Peter Msechu aibuka mshindi wa pili Tusker Project Fame

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
tuskerpix.jpg

Project 4 eventual winner doing one what he does best............singing...........


Davis Hillary Ntare
Davis.jpg
spacer.gif
NAME: Davis Hillary Ntare NICKNAME: Mariachi, Soundtrack
DATE OF BIRTH: 22nd May 1985
HOMETOWN: Kampala
Davis is a multi-talented individual with an interest in music production and performance, abstract art, photography and song writing. Soundtrack is the consummate altruist and uses his art and Music to reach out to people in a positive way. He has a diverse musical background, including playing the trumpet in a brass band back home, doing background vocals for Maurice Kirya’s shows and singing in the school and church choirs.
What is your favourite genre of music?
I like to listen to all genres although I lean towards reggae, Soul, Afro fusion, Jazz and Neo Soul.
What will you miss the most going into the Academy?
I will miss my family and most especially my mom because she inspires me to be more successful.
What will you miss the least from back home?
I will not miss the amount of stress that my work as an artist, Music teacher and producer entails.



Peter J Msechu
peter.jpg
spacer.gif
NAME: Peter J Msechu

DATE OF BIRTH: 18th March 1988

HOMETOWN: Kigoma

“Bonge”, as he is known back home, started his musical career at the tender age of 7 years singing in church with his father. At the age of 15, he was able to learn how to play the keyboard and learnt to play the guitar at age 20. Peter has a larger than life personality and loves to make people happy.

What is your favourite genre of music?

I like listening to ballads-music that tells a story. I admire the Kenyan afro-fusion artiste, Kidum because of his vocal range and band organization.

What will you miss the most?

I will miss my homies and family at home throughout this whole experience.

What will you miss the least?

My monotonous daily routine as he goes into the Academy.



Tusker project fame has claimed another Tanzanian victim out of the regional tournament pitting an array of musical talents....

She failed to attract enough votes ensuing after she was clobbered by "gaga" - a Kenyan by a single vote ..........from fellow contestants who were given the last opportunity to save one of their own....

This is a second stab for Leah who previous to that took part in another contest locally alias Bongo Talent Search....

On behalf of fellow Tanzanians may I welcome her home after a hard fought verdict....you are a true winner in our eyes..........but one thing is crystal clear........our representatives there have been exposed for lack of musical talent and we have to mull over on the dints we pick these contestants.........very weak vocal capabilities..........
 
Last edited by a moderator:
siku zote watz huwa wanachapishwa mwendo fasta......hili tulilitegemea......majirani zetu bana sijui kwa nini wanafanya hivi
 
i mic the show today, nimehadithiwa tuu, na nashukuru kwamba nimeimiss maana hasira nilizozipata kwa kuhadithiwa sipati picha ingekuwaje kwa kuona live!!!
 
Mtz hawezi furukuta mbele ya Mkenya na ata sijui why twaungana nao watu ambao washawai sema Mt Klm UKO KENYA?
Ila ninapofurai ni kuwa BBA za kule SA huwa tunawapeleka puta mno mpaka wanashangaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hii Tusker project fame ni kama ile Zain challenge waendeshaji wote Wakenya na wanapendelea sana afadhali tuache kushiriki.
 
Hii Tusker project fame ni kama ile Zain challenge waendeshaji wote Wakenya na wanapendelea sana afadhali tuache kushiriki.
Sijui kama kufanya vibaya kwetu ni majaji wa Kenya kwani hiyo taarifa siyo ya kweli hata chembe ...............Majaji ni yupo mganda mmoja mtanzania mmoja na mkenya mmoja...................huu siyo utetezi hata kidogo na kuondoka kwenye mashindano hayo kuna haki kubwa sana angalia mshindi aliyepita wala hakuwa Mkenya ila alikuwa Mnyarwanda.................tusitafute viisingizio wajamani...........................ukweli ni kuwa tunaowatuma hawana vipaji tu vya kuimba...................Waalimu wana nafasi ya kumnusuru mmoja, watazamaji mmoja na wenyewe washiriki wana nafasi ya kumnusuru mmoja wao.............majaji kazi yao ni kuwateua washiriki watatu ambao wakupigiwa kura za kuondolewa lakini hawashiriki kwenye kura hizo..........sasa sijui utawalaumu vipi majaji hao ambao wanatoka nchi tatu tofauti na mtanzania pia ni jaji..................

Mshindi wa kwanza alikuwa ni mkenya, wa pili mganda, wa tatu alikuwa mnyarwanda katika TUSKER PROJECT FAME.....na ikumbukwe mnyarwanda alishinda huku hakuna jaji wa kutoka Rwanda.................Hivyo suala la watanzania kuonewa ni la kuhisi tu kwani linapingana na ushahidi wa jinsi mashindano hayo yanavyoendeshwa
 
Wakenya huwa wanabebana mno, Me mwaka huu nimeacha kufatilia coz itaniumiza moyo tu, Si mnakumbuka walivyo mbebabeba Ng'ang'a LiTo last year, Kweli watz watu wa kuchakachuliwa kwenye kila secta
 
Wabongo wanaoendaga huko ukweli ni kwamba hawana talent kivile. JUST SAYING...
 
