Peter Kibatala Wakili wa CHADEMA, Mungu akubariki sana

Kibatala, sijui ni sifa gani bora kabisa anaweza kupewa ikalingana na uwezo wake, uzalendo wake, utu wake, akili yake.

Ukimtazama Kibatala, Tundu Lisu, Mnyika, Mbowe, Msigwa, Heche, Sugu, hutakuwa na shaka kabisa kuwa super free intelligent brains zipo upinzani.

Kwa upande mwingine, ukimtazama mwiglu, Zunga, Kibudu, Plepole, Siroh, Kibajaji, msukuma, jaapipo, Biashiru, utaona kabisa kuwa wajinga, wanafiki, wenye elimu ya vyeti na kukariri, wasiojua wanasimamia nini, wachumia tumbo, murto wamejaa chama chakavu.
 
kwani mwanasheria wenu kibatala hajaingilia suala la mahakama kwenye ile interview? na ni mwanasheria kabisa. au, kwa vile simon amefanya hivyo na wewe kwa kiburi unafanya, si ujeuri huo? mkipigwa mnaanza kulia. na mnaamini mnaipigania nchi? hahahaha.
Hata Leo upo humu JF hujui ni kiasi gani watu wamepigania hii haki.. so wewe relax, tulia, kaa kimya! Siku katiba mpya ikipatikana njoo tule wote.
 
Uyo mtu aliyefatwa na kutamkiwa ivyo nae ameonewa? Uyo mwarifu kama angekuwa anaitaka haki angeenenda katika haki. Sio haki ije baada ya kufanya uovu.

Huu ujinga wa kutetea waharifu sijui tumeutoa wapi?
Ni sheria gani inasema kubeba bango ni kosa?
 
Kibatala hutamuona akitetea ndege zikikamatwa na wazungu, yeye yuko bize kutetea magaidi ya chadema tu.
Hizo ndege kwa nini zikamatwe na kama zinakamatwa kwa sababu ya dhuluma ya serikali hizi dhalimu sasa hiyo inamuhusu nini.
 
Hiv kuna mtu aliyepigania chama Kama Dr slaa lakin wote tunajua kilitokea kitu gan baada ya vipande 30 vya fedha
 
Kwa kitendo hiki Cha Kibatala ninaomba mnaokuwa nae karibu mtieni moyo sana kwa anayofanya, ni Mtu wa muhimu Sana.

Mtieni moyo Kibatala, mtieni moyo jamani
UHURU, HAKI hupiganiwa na kuletwa na watu wengi, baadhi yao hata majina yao hayajulikani.

Kibatala yupo mstari wa mbele kabisa toka mwanzo katika mapambano haya.

Naona wew ulichelewa tu kutambua mchango wake katika harakati hizi.

Hata hivyo, ni shukrani kwako kumwekea 'spotlight' kukumbushia wanaosahau michango muhimu ya watu kama Wakili Kibatala.
 
Back
Top Bottom