job true true
kwahiyo wakenya ndio reference point yako?
Ok, nimekusoma! Kama wewe kweli ni msikilizaji wa muziki, nenda kasikilize tena biti ya msechu na kidumu...utaelewa ninazungumzia ninisidhani kama hii ndo point, point ni kwamba msechu anaweza
aliongea scharles eti ukakopi tarehe alojoin na number of posts na kwamba hajawa thanked kwani vile vilikua na uhusiano gani na mawazo alotoa? Umechemka CBZ kubali yaishe
Ok, nimekusoma! Kama wewe kweli ni msikilizaji wa muziki, nenda kasikilize tena biti ya msechu na kidumu...utaelewa ninazungumzia nini
Nilishtuka sana nilipomuona Msechu akifanya mazoezi ya Hasira Hasara kwani nilihisi kama waratibu wangeamua kufuata sheria na kanuni basi Msechu asingeruhusiwa kuimba huo wimbo wake kwa sababu ni wimbo uliotungwa nje ya jumba la Tpf na ulishatolewa.Tukubali kuwa hapo Msechu alifunga goli la offside.wakati wenzake wanaumiza vichwa kuja na wazo la wimbo wakiwa ndani ya Jumba,Msechu alibadili kidogo to chorus ika sound better,hakuna cha chuki wala uzalendo hapa ukweli upo pale pale kwamba alifunga goli la offside.

Hebu tuwekee hizo sheria na kanuni zinazo mkataza mshiriki wa TPF kutunga wimbo nje ya chuo cha TPF! ule wimbo msechu ni wake aliutunga na hakukuwa na haja ya yeye kuhangaika kutafuta mashairi mengine! Wabongo bana sijui kwa nini sikuzote hatutaki kijivunia cha kwetu! kuna msemo mmjoa aliwahi kusema mama Theresa wa Calcuta nanukuu" While you are struggling to build something, other people are struggling to destroy it, keep on building anyway. Because at the end of the day it will be between you and your God". Msechu keep on composing don't mind the hatred they are always there to destroy you!
sio/ni mshindano ya kutafuta kipaji cha mtu ambaye hajatoka kimziki,wengi tu wamesharekodi pale,,,,,na hawakufanikiwa kutoka na yeye ni mmoja waomsechu mbona unajiambia mwenyewe?wewe ulisharecord na nyimbo yako ikawa hewani na yale mashindano ni ya kusaka kipaji kipya na si mwanamuziki ambaye tayari amesharecord.........basi mwakani tunampelekea AY
sio/ni mshindano ya kutafuta kipaji cha mtu ambaye hajatoka kimziki,wengi tu wamesharekodi pale,,,,,na hawakufanikiwa kutoka na yeye ni mmoja wao