Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
1. It does not matter kama Kisumo alisema au hakusema, alichojibu Mama Kilango, na ambacho tumekiunga mkono, na bado tunakiungamkono kwa 100% ni hoja ya majibu kutoka kwa Mama Kilango, bado ni appropriate kwa hoja zilizotolewa kwenye hilo gazeti, kwa sababu somebody said something, haiwezekani kuwa haya maneno yametungwa na waandishi tu kuamini hayo ni mufilisi mkubwa sana wa uwezo wa kufikiri na kupambanua ishus hasa kwa yule mwenye kuamini hayo,
Una ushahidi gani kwamba "haiwezekani kuwa haya maneno yametungwa na waandishi" especially kama wewe na huyu mama wote mnaonyesha kutokuwa na uhakika kwamba huyu Kisumo kasema haya?
2. Maneno kwamba eti Mama kilango ni msanii, ninayaita ni matusi ya nguoni na hasa mrushaji maneno hayo anapokuwa hana hoja wala sababu maalum ya kimsingi, na huwa ninasema kuwa kuyajibu exactly kama yalivyo ni fair game, hivi mkuu wewe na Mama Kilango, a real msanii ni nani? Hrbu jiangalie kwenye kiooo kabla hujajibu hili swali, maana it is all over you yaani usanii, hivi huwa huoni hata aibu?
Kilango ni msanii tu anayecheza na sympathy za watu pamoja na ku ride public opinion.Hana conviction ya kweli, siku moja anajifanya ana uchungu sana kiasi cha kum blast hata mume wake, siku nyingine anakuwa Kisumo apologist.Huyu Mama ni bonge la opportunist na zaidi ya yote ni opportunist asiyejua calculation, bonge la birdbrain, na kama birdbrain yeyote atakuwa exposed very soon kama wenzake kina Mrema and them waliotaka sifa kwa kutumia matatizo ya watu.Yes, I said it.
Kazi kubadili rangi tu, kama wewe sio msanii kwa nini usisimame kwa rangi moja, juzi nimekuwekea kitanzi kuwa ninakuheshimu sana kwa rangi hii, here you are umeupanda mkenge bila hata kujua, toka niseme vile sasa umesimamia hapo bila kujua kuwa ulikuwa mtego tu, kabla hujaita viongozi wako wa taifa, waliochangulkiwa na wananchi kuwawakilisha bungeni wasanii bila ya sababu wala hoja, jiangalie kwenye kioo kwanza mkuu maana usanii uko all over yourself! na hapo juu hizo quote zinajisema zenyewe, au?
There you go with your usual incomprehensible ramblings.Yaani wewe unataka kunichagulia jinsi ya kufikiri? Halafu ndiyo unapiga vita ufisadi wakati hapa unataka ku exercise ufisadi wa ku monopolize fikra? This is one shogun you can never monopolize. Mimi sina upungufu wa maadili kiasi cha kuuza utu kwa kudanganya watu eti kiongozi kumbe kama ulivyotuonyesha hapo juu anachojali ni career yake tu.Huyu mama msanii tu radar zangu zishamshtukia.Tena above being msanii he is a social climber ila watu wengine washafika bei kwa mawenge.
na besides Mama Kilango siye aliyenunua Kiwira na Mkapa, huku wananchi wanakufa na njaa, aibuu!
Oldest trick in the book, when you don't have anything to say, obfuscate by introducing non related irrelevancies.Wewe huna tofauti na Kikwete anayeenda kuongelea mambo ya wasichana kupata mimba wakati nchi iko in the middle of crises.
Ahsante Mkuu!
Usinishukuru mimi, shukuru hao mafisadi kwenye ngozi ya wanamapinduzi.