Pole Leah. fanya zoezi zaidi kwa ajili ya opportunity nyingine zitakazotokea huko mbele.
 
mashindano ya Tusker project Fame yanaendelea huko Nairobi.........na mtanzania mwingine kaswekwa probation au lupango kutokana na kiwango kisichoridhisha.................................Msechu pekee kutoka Tanzania ndiye hajawekwa lupango na mashabiki wa Nairobi, Waalimu wake na wanahaki bado wanampenda........................................hivyo tusije tukajitetea kuwa tunaonewa ndani ya shindano hilo...................
 
performance yake leo haikuwa nzuri, na siyo yeye pekee, most of them leo sijui ilikuwaje!!!
 
halafu wote walikuwa served na faculty & contestant leo wamefanya vibaya! i know hata angebaki asingefika mwisho lkn angelearn zaidi
 
Msechu alishindwa ,Leah alishindwa na still wamepelekwa huko Tuster project fame, inamaana TZ hakunatalent zingine zaidi ya hizo tuu? TZ kubebana kwingi.

Mfano huyu Leah alishinda Bongo ster search , akapelekwa tena Pop Idol akashindwa , sasa je , kushindwa tena safari hii pia kachakachuliwa?
 
Hatuwezi Hatuwezi....Angalia Mpaka mwisho uone...mtanange wa mshindi...Huwa ni really mshindi...Hatuko serious kwa mambo mengi....Zain Challenge dah...Uko ndio kabisaa....English ni balaa....watu hawasomi hawaangaliii news wala hawana mwamko na hilo....wanafaunzi wengi wanasome mtihani...starehe mbele masomo nyuma....
 
Hii Tusker project fame ni kama ile Zain challenge waendeshaji wote Wakenya na wanapendelea sana afadhali tuache kushiriki.

hakuna kupendelea mitoto yetu ya chuo haina akili....kutwa inawaza kuangalia MAMUSHKA
 
unaweza kuwa mkali miongoni mwa watu wasiokuwa na vipaji lakini ukiweka na wakali wenzako ukashindwa kufurukutana hii ndo imejionyesha TPF pamoja na kukiuka vigezo kwa kupeleka watu ambao wameshawahi kurecord au kushiriki mashindano ya namna hiyo hapa nyumbani na kufika mbali lakini hamna cha ajabu wanachoonyesha....kama suala ni wakenya kupendeleana mbona HEMED SULEIMAN japo si mkali kihivyo lakini alifika mbali.je yeye ni mkenya au bongo alikuwa maarfufu kabla hajashiriki TPF?ni wakati wa kupeleka machipukizi wenye vipaji na ambao hawajawahi kurecord naamini hasira yao ya kutoka kimziki itawafikisha mbali na tuache kupeleka wazee huu uoga siku tutampeleka mtu kama BANANA ZORO au BITCHUKA.....TPF is mo than BSS
 
Ila jamani kwa leah kusema ukweli aliyemwangusha ni jaji Hermes sijui yule jaji mtanzania. Sikupenda kabisa uamuzi wake alimwonea maana nilijaribu kulinganisha na alivyoimba gabiro, leah alifanya vizuri ila basi kuna upendeleo.

Kingine jamani Watanzania tupige kura kwa wingi kuwaokoa wenzetu kama Kenya na Rwanda wanvyofanya kampeni ya kuwaokoa watu wao kampeni zinaanzia kwenye simu message kila kona so inakuwa rahisi kupata uwingi wa kura. Tusibaki kulalamika wakati wanaopiga kura ni Wakenya na Wanyarwanda hawawezi kutu- favor wakati na wao pia wana watu wao.

Ili kumwokoa Aneth; ambaye naye yuko kwenye probation wiki hii andika Tusker 11 tuma kwenda namba zifuatazo: Hii jamani iwe ni kampeni kila atakayesoma thread hii muhimize na mwenzio nyumbani kutuma message kwa washiriki wetu kama inavyoonekana hapa chini tuhakikishe mwaka huu ushindi ubaki kwetu, tuache kuwaponda, bali tuwasapoti. Wasisimame wao kama wao bali wasimame na nyuma yao kuwe na Watanzania wanaowasapoti.

Country
Short code
SMS Cost
Kenya
8737
10 KSH


Rwanda
7333
65 RWF


Tanzania
15522
250 TSH


Uganda
7197
220 USH
 
Tuache kulalamika piga kura kumwokoa Aneth. Ikiwa watakao kuwa wanapiga kura ni Wakenya, Uganda na Wanyarwanda tusitegemee Tanzania kushinda kwa sababu Hwawezi kutu-favor wakati na wao wanawatu wao. Kwa upande wangu naona tuliowapeka safari hii wanauwezo kuliko waliopita. Tujitahidi tu kuwapigia kura.

Ili kumwokoa Aneth; andika Tusker 11 tuma kwenda namba zifuatazo:
Country
Short code
SMS Cost
Kenya
8737
10 KSH


Rwanda
7333
65 RWF


Tanzania
15522
250 TSH


Uganda
7197
220 USH
 
Ukweli ni kuwa watz hatuko serious kwenye ishu zetu full kuchakachua kila kitu, nikianza na muziki sisi watz ndio wakwanza kuimba na hata kuita bongoflava lakini angalia kenya na uganda wamakuja juu sana na hata ukiona videos zao ni nzuri sana, kuhusu mashindano kama TPF sisi watz wengi viwango vyao duni sana tu kwa hio sishangai kuona wakitolewa mapema kuliko wakenya na waganga, chukua mafano BSS ya Madam Rita sijaona kipaji cha kushindana na wakenya au waganda ni michosho mbya, so sielewi sisi twaweza nini labda iwepo michezo ya ngono, majungu na fitina hio natumai tunaweza kuliko wakenya au waganda, hatuwezi ngumi, mbio, mpira na michezo mingine ila kwa kusema tu 'ooooh tutaleta medali, oooh tumejiandaa tunaenda kushindana sio kushinda" Tuache longo longo tufanye kazi wajameni, kesho kutwa inaanza challenge utaona tutakavyo bugizwa magoli kwenye ardhi yetu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom