Peter Msechu I doubt the originality of your song (hasira hasara)!

Mkuu sitaki kukuweka ktk kundi la watu wanaosubiri mwezao anapojitahidi kutoka wao wanatumia muda na akili nyingi kuchunguza makosa yao badala kuwapa sapoti.
Nadhani imekuathiri kwakuwa msechu alisema anamuadimire kwa sana kidumu na jaji iyan kumponda msechu kuwa anafanya kama kidumu hivyo aache.
By the way kwa ufahamu wangu msechu alitunga wimbo beat likatengenezwa kwa mj kisha mpango mzima
oh, naona wewe ni mbishi! Nikupe issue nyingine, sikiliza wimbo wa TID nyota yako ndio utanielewa nina maanisha nini. wasanii wabongo ni wizi mtupu!!

TID NAE NI MWIZI WA KAZI ZA WATU?
 
kama wake au si wake tatizo nini????????
mbongo kafanya vizuri na haikuwa lazima uwe na wimbo wako mwenyewe na uchukue wimbo uchakachue
 
Kuhusu kuchakachua wimbo hilo sina uhakika ila namuona huyu jamaa kama mropokaji sana sijui hana washauri! maana angekuwa nao wangemwambia nini cha kujibu na kutojibu pale anapozungumza na vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom