msechu aliimba huu wimbo baada ya kutoka BSS kabla hata hajaenda TPF. Hata hivyo naona bado havihusiani. Msapoti kijana akue katika fani yake.
 
Nani huyu tena anaota ndoto za mchanaaaaaaa? Msechu yupo juu wacheni unafiki....wewe ukiona mtanzania anakubalika kwa wakenya ...huyo mpe tano
 
kwahiyo wakenya ndio reference point yako?
 
sidhani kama hii ndo point, point ni kwamba msechu anaweza

aliongea scharles eti ukakopi tarehe alojoin na number of posts na kwamba hajawa thanked kwani vile vilikua na uhusiano gani na mawazo alotoa? Umechemka CBZ kubali yaishe
 
Ok, nimekusoma! Kama wewe kweli ni msikilizaji wa muziki, nenda kasikilize tena biti ya msechu na kidumu...utaelewa ninazungumzia nini :)
 
Mkuu sitaki kukuweka ktk kundi la watu wanaosubiri mwezao anapojitahidi kutoka wao wanatumia muda na akili nyingi kuchunguza makosa yao badala kuwapa sapoti.
Nadhani imekuathiri kwakuwa msechu alisema anamuadimire kwa sana kidumu na jaji iyan kumponda msechu kuwa anafanya kama kidumu hivyo aache.
By the way kwa ufahamu wangu msechu alitunga wimbo beat likatengenezwa kwa mj kisha mpango mzima
 
Nilishtuka sana nilipomuona Msechu akifanya mazoezi ya Hasira Hasara kwani nilihisi kama waratibu wangeamua kufuata sheria na kanuni basi Msechu asingeruhusiwa kuimba huo wimbo wake kwa sababu ni wimbo uliotungwa nje ya jumba la Tpf na ulishatolewa.Tukubali kuwa hapo Msechu alifunga goli la offside.wakati wenzake wanaumiza vichwa kuja na wazo la wimbo wakiwa ndani ya Jumba,Msechu alibadili kidogo to chorus ika sound better,hakuna cha chuki wala uzalendo hapa ukweli upo pale pale kwamba alifunga goli la offside.
 
umemaliza mkuu!acha mimi niwe wa kwanza kukugongea thanks!uzuri wangu mimi hata nikipenda chongo ntaita chongo tu sitoita kengeza hata siku moja!hapo mwanamuziki hatuna na kama yupo basi mwanamuziki wa mbio fupi!
 
melod sio shida kwa wasanii wapo wengi wanao copy melord ni vigumu hapa bongo kutoa wimbo usio na melod kutoka nchi au sehemu tofauti na duniani,so msechu ni mkali kama ulimfuatilia toka bss alipoambiwa aimbe wimbo kutoka kundi la wanaume aliimba mtoto idd ya j nature............ilikuwa ni bonge ya rmx ya beate ya maino verse za juma nature baathi na verse zake ilikuwa ni balaa ata we unakubali kamasio pasko wabss
 
Nilishtuka sana nilipomuona Msechu akifanya mazoezi ya Hasira Hasara kwani nilihisi kama waratibu wangeamua kufuata sheria na kanuni basi Msechu asingeruhusiwa kuimba huo wimbo wake kwa sababu ni wimbo uliotungwa nje ya jumba la Tpf na ulishatolewa.Tukubali kuwa hapo Msechu alifunga goli la offside.wakati wenzake wanaumiza vichwa kuja na wazo la wimbo wakiwa ndani ya Jumba,Msechu alibadili kidogo to chorus ika sound better,hakuna cha chuki wala uzalendo hapa ukweli upo pale pale kwamba alifunga goli la offside.

Hebu tuwekee hizo sheria na kanuni zinazo mkataza mshiriki wa TPF kutunga wimbo nje ya chuo cha TPF! ule wimbo msechu ni wake aliutunga na hakukuwa na haja ya yeye kuhangaika kutafuta mashairi mengine! Wabongo bana sijui kwa nini sikuzote hatutaki kijivunia cha kwetu! kuna msemo mmjoa aliwahi kusema mama Theresa wa Calcuta nanukuu" While you are struggling to build something, other people are struggling to destroy it, keep on building anyway. Because at the end of the day it will be between you and your God". Msechu keep on composing don't mind the hatred they are always there to destroy you!
 
msechu mbona unajiambia mwenyewe?wewe ulisharecord na nyimbo yako ikawa hewani na yale mashindano ni ya kusaka kipaji kipya na si mwanamuziki ambaye tayari amesharecord.........basi mwakani tunampelekea AY
 
sio/ni mshindano ya kutafuta kipaji cha mtu ambaye hajatoka kimziki,wengi tu wamesharekodi pale,,,,,na hawakufanikiwa kutoka na yeye ni mmoja wao
 
shanature umepotoka katika hilo....among rules za TPF ni mshiriki awe hajawahi kurelease ngoma yeyote redioni suala la huyu dogo hata HAMMY B akiwa kama judge alitupiwa lawama kumpitisha msechu wakati ngoma yake ilikuwa imetoka redioni na luningani sasa unavyosema ni mashindano mtu ambaye hajatoka kimziki nashindwa kukuelewa unamaanisha awe amerelease nyimb lakini haijabamba au vipi?kama hivyo ndo unamaanisha pia haupo sahihi kwani mwanamuziki kama OMARY MKALI ana nyimbo kama mia lakini hamana hata moja iliyobamba!je anastahili kushiriki TPF?
 
Tusimsakame sana Msechu, kwani haiwezekani Kidumu ndio akawa ameiga melody ya wimbo wa Msechu?.,cha muhimu hapa ni kuwa na uhakika ni wimbo wa nani ulitangulua kutoka, ninavyojua mimi Msechu ndio alitangulia kutoa wimbo wake baada tu ya kutoka BSS mwaka jana na wimbo wa Kidumu umetoka mwaka huu.,tuwasapoti vijana jamani tuache kuwakatisha tamaa maana labda mziki ndio wanachoweza otherwise wataingia mitaani na kuanza kukwapua.
 
Back
Top Bottom